Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu
Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu...
Sawa Azam walishika nafasi ya pili sisi tukaumia sana lakini tukumbuke sisi tulijiumiza wenyewe, sisi hatukuwa watu wa kushika nafasi ya pili, hata sasa hivi tunakwenda vizuri lakini mbeleni huko tutakorofisha tena mtani abebe ndoo na Injinia kashasema Simba haimnyimi usingizi, anajua...
Habari ndugu zangu
Nimepost Uzi kwa utani ila Kuna raia humu vichwa vibovu wanasemelea kwa mods nipigwe ban Sasa nyinyi mnavo tutania sisi mbona tunachukulia poa tu! Kama huwezi utani bora usicomment
Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa...
Jana nimekutana na Bibi CRDB wa kama miaka 80 kaja kuchukua malipo ya Tsh 24,000 ya mwezi June.
TASAF wana utaratibu wa kusaidi watu au kaya masikini Utaratibu huu ni mzuri ila kiwango cha fedha ni fedhea kubwa.
TASAF tafadhali jitahidini kupandisha kiwango Tsh 24,000 ni ndogo sana.
Habari wanajamvi, natumai mmeamka salama salmini.
Kama mada inavyosema, utani hua ni mameno ya hapa na pale,
mara nyingine ni ya ukweli ila yanawasilishwa kwanjia ya utani.
Ila utani mara nyingine huota meno ya sumu na kusababisha ugomvi mkali, pengine mpaka kupigana.
Binafsi kuna kisa Cha...
Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote. Kule Manyara naibu Waziri alimtumbukiza kijana chupa ya Coca makalioni na DPP akaingilia kwa juhudi kubwa kufuta kesi.
Huko...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni utani tu ndugu zangu hivyo msiwe na hoja za mihemuko!
Nauliza hicho kiatu hapo chini astahili kupewa mchezaji yupi hasa?
Karibuni tujadili utani!
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha yake pmj na kufungua min market na barbershop kwenye jengo moja ,,, yaani ndni ya barbar shop Hakuna...
Yanga SC (Mashabiki) wanasema kuwa Kocha Juma Mgunda hana hata Wiki Simba SC tayari Nazi zimepanda Bei nchini!
====
Pia soma: Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania
Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo!
1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI
Huwezi kuroga...
wakuu Mambo ni vipi.
Mimi huwa napenda sana kusoma mada mbali mbali hapa Jf
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Leo nitazungumizia utani wa watu hapa Jf na watu na mada ambazo utawakuta.
1 . Ni Accumen Mo na mgalatia Maghayo
Hawa ndugu zangu mimi huwa wananifurahisha sana...
Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
Msemaji wa serikali ametoka na kufafanua kauli ya Waziri kwamba watakaoshangilia timu ya kigeni au kuvaa jezi hawatavumiliwa na akaongeza mashabiki wataingia uwanjani na passport.
Msemaji wa Serikali amedai ule ulikuwa ni utani, nakubaliana naye ila wanaamini waziri anaweza akafanya utani...
Itakuwa wanyarwanda wanampenda sana Kagame.
Rwanda's ruling party again choses Kagame as presidential candidate
Rwanda's ruling party on Saturday picked President Paul Kagame as its candidate for the July election, teeing up a contest widely expected to return the longtime leader to office for a...
Mashirika kadhaa ya misaada na wanasiasa wamezibeza juhudi za Marekani na ufalme wa Jordan za kudondosha vyakula kwenye jimbo la Gaza kama ni mchezo usiopendeza kipindi hiki watu wanakufa njaa jimboni humo.
Seneta wa Marekani,Jeff Merkley ameuambia utawala wa raisi Biden ikiwa kweli wamekusudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.