Kwema Wakuu!
Shida zako zisikufanye uwe Mpumbavu kiasi hicho mpaka umtese mtoto wako WA kumzaa mwenyewe. Yeye anamakosa gani gani umtese hivyo.
Yaani matatizo yako ya maisha unavyodhani yalisababishwa na wewe kutokusoma ndio unahamishia hasira na Mateso yote Kwa mtoto, huo ni upumbavu...
Habari wadau wa JF.
Kwa miaka takriban minne sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula.
Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda...
Mara nyingi watu hupunguza muda wa kulala kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kazi, majukumu na kifamilia au hata kuangalia kipindi kizuri
Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) mtu anaweza kupata madhara kiafya ikiwa kukosa usingizi wa kutosha ni sehemu ya maisha yake ya...
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama...
Nimeifuatilia hii timu ya wanawake kwa mda mrefu lakini naona viongozi ni Kama vile wameitelekeza, awaweki nguvu kuakikisha hii timu inakuwa stable kiushindani, aiwezekani timu inakuwa inafungwa tu kiholela na simba kila wanapokutana karibia msimu wa 4 sasa akuna mbinu mbadala ya kujinasua na...
Wana Jf
Nawatoe wasiwasi wapenda raha , lakini kila mtu ana raha yake kutokana na mazingira inayoishia. Wapo wanaooenda kukesha kama popo na milupo pembeni, lakini wapo pia baada ya kupata tatu na nne bariidi wanapenda wakapunzike na mama chanja.
Kumekuwepo na utitiri wa baa zisizo na vibari...
Historia imeandikwa na hakuna anaeweza ifuta kwamba John Pombe Magufuli ni rais bora kabisa kuwahi kutokea Afrika.
Dunia nzima na Watanzania wote wanajua namna alivyoipenda nchi yake na namna alivyowapigania Watanzania haswa wale wa hali ya chini.
Hii ni kitu hakuna anaeweza kuja kuifuta hata...
Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow
Nov 03, 2021 10:48 UTC
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amejiunga na Rais wa Marekani Joe Biden na kutwanga usingizi mfupi wakati wa vikao vya Mkutano wa Hali ya Hewa unaofanyika Glasgow huko...
SALAAM WAKUU.
Mimi nimeajiriwa Kampuni X ambayo nafanya kazi kwa masaa nane saa 2-10 Jioni. Ila Kwa Neema ya Mungu nimepata kazi ya Online Kampuni Fulani kwa mkataba wa miezi Minne hivyo hii kampuni ya Online nafanya kazi kuanzia saa 5-12 asubuhi. Hivyo kutokana na Majukumu haya muda wangu wa...
Hello JF,
Naombeni ushauri wa nini cha kufanya.
Mimi kwa kifupi bila kunywa pombe huwa sipati usingizi,mimi sio mlevi yule wa kulewa mpaka kubebwa, na pombe zangu kubwa ni Heineken, Windhoek na Serengeti Lite but for sure huwa siwezi kupata usingizi bila kupata bia.
Mfano, usiku wa kuamkia...
Licha ya kwamba stand hii haijakamilika vzuri mnajitahidi sana katika suala la usafi...Hii pia imechagizwa na kuwaondoa wale wamachinga ambao walishaanza kujenga vibanda ndani ya stand hii ya kimataifa. Usafi unaridhisha kuanzia vyooni hadi mazingira ya nje.
Kuna dustbin kila mahala na abiria...
Hii ndoto nimeota usiku wa kuamkia leo ilikua hivi.
Nilikua maeneo ya uwanja wa mpira, kulikua na watu wengi sana. gafla angani likaonekana wingu ambalo juu yake kuna mlima, watu walikua wakilishanga tu, katika ule mlima walishuka watu wa wawili wenye mavazi meupe (kanzu) mmoja alisimama kulia...
By Mtanzania Digital | September 8, 2021
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua tani 100,000 za mahindi katika Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini baada ya awali kukunua tani 24,000 sababu ni kutokana na Mamlaka ya Hali ya Hewa...
Toka Serikali ya Awamu ya Tano ilipoanza kuwatukuza "wanyonge" kundi ambalo wamachinga wakaingizwa, ganzi iliingiwa kisawaswa katika vyombo karibia vyote vya dola.
Rsis wa wakati huo alirudia rudia kuwa yeye yupo pale kwa ajili ya wanyonge, hivyo wasibugudhiwe mijini.
Matokeo ya miaka mitano...
Nini hasa manufaa ya kulala au usingizi mzuri?
Huimarisha na kuboresha ukuaji wa mwili.
Hujenga na kuimarisha kinga mwili.
Hukuweka katika hali nzuri (mood).
Hukuongezea kumbukumbu.
Hurefusha maisha.
Huboresha tendo la ndoa.
Huondoa msongo wa mawazo.
Haya ni baadhi tu ya manufaa ya kulala...
Niliungana na rafiki angu tukaunda timu na tukafanya project na kampuni ya wa Asia, project tuliifanya kwa muda wa miezi tisa. Na hapa kati hakukua na malipo ya ziada au ya kazi zaidi tu ya malipo ya vitu vinavyohitajika wakati wa Project hasa accomodations na transports tu.
Huyu jamaa yangu ni...
Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa...
Utafiti wa Chuo Kikuu cha #California, Berkeley ulibaini Mtu kukosa usingizi wa kutosha kunaweza kumfanya awe mpweke, kujitenga na wengine au kutamani kuwa pekee yake muda mwingi
Watu wasiopata usingizi wa kutosha huwa hawavutii Watu wengine kijamii na hata Watu waliopumzika vizuri huhisi...
Kampuni moja nchini Marekani ambayo hutoa vidokezo vya usingizi imetangaza nafasi za kazi ya weledi wa usingizi.
Kampuni ya Eachnight ilisema inawatafuta watu wa kujiunga na kikosi cha utafiti kama weledi wa kulala kubaini umuhimu wa usingizi na hasara yake.
"Kwa sasa tunaajiri kikosi cha watu...
Naomba msaada wenu. Wife wangu amekuwa na tatizo la kutopata usingizi wakati wa usiku na mjqmzito wa miez 3.
Hii hali imekuwa tete sasa. Kwa maana anaweza asilale hata wiki nzima wakati wa usiku lakin ikifika midaa ya 12. Hapo anapata usingiz mpka midaa ya saa 4.
Sasa hofu yangu ni afya yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.