Hofu Imetoweka
Wakati huu hata nikisikia kelele nje ya nyumba/geti najua kabisa hawa ni vibaka au wanga wapo kwenye mbishe zao, na ninao uwezo wa kufungua mlango na kutoka nje kuangaza macho kulikoni.
Enzi za Bwana yule, kwa sababu ya watu ninaohusiana nao kijamii na kikazi nilikuwa na hofu...
1. Majirani Kenya (KenTrade) wameboresha jinsi ya kupata huduma zao kidigitali (App) huku pia wakipambania kuuza Chai Sudan, Arabuni na China.
2. TANTRADE wanasubiri sare za vitenge na t-shirt pamoja na viingilio maonyesho ya SABASABA na mgao wa V8/VX.
3. Hivi Hawa TANTRADE huwa wanapewa...
Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo.
Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa...
Tafiti zinaonesha wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume. Tafiti hizi zilifanywa na chuo kikuu cha Duke kilichopo nchini marekani.
Sababu kubwa zilizotawala katika tafiti hizi ni pamoja na kua Wanawake hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja hivyo...
Ulaji unaojali afya siyo tu huangazia aina ya virutubisho vinavyotumika, bali huzingatia pia mda sahihi wa ulaji wa vyakula.
Kwa kuwa usiku huwa ni muda wa kupumzika kwa watu wengi, mlo wa muda huu hupaswa kuendana na mfumo unaoongoza usingizi wa binadamu pamoja na kuruhusu mwili uweze...
Mwaka 2017, mtafiti wa mambo ya usingizi Dr. Tomath Roth aligundua kuwa tatizo la kukosa usingizi wa kutosha (Insomnia) linaweza kuathiri kiasi cha theluthi moja ya watu wote duniani katika muda fulani.
Ni kweli kuwa baadhi ya watu huwa hawapati kabisa usingizi?
Kutokana na kuugua tatizo la...
Mama tokea tarehe 28.11 haujapata hata lepe la usingizi mpaka leo.
Moja ya 'wisemen' wa rais alimtonya mama akamwambia, "hivi mama unajua kuwa hilo daraja la Kibiti ungeamua kujenga madarasa basi ungepata madarasa 350 kwa kutumia force account, ambazo ni sawa na shule 18 za kuanzia"
Mama kidogo...
Mimi nina stashahada ya juu ya utabibu (ADVANCED DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE) nilisoma Kenya Medical training centre(KMTC) nilivyorudi nikaenda Bugando medical centre (BMC) kusoma Certificate in ANAESTHESIA ,nilikuwa trained pia BASIC LIFE SUPPORT kutoka EMAT.
Nina uzoefu wa miaka 2 kama...
Marekani ilijinasibu kupeleka mfumo wake wa ulinzi wa anga nchini ukraine kwa mbwembwe na watu wakaamini kuwa sasa suluhisho la missile za urusi limepatikana!
Kinyume chake tarehe 15/11/2022 Ukraine na wapambe wake wanalia kuwa nusu ya ya mifumo ya umeme imehariwa baada ya Urusi kushambulia...
Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika.
1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology
2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture
Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aitwae Emmy ,alikua amesinzia huku amemuegemea rafiki yake darasani katika shule iliyoshambuliwa kwa risasi huko Kaskazini mwa Thailand , wakati muuaji alipovunja mlango na kuingia ndani alhamis wiki hii.
Darasa hilo lililokua na wanafunzi takribani 11 wote...
Kuhusu kitendea kazi, kiko salama, sina tatizo la nguvu za kiume ila nikimaliza tu, yaani wiki nzima nasikia uchovu, nasikia kulala lala tu.
Naweza lala mchana hata masaa matano kisha na usiku pia, nifanyeje niwe sawa?
Wataalam kutoka Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Marekani CDC wanashauri watu wazima kupata masaa 7 hadi 8 ya kulala kila siku.
Wanasema ukosefu wa usingizi wa kutosha unahusishwa na hatari ya kupata magonjwa sugu ikiwemo Kisukari, Magonjwa wa Moyo na Mishipa, Unene kupita kiasi na...
Kwa mfano nafungua kitabu kwenye laptop nisome, dakika chache nasikia usingizi, mikishika simu nipoteze usingizi, namaliza masaa bila kusinzia, ipi trick ya ku win hii hali ili niwe productive?
Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili Herieth na Tina nao wakasema hawazioni siku zao
Uwezo wangu ni mdogo sana kulea hizo mimba tatu...
KUKOSA usingizi wa kutosha kunaweza kusababisha kufifia kwa nguvu za kiume.
Madaktari wanasema kuwa mwanaume anachukuliwa kuwa amepata usingizi wa kutosha usiku iwapo atalala kwa kati ya saa saba na tisa. Hata hivyo, watu wengi huwa hawazingatii muda huo kutokana na aina ya kazi wanazofanya au...
Moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya Mungu kutaka kumuumba Mwanamke Adam alimpa usingizi mzito na jambo moja alilofanya ni kuchomoa mbavu moja kwa Adamu kwa ajili ya material ya kumuumba Mwanamke.
Je, ni hilo tu ndilo lililofanyika Adam akiwa usingizini? Pengine hichi ndicho kipindi Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.