Wengi tunamfahamu kama Zahara ila majina yake ni Bulelwa Mkutukana, alikuwa ni mwimbaji wa nyimbo kutoka Afrika Kusini, mtunzi wa nyimbo, na mpiga gita mzuri sana. Katika Kijiji cha Phumlani, alizaliwa Novemba 9, 1987, mtoto wa kike, ni katika jimbo la Eastern Cape nchini Afrika Kusini, huyu ni...