Wajuvi wa mambo habari zenu,
Ni wiki ya 2 sasa kausingizi kamenipotea kabsaa, yaani sipati usingizi mchana, sipati usingizi usiku. Hadi nafikiria na kushawishika kugonga tena konyagi labda kanaweza jitokeza kitu ambacho nimefanikiwa kukiacha.
Najaribu kujichunguza labda kuna jambo linanitatiza...