utani

  1. Wildlifer

    Utani; Rebmann na Wachagga mlimani Kilimanjaro

    Paa la Afrika. Nilikuwa nimesikia mengi juu ya Kilimanjaro, mlima mrefu kuliko wote barani Afrika. Hali kadhalika, nilisoma mengi na kutazama picha nyingi zilizoonyesha mlima huo. Lakini katika yote hayo niliyosikia au kuona kwenye picha hakukuwepo lolote lililoniacha nisiweze kupigwa na butwaa...
  2. De Opera

    Haki ya nani X wangu atapata tabu sana na mpango wangu Februari 14

    Wakuu, plani yangu kesho ni hiyo kwa ajili ya EX wangu. 😂 Mwenye plan nyingine anipe tafadhali! ---------------👇-------------- This's for (Jokes). If you want a serious post, go and write what suits you! 🙌 Sometimes we need to be funny, so kila muda umekunja tu sura! Utakuwa na matatizo ya...
  3. Orketeemi

    Toba: Naombeni wana Mwanza mnisamehe

    Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu . Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza. Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
  4. Greatest Of All Time

    Napata wasiwasi, Arsenal anaweza akatwaa EPL kiutani utani

    Wakuu wa jukwaa heri ya mwaka mpya. Mnauonaje mwendo wa Arsenal kwenye mbio za ubingwa pale EPL. Arsenal kama utani, anakimbiza mwizi kimya kimya, ligi ilivyoanza tukasema hafiki krisimasi atakuwa kashatoka kileleni. Krisimasi pamoja na mwaka mpya umefika, naona kasi yao inazidi...
  5. Victoire

    Rostam ni Mfalme na mwamba hapa Tanzania

    Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais. Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba. Tuna kitu cha kujifunza kwa Rostam Aziz. Binafsi...
  6. NetMaster

    Tukutane hapa ambao majina yetu ya mwanzo yamekosa umaarufu kabisa, tumebaki kuitwa majina ya ukoo ama ya utani,

    Kwangu mimi jina langu la mwanzo limekosa umaarfufu kabisa, ni jina ambalo lipo kwenye vyeti tu na vitambulisho. Jina langu la ziada ni la kijijini lakini hili halipo kwenye cheti cha kuzaliwa Shule ya msingi nimeitwa jina la ukoo Sekondari nimeitwa jina la ukoo mtaani na nyumani naitwa jina...
  7. DMmasi

    Utani wa jadi hadi kimataifa

    Salam wanajamii hasa jukwaa hili la michezo, niende kwenye mada moja kwa moja. Timu zetu pendwa watoto wa kariakoo wako kimataifa wameshacheza mechi tatu kila mmoja na matokeo tunayo yote. Tukiwa kama mashabiki wa hizi timu utani wetu unaenda hadi huko kimataifa hakuna wakumshangilia mwenzake...
  8. Chachu Ombara

    Rais Museveni awaomba msamaha Wakenya kufuatia Tweets za uvamizi alizoweka mwanaye Jenerali Muhoozi

    Siku chache tu baada ya mtoto wake kuzua dhoruba kwa msururu wa ujumbe wa Twitter uliozusha mgawanyiko, Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameomba msamaha kwa Rais wa Kenya William Ruto. Akitishia kuivamia Kenya na kuiteka Nairobi, Jenerali Muhoozi Kainerugaba alidai operesheni hiyo ingechukua si...
  9. ankai

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  10. M

    Ama kweli najuta, sitasahau hii tarehe 20/08/2022

    Sitasahau, imetokea 20.08.2022 somewhere. Demu nimnywesha bia tukaenda lodge, sijafanya chochote nae katoa bonge la kojo hapohapo bed. Nikazira, nikajitenga kwa chini, shortly baada ya lisaa nasikia pwaah nauliza umejisaidia au umejamba? Kustuka kaamka kaenda chini kaongeza kujisaidia, kahamia...
  11. ryan riz

    Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  12. Mganguzi

    Dejan kawakosea nini? Mashabiki mbona mna mambo ya hovyo sana. Huo ni ubaguzi wa wazi michezoni, FIFA haitaki hayo mambo

    Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii wana mambo ya kitoto sana. Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Utani wa jadi, This is Simba

  14. GENTAMYCINE

    Naweka Utani wangu pembeni tafadhali wana Yanga SC wawapige Stop kwa muda Viongozi wao Kulizungumzia Sakata la Juzi la Haji Manara

    "Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC. Taarifa: EFM Sports Headquarters leo. Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
  15. kavulata

    Rais Karia adhabu hii ya Manara imejumlisha na utani wetu?

    Hakuna ubishi kuwa Karia ni mwana Simba na mwana coastal Union. Lakini hakuna ubishi Manara amezikera sana Simba na coastal Union msimu huu kwa matukio tofauti. Adhabu aliyopewa Haji Manara ya kufungiwa miaka 2 na kulipa 20,000,000 ni sehemu ya ukweli huu wa Simba, coastal Union, Yanga, Karia na...
  16. Zee Korofi

    Mzee wangu ameniharibu!

    Good afternoon brothers. Majukumu ya malezi yanakwendaje? Uhusiano wangu na jamii; Tangu nazaliwa na kuanza kujitambua, mzee wangu amenilea malezi ambayo naona magumu yake na athari zake muda huu. Nina 'traits' za kushangaza ila naomba mjikite kwenye kutoa ushauri na ufafanuzi tafadhali...
  17. MSAGA SUMU

    Kama utani bwana, Wajahhckoya anaenda mjengoni.

    Ije mvua lije jua Wakenya wameamua kwenda na Wajahckoya. Vijana kwa wazee , watu wa mashambani na mjini, watu wa dini na kabila zote za Kenya wamesema tumechoka. Ruto na Raila kwa wakati Fulani kuwa serikalini kumewafanya kuwa na madoa na hivyo kufanya goli kuwa wazi kwa jamaa. Ruto na Raila kwa...
  18. bahati93

    Sio kila ndio ina ukweli kiundani kuna baadhi ya ndio zaambatana na utani

    Jamii Hip #0p wozaa Nadhani sina haja ya kusema mengi kwani kuna baadhi ya mambo yanafanana na utani. Mambo yenyewe ni msanii kulalamika kuibiwa mistari. Msanii ni mtu muhimu sana katika jamii yeye anafanya kazi sawa na watu wa dini na mizimu kwa namna yake. Mtu msanii hutumiwa na jamii kama...
  19. L

    Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

    Tahtmini ya Utani wa hapa mtandaoni kati ya Wafuasi wa Zelensky (Pro Ukraine vs Pro Putin) Prow Ukraine ni watu poa sana, wengi ni wapenda amani wasiopenda uonevu wa kijinga Pro Ukraine hawashabikii mtu bali wanasimamia facts, wanasimamia haki, hawapendi uonevu. Wengi jata Zelensky hawamjui...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Utani ni mzuri na mtamu lakini angalia unayemtania

    UTANI NI MZURI NA MTAMU LAKINI ANGALIA UNAYEMTANIA. Anaandika Robert Heriel. Sisi wengine tumezoea matani, tumezoea kutaniwa, kudhihakiwa, kukejeliwa, hata kuzomewa piah. Mtu aliyebobea kwenye matani hayo kwake ni mambo madogo kabisa. Sisi tuliozoea utani tunamiiko yetu, tunajua mipaka yetu...
Back
Top Bottom