utalii

  1. Katibu Mkuu CCM (Chongolo) amtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi Chana kujiuzulu

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo ameshindwa kudhibiti changamoto ya tembo wanaoharibu mazao ya wananchi wilayani Meatu katika Mkoa wa...
  2. Natafuta Mdau wa Utalii

    Habari wakuu, Natafuta mdau anayedeal na utalii hasa Arusha na Kilimanjaro nijue taratibu mbali mbali. Piga 0713 039 875
  3. Royal Tour pamoja na kutumia mabilioni ya pesa haikumulika utalii wa mali kale na historia

    Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia. Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi. Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what...
  4. NBS na takwimu za utalii nchini

    Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press yao. Maoni yangu: Inawezekana kuwa hii ni namna ya kuisifu royal tour, na mimi kama mtafiti nasema...
  5. Nangasu Werema: Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii Tanzania

    Mkurugenzi wa miradi ya Wanawake laki moja na Balozi wa Utalii Tanzania Nangasu Werema, amesema Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii Tanzania na kuelezea sehemu zenye Vivutio vya Utalii ili kuongeza Utalii na fedha za Kigeni. Ameyasema...
  6. Ushauri kwa Waziri wa Utalii Tanzania

    Tunawapongeza sana, wala hatuwabezi kuhusu royal tour. lilikuwa ni wazo na tukio lenye nia njema kwa nchi yetu, hasa kwa kumtumia mama yetu ambaye wengi wangependa kumsikiliza au kumuona, ni bidhaa adimu ambayo unaweza kuitumia kama nyenzo ya kuiuza Tanzania. lakini, baada ya hapo, napendekeza...
  7. TRA madhara yenu kwa biashara ya utalii yatachukuwa mda mrefu kurekebishwa na huenda yasirekebishike kabisa

    TRA Arusha mnakumbuka kesi hii Mfanyabiashara wa usafirishaji na ukawala wa watalii alilipwa malipo ya mbele na watalii. Kabla ya watalii kufika likaja janga la Corona. Watalii wakafuta safari . Mfanyabiashara kwa uungwana akawarudishia wateja wake pesa zao zote ukiondoa gharama za banki. TRA...
  8. Kutangaza utalii kuendane na kujenga miji ya kitalii. Watalii hawapendi miji michafu.

    Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk Tungerekebisha miji yetu ya...
  9. Utalii ni zaidi ya wanyama hai na mazingira mazuri kama Taifa tunapaswa kutengeneza Upekee wetu ili kuvutia watalii

    Tanzania sio Nchi Pekee duniani yenye wanyama hai na mazingira mazuri ya kuvutia watalii. Kuna nchi mbali mbali duniani ambazo hazina wanyama wala mazingira mazuri ya kuvutia lakini zinapata watalii kwa mamilioni kwa mwaka. Mfano Mzuri ni Nchi kama Ufaransa watu wanakwenda pale kuangalia tu...
  10. Waziri wa Utalii, una kazi kubwa sana

    Waziri wa Utalii (simfahamu kwa jina) una kazi kubwa kukuza utalii nchini. Njoo na strategy na products za nyongeza kwenye utalii (eg. Sports, conference, medical, religious tourism) kujazia zilizopo hizi za wildlife, beach na mountain climbing/view. #Royal tour imekusogeza kwenye kutumbuliwa...
  11. L

    Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  12. Samia anahamasisha utalii ama yeye ndiye mtalii?!

    Ni wiki mbili sasa Mkuu wa Nchi ya Tanzania yupo Marekani kwa kile kinachosemwa eti anahamasisha utalii. Kwa umri wangu wa 40+ ukimwondoa yule mla raha wa Cameroon na wale walioenda kutibiwa sijawahi kusikia popote Duniani eti Rais wa nchi amekaa nje ya nchi yake kwa kipindi chote hicho...
  13. K

    Na hiki pia ni kivutio cha utalii Tanzania, tukitangaze

    Wapendwa habari ya mapumziko. TANROADS nawasalimia sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naiomba wizara ya mali asili na utalii iziweke barabara za TANROADS mkoa wa Dar es Salaam katika list ya vivutio vya utalii, make na zenyewe ziko kiasili kabisa. Barabara ni ya TANROADS tangu...
  14. Untold treasures: Mkoa wa Lindi na vivutio vya utalii.

    Habari za muda huu wapendwa, natumai Kila mtu ni mzima. Acha leo niwaonyeshe uzuri wa mkoa wa Lindi, mkoa uliopo kusini mwa Tanzania. Watu wengi hasa kutoka kasikazini, magharibi au hata Kanda ya kati wanaweza wasiufahamu vizuri mkoa huu. Si ajabu mtu akakuambia hajui kama Lindi ni mkoa. Baadhi...
  15. Hivi Rasta zina uhusiano gani na utalii

    Wadau kuna hili jambo naomba kushare humu naona mara nyingi nakutana nalo asa nikienda labda kutembea maeneo mbali mbali ya kutalii kuna ili jambo nakutana nalo la vijana wengi ambao ndio wanakuwa kama waelekezaji wageni kuwa na Rasta sasa uwa najiuliza je wageni toka nje uwa wanahitaji sana...
  16. Sio Mnigeria tu, wanawake Watanzania walalama wanavyonyanyaswa kila wakifanya utalii wa ndani

    Baada ya mwanamke Mnaijeria kujitokeza na kulalamika alichokumbana nacho wakati alikwenda kutalii, wanawake wa Tanzania wajitokeza na kusema yale ambayo hukumbana nayo kila wakijaribu kutalii nchi yao, au utalii wa ndani. Dharau, kejeli na matusi, wengine hata hunusurika kubakwa, hutukanwa kisa...
  17. M

    Kijiji cha Emboreeti wilayani Simanjiro kifanywe sehemu ya kivutio cha utalii ili kuzalisha mapato

    Wizara ya maliasili na utalii! Nimekuona bungeni Mheshimiwa naibu waziri ukijibu maswali kwa hisia nzuri ya kuendelea kuhifadhi mazingira na corridors na mazalia ya wanyama pori! Kuna hiki kijiji kinaitwa Emboreeti wilayani Simanjiro! Ni eneo muhimu sana kwa mazalia ya wanyama pori hususani kwa...
  18. Filamu ya Royal tour ni janja ya mabeberu kujipatia pesa kupitia sekta ya utalii

    Ni mtalii gani asiyefahamu vivutio vya utalii vya hapa nchini kwetu eti mpaka aone kupitia filamu ya royal tour ndio avutike kuja hapa nchini? Mbona watalii wa kila aina kuanzia wenye kipato cha juu mpaka cha chini walikuwa wanatembelea taifa letu kwa wingi tu? Mfano matajiri wakubwa kama Roman...
  19. B

    Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
  20. Tanganyika hatuna chetu kwenye mapato na usimamizi wa utalii Zanzibar, hili swala la Mnaijeria linakuwaje la muungano?

    Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake. Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…