Yawezekana au Nahisi huenda Mamlaka inayohusika na kupima Akili timamu ( Afya ya Akili ) za Mashabiki wa Vilabu barani Afrika kuna Klabu moja itajikuta / itakuwa ndiyo Kinara wa kuwa na Mashabiki si tu Washamba ( Madunduka ) bali kwa 98% wana matatizo ya Akili ( Psychopaths )
ANGALIZO
Nimesema...
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto.
Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya...
Hatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar.
Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya terminals za airport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia.
Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa...
Malalamiko mengi yamepelekwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani na viongozi wake. Maeneo yanayolalamikiwa zaidi ni
1. Utekaji
2. Wananchi kunyimwa dhamana na kushikiliwa kinyume cha sheria
3. Viongozi wa chama cha mapinduzi kusafirisha wahamiaji haramu kwa mashangingi bila kuchukuliwa hatua
4...
Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini..
Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku...
,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume,
Kichaa...
Wananchi wa Kata ya Kakola, Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, wamelalamikia ongezeko la wimbi la vibaka wanaovamia ndani ya nyumba wakiwa uchi na wakiwa wamejipaka mafuta mwili mzima kwa lengo la kutekleza wasikamatwe.
Chanzo: itvtz
Waambieni wasije Kuthubutu kufanya hivi wakija Kuiba...
Game zinapigwa, timu inapata ushindi... Wachezaji wanalipwa... Mashabiki na wanachama wanafurahi... Hayo ndio ya msingi kwasasa...
Hayo mengine ya sijui GSM anatumika sisi hayatuhusu
Yanga hoyeeee
Baada ya Wapangaji wa Shirika la Nyumba zilizopo karibu na Manispaa ya Morogoro tunalalamika baa maarufu ya Ellis iliyopo karibu na Ofisi za Manispaa ya Morogoro, kuwa inapiga kupiga mziki mkubwa hadi asubuhi hali ambayo ni kero kubwa kwetu, Mamlaka husika imezungumzia suala hilo:
Kusoma hoja...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Byabato wametinga katika Soko la Kashai mjini Bukoba, usiku wa Julai na kushiriki kikao cha wafanyabiashara wa soko hilo.
Wafanyabiashara wa soko hilo...
Muda wa kazi
Saa 4 Usiku - Saa 4 Asubuhi
Majukumu: Wakala Mitandao ya Simu
Mshahara 200,000
Mawasiliano: PM
Eneo la kazi: Mbezi Mwisho
VIGEZO NI VILE VILE KAMA 👇
https://www.jamiiforums.com/threads/anahitajika-binti-mwenye-uzoefu-na-kazi-ya-uwakala-wa-pesa-mitandao-yasimu-na-benki.2212350/
IDF sasa inapiga hawa magaidi wa uislamu waliojichokea ambapo wamesambaratika mmoja mmoja, hawapo makundi tena, hamna kamandi. Kila mmoja anapigana kivyake..............
Lieutenant Oriel Mashiach, commander of the Sabar Battalion in the Givati Brigade, provided some insight to Maariv on Sunday...
Draft linazingua kinyama ukiliacha kucheza muda mrefu ukirudi kucheza game na wazoefu utafungwa hata kama unalijuaga.. Sasa kitendo cha kutamani kufungua fumbua code za ushindi kinapelekea usiku eti umelala unaanza kuwaza mbinu unaanza kubuni mitego ya draft si ujinga huo? Badala uwaze una...
Leo naingia ofisini nimemkuta kijana wangu mmoja ana manung'uniko sana na nilitegemea awe na furaha sababu alitujulisha anaenda kuchumbia. Kummuliza shida nini akasema story ile ile inayotaka kufanana na nilichokiona humu jf Sikutegemea nilichokikuta ukweni
Dogo kaenda kule wamemwambia mahali...
Waziri wa Habari Nape Nnauye amemuomba RC Chalamila apunguze zile doria za usiku kwa siku ya leo, Juni 18, 2024 kwa kuwa wadau wa habari watakuwa na mchapalo usiku wa leo.
Nape amesema hayo kwenye kongamano la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika Mlimani City.
Kwasiku za karibuni wilaya...
Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku.
Unahisi jina gani halitokosekana?
=====
Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki.
Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam
NB
Nje ni gari tupu
=============
Ahmed Arajiga: Ameshinda tuzo ya Mwamuzi bora wa kiume
Esther Chabruma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.