Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia...
Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education.
Mtu atakaepata mkanda wa...
Kuna hawa watu ambao wanaitwa jina la utani "BIG" huwa kuna kaheshima fulani wanakuwa nako kwenye jamii.
Mfano nimepita mitaa fulani ya survey hapo karibu na Mlimani City, kuna jamaa fulani wanamuita BIG machapati. inasemekana huyu jamaa ndiye bingwa wa kutengeneza chapati tamu jiji zima la Dar...
Kwa kweli mimi nimeinua mikono kwa internet ya TTCL. Ni internet ya hovyo sijawahi kuona.
Kuna mtu aliwahi kuandika humu kwamba mshikaji wake anaishi Tabata, anatumia mtandao wa TTCL, akilalia ubavu wa kulia anapata mtandao ila akibadilisha akalala ubavu aa kushoto ama akalala chali hakuna...
"Mchezaji unamvalisha Jezi ina Watu kibao halafu unataka awabebe wote na Kukimbia nao hizo nguvu atazitolea wapi?"
Chanzo: Ukurasa wa Dodoma Jiji FC.
Akhsante mno Admini kunywa Soda tu.
Habar Wana ndgu, tunaona vijana tofaut tofaut tukiwa wengi kwa namna Moja na nyngine kutafuta connection, na tenda mbali mbali, kwa wenye nazo.
Kwa upande mwngne kuna wenye fani zao na wengine wakiwa hawana fani yoyote zaid ya uwezo wa kufanya kaz ngumu zenye kutumia nguv na japo hvyo hukosa...
Moja ya vitu vinavyo wapa Watawala nguvu ni kuona utani wa wabongo, Mambo serious tuna weka utani sana mbele.
Ilitangulizwa makato ya kupokea na kutoa pesa, Utani ukawa mwingi sana Mtaani kama vile; Mbele kwa mbele, Mama anaupiga Mwingi, tuko Burundi, tunaisoma namba wote, Kazi eendelee na...
Wapinzani tunataka Katiba mpya, wana CCM Katiba mpya no haiko kwenye ilani ya CCM
Wapinzani tunataka Demokrasia : ccm demokrasia ipo wewe fanya kwenye jimbo ulipo chaguliwa kwa mwenzio no.
Fomu za wagombea wa upinzani, ofisi zina fungwa , mkurungezi kakimbia ofisi, nimevamiwa nyumbani...
Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna
----
Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
Nimemsikia Spika wetu akibeza baadhi ya viongozi wa Upinzani na wengineo kuwa hawakufanya lolote wakiwa wabunge akiwemo Mh. Mbowe na wengine. Ati Hai sasa ndo imepata Mbunge wa kuisemea!
Nimejiuliza mengi kama Mtanzania kuwa tunataka kujenga nchi ya aina gani? Tutaendelea kuudanganya Ulimwengu...
Wanasayansi wana wajibu mkubwa katika kulinda Afya ya Jamii.
Wajibu mkubwa zaidi ni madaktari walio wizara ya Afya.
Kujifukiza ni hatua moja tu katika kupambana na gonjwa hili baya la covid19.
Sasa ni wakati wa kuacha utani, wananchi tunataka chanjo!
Kenya wamepata
Uganda wameoata
Rwanda...
Wakuuu baada ya mishe mishe tukiwa tumejipoza Jf tujaribu kutaniana kidogo.
Utani Unaweza kua wa;
Mtu na mtu, kabila, kanda, dini, Rangi, Kimo na hata elimu.
Ila kuchukia haitakiwi.
Mwaka jana tuliishinda corona kwa sababu zifuafazo:
1. Serikali ilikuwa mstari wa mbele kusimamia mapambano ya corona
2. Kulikuwa na taskforce inayoshughulika na wagonjwa wa corona. Kama mgonjwa yuko nyumbani mlikuwa hamruhusiwi kumsafirisha ila mnapiga simu anafuatwa nyumbani ili kuepusha...
Tunaomjua Zitto vizuri na Mbowe hawatuchanganyi kabisa.
Mwaka 2010 baada ya UCHAGUZI mkuu wabunge wa upinzani walikusudia kususia bunge kwa sababu kama hizi hizi. Wakati huo Tundu Lissu, Heche na Mdee walikuwa moto kweli. Walilia dhulma dhidi ya wagombea wao wengi sana wa ubunge na kutangazwa...
Mwanamama mtetezi wa siku nyingi wa haki za binadamu hususan za wanawake mama Kijo Bisimba, amelaani vikali kauli za Rais Magufuli anazozitoa mara kwa mara juu ya wanawake.
Akihojiwa na redio moja ya nje, Mama Bisimba amesema, kauli hizo za Magufuli zisichukuliwe kimizaha mizaha kwa sababu hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.