usingizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Pamoja na tozo lakini Samia anastahili sifa kutupa nafasi tulale usingizi mtamu

    Hofu Imetoweka Wakati huu hata nikisikia kelele nje ya nyumba/geti najua kabisa hawa ni vibaka au wanga wapo kwenye mbishe zao, na ninao uwezo wa kufungua mlango na kutoka nje kuangaza macho kulikoni. Enzi za Bwana yule, kwa sababu ya watu ninaohusiana nao kijamii na kikazi nilikuwa na hofu...
  2. TANTRADE wamelala usingizi

    1. Majirani Kenya (KenTrade) wameboresha jinsi ya kupata huduma zao kidigitali (App) huku pia wakipambania kuuza Chai Sudan, Arabuni na China. 2. TANTRADE wanasubiri sare za vitenge na t-shirt pamoja na viingilio maonyesho ya SABASABA na mgao wa V8/VX. 3. Hivi Hawa TANTRADE huwa wanapewa...
  3. Putin kakosa usingizi wiki nzima sababu ya ishu ya kijana Tarimo

    Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo. Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa...
  4. G

    Wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume

    Tafiti zinaonesha wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume. Tafiti hizi zilifanywa na chuo kikuu cha Duke kilichopo nchini marekani. Sababu kubwa zilizotawala katika tafiti hizi ni pamoja na kua Wanawake hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja hivyo...
  5. Muda sahihi wa kupata mlo wa usiku

    Ulaji unaojali afya siyo tu huangazia aina ya virutubisho vinavyotumika, bali huzingatia pia mda sahihi wa ulaji wa vyakula. Kwa kuwa usiku huwa ni muda wa kupumzika kwa watu wengi, mlo wa muda huu hupaswa kuendana na mfumo unaoongoza usingizi wa binadamu pamoja na kuruhusu mwili uweze...
  6. Mbinu za kuondoa tatizo la kutokupata usingizi wa kutosha

    Mwaka 2017, mtafiti wa mambo ya usingizi Dr. Tomath Roth aligundua kuwa tatizo la kukosa usingizi wa kutosha (Insomnia) linaweza kuathiri kiasi cha theluthi moja ya watu wote duniani katika muda fulani. Ni kweli kuwa baadhi ya watu huwa hawapati kabisa usingizi? Kutokana na kuugua tatizo la...
  7. Mama hajapata usingizi toka tarehe 28 Novemba

    Mama tokea tarehe 28.11 haujapata hata lepe la usingizi mpaka leo. Moja ya 'wisemen' wa rais alimtonya mama akamwambia, "hivi mama unajua kuwa hilo daraja la Kibiti ungeamua kujenga madarasa basi ungepata madarasa 350 kwa kutumia force account, ambazo ni sawa na shule 18 za kuanzia" Mama kidogo...
  8. N

    Anaesthetist (Mtaalam wa kutoa dawa za usingizi na nusu kabuti) natafuta kazi

    Mimi nina stashahada ya juu ya utabibu (ADVANCED DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE) nilisoma Kenya Medical training centre(KMTC) nilivyorudi nikaenda Bugando medical centre (BMC) kusoma Certificate in ANAESTHESIA ,nilikuwa trained pia BASIC LIFE SUPPORT kutoka EMAT. Nina uzoefu wa miaka 2 kama...
  9. M

    NASAMS (Advanced Air Defense System) toka Marekani ilikuwa imepiga usingizi au?

    Marekani ilijinasibu kupeleka mfumo wake wa ulinzi wa anga nchini ukraine kwa mbwembwe na watu wakaamini kuwa sasa suluhisho la missile za urusi limepatikana! Kinyume chake tarehe 15/11/2022 Ukraine na wapambe wake wanalia kuwa nusu ya ya mifumo ya umeme imehariwa baada ya Urusi kushambulia...
  10. Kwa mpangilio wa kukaa bungeni kwanini wabunge wasilale usingizi

    Kwa mpangilio wa siti za bunge letu halipo sawa hata Mimi MakinikiA nitalala tu Bunge LA Tanzania Bunge LA uiengereza
  11. C

    Vyuo Vikuu vya Kilimo Afrika Mashariki ni wakati wa kutolala usingizi kwa kutupa tafiti za Mbegu za GMO

    Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika. 1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology 2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
  12. Usingizi akiwa darasani ulivyomuokoa mtoto wa miaka mitatu katika mauaji

    Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aitwae Emmy ,alikua amesinzia huku amemuegemea rafiki yake darasani katika shule iliyoshambuliwa kwa risasi huko Kaskazini mwa Thailand , wakati muuaji alipovunja mlango na kuingia ndani alhamis wiki hii. Darasa hilo lililokua na wanafunzi takribani 11 wote...
  13. Kila nikifanya mapenzi wiki nzima nasikia uchovu na usingizi

    Kuhusu kitendea kazi, kiko salama, sina tatizo la nguvu za kiume ila nikimaliza tu, yaani wiki nzima nasikia uchovu, nasikia kulala lala tu. Naweza lala mchana hata masaa matano kisha na usiku pia, nifanyeje niwe sawa?
  14. Unalala saa ngapi kwa siku? Ona madhara ya kutolala vizuri

    Wataalam kutoka Kituo cha Kukinga na Kudhibiti Magonjwa cha Marekani CDC wanashauri watu wazima kupata masaa 7 hadi 8 ya kulala kila siku. Wanasema ukosefu wa usingizi wa kutosha unahusishwa na hatari ya kupata magonjwa sugu ikiwemo Kisukari, Magonjwa wa Moyo na Mishipa, Unene kupita kiasi na...
  15. Nikifanya jambo la msingi nasikia usingizi, nikishika simu unapotea, kwanini?

    Kwa mfano nafungua kitabu kwenye laptop nisome, dakika chache nasikia usingizi, mikishika simu nipoteze usingizi, namaliza masaa bila kusinzia, ipi trick ya ku win hii hali ili niwe productive?
  16. M

    Mwaka huu pekee nimewadunga mimba wanawake watatu, sipati usingizi

    Mwezi wa March mwaka huu Somoe alinipigia simu kuwa Valentine day imejibu,maana tulioelekeana moto akiwa kwenye danger days, Nikamwambia wow! Haina shida nitalea. Mwezi wa sita ndani ya wiki mbili Herieth na Tina nao wakasema hawazioni siku zao Uwezo wangu ni mdogo sana kulea hizo mimba tatu...
  17. Utafiti: Kukosa usingizi wa kutosha hupelekea kupungua kwa Nguvu za Kiume

    KUKOSA usingizi wa kutosha kunaweza kusababisha kufifia kwa nguvu za kiume. Madaktari wanasema kuwa mwanaume anachukuliwa kuwa amepata usingizi wa kutosha usiku iwapo atalala kwa kati ya saa saba na tisa. Hata hivyo, watu wengi huwa hawazingatii muda huo kutokana na aina ya kazi wanazofanya au...
  18. Nini kiliendelea baada ya Adam kupewa usingizi mzito Eden?

    Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Mungu kutaka kumuumba Mwanamke Adam alimpa usingizi mzito na jambo moja alilofanya ni kuchomoa mbavu moja kwa Adamu kwa ajili ya material ya kumuumba Mwanamke. Je, ni hilo tu ndilo lililofanyika Adam akiwa usingizini? Pengine hichi ndicho kipindi Mungu...
  19. L

    Hivi ndo vitoto vinavyonyima usingizi wanaume wa Dar

    Yaani hawa watoto wanawafanya nyie wanaume wa Dar msilale.....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…