utani

  1. pingli-nywee

    Majirani watz mna dhiki kweli, yaani hamna utani kabisa, hata na wachekeshaji

    Yaani hii picha 'photoshop' ya kawaida sana ndio ilifanya vitengo vya usalama vikamkamata huyo mchekeshaji kwa jina Idris Sultan? Hadi akahojiwa kwa saa tano na nyumba yake ikapekuliwa na polisi wakaamrisha kwamba aripoti kwao siku ifatayo? Like seriously? [emoji15] IDRIS SULTAN AACHIWA KWA...
  2. Mstarabu kiona

    TUNAWAONA WAZURI SABABU TUNAWAPENDA

    Kinachofanya wajione wao bora na wazurii ni Sisi wanaume tunapenda kuwasifu lakinii ukweli ni kwamba hawana uzuriii wowote ndo maana vitu vya urembo vimekuwa vingi kwao ili wapendeze waonekane wazurii. Ila Men tupo really bado tunapendeza na tunavutia
  3. Deejay nasmile

    Wachuna Ngozi

    Watatu walikamatwa na wachuna ngozi. Wakaambiwa kuwa watauliwa kisha watachunwa ngozi na ngozi zitaenda kuuzwa Nigeria. Wale wachuna ngozi wakawaambia kila mmoja anapewa nafasi ya kuomba jambo moja tu la kufanya kama kuomba dua au kuandika wosia. Jamaa wa kwanza akasema ye aomba auliwe...
Back
Top Bottom