Umewahi toka matembezi ili kufuata msosi?
Vitu vidogovidogo maishani vinaweza kukuletea furaha sana. Mi nilikua natoka mpaka feri. Nikifika naingia mle wanakaanga samaki. Nanunua pweza wa moto au samaki yeyote mkubwa, tena bei cheap tu. Wananiwekea kwenye bahasha. Hapo naenda beach pale nyuma...