Naona Kuna mabadiliko karibia Kila mtandao Kwa Sasa huwezi kupata hata GB 1 Kwa elf 2, mambo ni fire 🔥 sio kitoto.
Kwa upande wetu tulioingia Ile mikataba minono ya post paid tulikata bima ya kutukinga na vifurushi kupanda bei na kiukweli matunda tunayaona, bado tunaendelea kunesa kwenye...