utani

  1. M

    Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

    CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana. Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream. Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa. Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za...
  2. A

    DR Congo USD 5milion kutumtia nguvuni Nangaa achieni utani

    Eti 5 M uSD kumkamata Nangaaa is he serious, watu wanataka Katanga nzima wamletee Nangaa akiwa katika hali yeyote
  3. Jack Daniel

    Utani ukizidi huleta mazoea mabaya. Usiruhusu kudharauliwa eti ni utani

    Utani ni nini? Utani ni maneno ya mzaha ila yenye ukweli fulani ndani yake. Makazini na vibaruani kwetu au sehemu za starehe tumekuwa tukitaniana, tunacheka tunagonga tano na maisha yanaendelea. Lakini wengi tunaambiwa maneno ya kweli kupitia utani. Si kila kabila hutaniwa, wengine huchukia...
  4. ashomile

    Kuna mke wa mtu nilianza kama utani ila nimemkaribisha kwa siku moja nyumbani kwangu siku hiyo hiyo nimemtamkia ndo nikaanza nakumtafuna

    Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu. Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia anakuja ile alivyokuja nikamtamkia nampenda ila alichonisihi akaomba iwe siri yangu mimi na yeye...
  5. G Sam

    Wakili Peter Madeleka acha kabisa kuweka utani kwenye mambo yanayoumiza! Acha kabisa!

    Wakili Peter Madeleka nimekusikia leo ukiwa unaongea ukiwa mahakama ya Kisutu. Ulikuwa unaongelea kuhusu dhamana ya Dkt. Slaa. Nimekuelewa kuwa ulikuwa unaongea utani na dhihaka kama kufikisha ujumbe fulani dhidi ya Mahakama isiyo na meno kwa serikali, mahakama ya Tanzania. Sijafurahishwa na...
  6. Magical power

    Ni tu utani tu

    NI UTANI TU 😂😂 Kama umeona umri unakutupa mkono,na unatamani kurudisha miaka nyuma, Hemu Nenda hapo Ethiopia huko saivi ni 2017 Eti kadi yako ya bank unaambiwa umeweka namba ya siri,halafu ni siri yako tu... Lakini ukikosea kuingiza pin unaambiwa umekosea, Wao wamejuaje nimekosea Au acha tu...
  7. R

    Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

    Salaam,Shalom!! Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha? Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake? Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi? Wana...
  8. M

    Engineer Hersi analeta utani, kweli Kibabage na Israel Mwenda ndio wakakabe mawinga wa Esperence wakiwa wanatafuta goli? Yanga tunatapeliwa na gsm

    Habari wadau Mimi kama mwanayanga usajili wa israel mwenda umeniumiza sana. Mwanzo wa msimu tulikuwa tunawaza kutwaa ubingwa wa africa. ila engineer katugeuka mapema sana Engineer amebadilika kama zuwena Nawaza wale wa Brazil wa Esperence kweli ndio wakakabwe na israel mwenda. Nawazaa...
  9. Mkalukungone mwamba

    Jina lipi la utani mlimbatiza baba yako kutokana na ukali wake?

    Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia. Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi badala ya upendo na usalama kutoka kwa wazazi. Mfano mzuri ni pale baba anaporudi nyumbani kutokana na...
  10. sergio 5

    Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

    Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics...
  11. Pdidy

    Muache kuitana wake zenu blood pressure hatakama n utani

    Pitapita hapa Nimekutana na jamaa zangu karume kijiwen Nafika naonaa wanaambiana hahaa wewee leoo umekuja blood pressure wakoo kakuruhusu leo MMmhnkawaza nani... Mwingine akajibu hahaa blood pressure wangu hana shida anatumia 3g yaan yeye urudi usirudi kabisa nyumban hata hasumbuki na wewe...
  12. Teko Modise

    Utani waanza katika zoezi la uokoaji Kariakoo

    Eti hawa nao ni waokoaji, huu ni utani kama utani mwingine.
  13. Cannabis

    Makonda: Nilimuambia Lissu kama utani asimshambulie Mwigulu kwa sababu ni Waziri anayetoka "kwao" na amefuata maelekezo yangu

    Katika mahojiano yaliyofanyika mkoani Arusha ambapo Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Paul Makonda alisema alimuambia kama utani Tundu Lissu asimshambulie Mwigulu Nchemba kwa sababu ni Waziri anayetoka kwao (Singida) na Lissu alifuata hayo maelekezo yake kwa maana hakuna hata siku moja amewahi...
  14. Magical power

    Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu"

    Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu" Kataa uzinzi mwanangu, Usije Ukasifiwa kwa Kumaliza Kikombe Kimoja cha Uji.
  15. Pang Fung Mi

    Wajinga wa akili hawajui kuwa Shigongo ameongea utani wa msukuma na mngoni msibani kwa Grace Mapunda

    Wajinga kaeni kwa kutulia kizazi hiki cha corona na uvuvuzela hamjui kitu. Msibani watani tunaongea tunachotaka na kwa Raha zetu. Kaeni kimya Pang Fung Mi
  16. Emmanuel gubabu

    Japan: Kijiji chafurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili

    Kijiji cha Ichinono nchini Japani, chenye wakazi chini ya 60, kimefurahia ujio wa mtoto wa kwanza baada ya miongo miwili, Kuranosuke Kato mwenye umri wa miaka miwili. Hiki ni mojawapo ya vijiji zaidi ya 20,000 nchini Japani ambavyo idadi kubwa ya wakazi ni wazee wenye umri wa miaka 65 na zaidi...
  17. Eli Cohen

    UTANI: Wanajeshi wa Iran wakijiandaa dhidi ya Israel

    Wako tayari.
  18. Its Pancho

    Tuache utani Wanayanga Simba ni team hatari sana, naogopa

    I salute you kinsmen. Kwa kweli Simba ya sasa ni hatari sana mpaka wanayanga tunaogopa sana hata match yenyewe. Yaani mimi naona wazi kabisa siku hiyo matokeo hayatakuwa upande wetu kama mzunguko uliopita walipokula 5. Mzunguko simba wamekuwa hatari sana uwanjani kuliko yanga tujipange sana...
  19. Yoda

    Huu ni uoga wa kuibiwa mume au utani tu?

    Huyu mwanamke aliyempa mume wake jezi iliyoandikiwa "NIMEOA" katika sherehe ya harusi anaweza kuwa alikusudia nini?
  20. ITR

    Utani wa ngumi

    Ila watu wana maneno aisee.😃😃😀😀😃😃
Back
Top Bottom