utani

  1. Analogia Malenga

    Rais Magufuli na Rais Chakwera waweka jiwe la msingi Kituo Kikuu cha mabasi Mbezi, Rais Magufuli ataka Wakandarasi walipe fidia ya kuchelewesha mradi

    Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam. === MAGUFULI: Mkataba ulikuwa umalizike mwezi wa saba, leo ni mwezi wa kumi na waziri alikuwa...
  2. OLS

    Uchaguzi 2020 Japo anafanya utani lakini ni kweli chakula kwa wanafunzi ni jambo la muhimu

    Mgombea wa Urais kupiti CHAUMMA amekuja na sera ya chakula kwa wanafunzi. Hii kitu niliielewa tangu awali lakini mahojiano yake ya dk 45 ITV yalinifanya nione kuwa mzee hayuko serious, wala hana mkakati wa kufikia anachokiwaza. Nafsi iliniambia kuwa ni kweli chakula kwa wanafunzi ni shida...
  3. GENTAMYCINE

    Leo naweka 'Utani' wangu pembeni kabisa na naomba wana Simba SC Wenzangu 'Mnisamehe' ila kwa huyu Michael Sarpong Kazi ipo Kwetu na Tuisila abadilike

    Michael Sarpong Leo niseme tu ukweli wangu nimewahi Kuwashuhudia Washambuliaji mahiri sana hapa nchini Tanzania kutokea Timu mbalimbali za Ligi Kuu yetu hii ila kwa Kumtizama Kwangu katika Mechi zake Mbili huku nami nikiwa 'namtathmini' kwa Jicho langu la Kiuchezaji Mpira hasa miaka yangu ya...
  4. Elius W Ndabila

    Uchaguzi 2020 CCM imeshinda uchaguzi kuanzia kwenye uandishi wa ilani, wengine ilani ni za utani

    ILANI YA CCM INATOA SULUHU YA MASWALI, ACT NA CHADEMA ZINALALAMIKA Na Elius Ndabila Nimefanikiwa kuzisoma Ilani za vyama vitatu, yaani Ilani ya CCM, ACT Wazalendo na CHADEMA. Nikiwa ninazipitia Ilani hizi nimegundua utofauti mkubwa kwenye kujibu mahitaji ya Watanzania. Ilani ya CCM kama chama...
  5. Infantry Soldier

    Tanzania na Utani wa Makabila: Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti ukaumia nafsi yako?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu wa Tanzania; Ulishawahi kutaniwa vibaya na mtu wa kabila tofauti (Mfano: Msukuma Vs Mzaramo) kisha ukaumia nafsi yako...
  6. Mtini

    Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

    kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa...
  7. GENTAMYCINE

    Idris Sultan hujakoma tu Kijana?

    Nikichukua fomu Kigamboni wala hata msiandae kura, andaeni masongi ya mazishi na rambirambi za kutosha. Idris Sultan Umemchokonoa Baba yake Kipenzi na akakutia 'Kimuhemuhe' hadi ukawa unatia Huruma kwenda kuishi jela sasa umehamia kwa Mtoto Kipenzi.
  8. Mzukulu

    Rais Magufuli awashangaa Wazaramo Jokate kutokuolewa

    Je, huu ni Utani wa kweli wa Kimakabila yetu nchini Tanzania au ni Utani wa Kutamani kweli huku Ukitega kuangalia anayetaka Kukuzidi Kete kwa Mrembo? " Hata Mkuu wa Wilaya wa hapa amefanya kazi nzuri katika kuondoa Zero, ninachowashangaa watani zangu Wazaramo hajaolewa, lakini mnashindwa...
  9. Y

    Nimestaajabu sana huu utani wa mashemeji

    Wakuu kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Kuna bwana mmoja ni jirani ana utani sana na shemeji yake, kila wakikutana/kupigiana simu na shemeji yake humuuliza leo umempiga vingapi dada angu? Jamaa naye bila haya kajibu vitatu vya afya dah! Ukweli nilistaajabu sana utani wa aina ile...
  10. Environmental Security

    Uchaguzi 2020 Acheni utani, upinzani hakuna mtu wa kuweza kusimama na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu Oktoba

    Habarini wadau... Leo naomba nizungumze ukweli juu ya hiki kinachoendelea, eti watu wa upinzani kuandika barua na kuomba nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT october 2020, Wanachofanya vyama vya upinzani ni utani nadhani na imefikia wakati wameacha kuwa serious, maana haihitaji...
  11. C

    Utani Mbaya Kwa Rais Wetu...

    Hii nimeikuta huko Twitter kwa member anayejiita Professor Kirusi19
  12. chiembe

    Kwanini IMF na Benki ya Dunia wameitenga Tanzania katika mgao wa fedha za Corona? Au ule utani kwamba sisi matajiri, wao wametuibia, uliwachukiza?

    Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede. Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani...
  13. LIKUD

    Kama kweli vile

    Kama kweli vile
  14. Superbug

    Uzi wa upatanisho, utani na urafiki kati ya wana JamiiForums walio na mirengo tofauti ya kisiasa

    Uzi huu ni maalum kwa cc members wa jf ambao hatupendani kabisa na tunapingana na kukinzana kweli kweli katika siasa. Lengo lake ni ku absorb machungu yetu na TOFAUTI zetu. Ule mkinzano tulionao kwenye majukwaa ya KISIASA tuupunguze humu kwa kutaniana na kutakiana heri katika maisha. Natambua...
  15. Slowly

    Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

    Jaman daaah Tuacheni utani , huyu jamaa amechakaa sana anatia huruma. Basi tu Video sekunde 16
  16. M.Rutabo

    CAF awards 2019: tuacheni utani hata Ulaya awawezi kuifikia Egypt

    Direct to the point Leo ndio tuzo zile kubwa za kuwatunuku wanasoka Bora wa Africa. Ndani ya nyumba namuona mnyama kutoka Tanzania kipande Cha Madale Diamond himself ambaye Leo atatumbuiza kwenye tuzo hizo. Mbali na Diamond namuona pia aliyekuwa kocha wa arsenal mzee baba Wenger, pia Sedio...
  17. Bufa

    Kuna tofauti kubwa kati ya utani na udhalilishaji

    "Kitwanga umemuacha mke wako, umeenda kwa mwanamke mweupe," alisikika mzee baba akimwambia aliyewahi kuwa waziri kwa kukaa pembeni ya mama mmoja mwenye rangi ang'avu. Kwa jamii iliyostaarabika utani wa namna hii unavuka mipaka. Kitwanga alidhalilishwa na yule mama alivunjiwa heshima. Aghalabu...
  18. Miss Zomboko

    Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

    Rais John Magufuli. MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kutamka maneno ya kwamba atamuua Rais John Magufuli. Mshtakiwa anadaiwa kuropoka maneno hayo Novemba 26...
  19. BASIASI

    Mkuu wangu wa mkoa wa Tabora punguza utani hasa ukiwa kikaoni wa chini watashindwa kutekeleza uliyotoa

    Awali ya yote shikamoo afande WANGU mkuu WANGU WA mkoa Kiufupi tu nimekusikiliza kwa millardayo NAAMINI akuwepo kikaoni ila kama alikuwepo mwakiloishi nalo jema Kiufupi naomba nishauri tupunguze utani zaidi hasa pale unapokuwa na watu kama madiwani wakitoka hapo wanatakiwa kutimiza majukumu...
Back
Top Bottom