Fanya hivi kumsaidia mwanao kupata usingizi mwanana.
Pale unapomuona mwanao amelala kamwe hutaacha kutafakari uzuri wake na kumshukuru Mungu kwa uumbaji wake! Hata hivyo watoto wengi huwa na changamoto ya kulala au kupata usingizi.
Punguza dukuduku na msongo wa mawazo kwa kuandaa vizuri ratiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.