Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku.
Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara...
EWURA MAKAO MAKUU DODOMA WANATANGAZA. KAZI NA HAWAITO WATU KWENYE INTERVIEW MATOKEO YAKE WANAAJIRI KINYEMELA.
Mfano ajira hii tangu itangazwe hadi leo Hakuna kinachoendelea ila unaweza Kukuta Nafasi hii ilishajazwa huku watanzania Salisbury kuitwa kwenye Interview. January Makamba upo...
Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako kama dhamana. Sasa bima ya Nini? Nistue mnaowajua hawana utapeli kweli? Are they genuine? Au Ni sawa na...
Kila mmoja kwa namna moja ama nyingine ametapeliwa kwenye mapenzi:-
Kuna aliyelazimisha kuzaa na mtu akitegemea apate ndoa, mambo yakawa tofauti
Kuna aliyetuma nauli akitegemea mwenzake afike, mambo yakawa tofauti
Kuna aliyesomesha akitegemea waje waoane waishi pamoja, mambo yakawa tofauti
Kuna...
Naingia kwenye mada moja kwa moja. Dada wa kazi wa kizazi hiki ni zaidi ya majanga. Ndugu zangu, wasichana wa kazi za ndani (house girls/maids) ni hitaji muhimu sana kwa familia nyingi za mijini, hasa wale wanafamilia wanaofanya kazi zinazowalazimu kuamka asubuhi na kurejea jioni. Ni kwa sababu...
Suala la Mr Kuku na utapeli aliyowafanyoa Watanzania unajulikana wazi na imejadiliwa sana hapa JamiiForums.
Huyu jamaa alikamatwa na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na baadae akakiri na kuipa Serikali bilioni tano ajabu ni kwamba baada ya kutoka mahabusu aliendelea na biashara ile ile na...
Habarini wana JamiiForums,
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Mnamo wiki uliyopita hii nilipokea meseji kutoka kwa namba ngeni nisiyoitambua(tapeli),sms yenyewe ilikuwa ikinieleza kumtafta mganga Sanga ambaye ni mtaalamu wa dawa za jadi na ikaweka namba za mganga Sanga.
Baada ya sms iyo...
Hii kampuni ya D.light ilikuja na mfumo wa solar ambayo ina kifaa maalumu cha kulipa ili kuweza kupata huduma ya umeme.
Baadae wakaja na simu ambazo unalipa kwa siku,wiki,mwezi ikiambatana na kianzio kulingana na simu ilivo au kifaa chochote.
Hii kampuni sikuweza kuifahamu vizuri ila nimekuja...
Leo nimepata wasaa wa kuangalia local channel clouds tv kwakuwa mimi si mshabiki wa local channel ni nadra kwangu kuangalia hizi channel.
Wakati naangalia porojo za kipindi cha 360 ndipo nikagunduwa hawa clouds kupitia kipindi hiki cha 360 nimebaini kuna utapeli unaendeshwa wameupa jina la pata...
Nawasalimu kwa JMT
Katika mizunguko ya duniani nikichomwa n jua maeneo ya magomeni mwembechai, nikiwa dukani alikuja rafiki yangu niliyesoma nae O'level akiwa na mwanamke wa umri kidogo kuliko yeye, niliwahudumia vitu vya jumla kama 100k+.
Basi tukabadilisha mawasiliano, akaniambia yeye...
Timu ikiwa inapata matokeo kamwe kwa mashabiki mandazi hawawezi kuona mapungufu yao ndivyo ilivyokuwa kwa Simba ya Mo na yanga ya Manji, tofauti ya Mo na Manji ni kuwa Manji alikuwa na love na football na pia na yanga aliweka pesa yeyote muda wowote bila kupepesa macho.
Hakuikopesha club Kama...
Naomba kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa viongozi wote walioratibu zoezi hili la kuondoa machinga katika maeneo yasiyofaa!
Ni nadra sana kuona zoezi linafanyika kwa hekima kubwa kama hili! Pasipo unafiki busara kama hii imekua adimu kwa mda mrefu sana!
Hakuna asiyejua kwamba tatizo la...
Ujumbe wa DC Njombe kissagwakisakasongwa kuhusu VanillaNjombe
📍Serikali bado inafanyia kazi maswali mengi yaliyopo katika jamii kutokana na matangazo kwamba Vanilla inalipa na bei ya manunuzi ya Vanilla kwa kilo zinazotajwa kuwa ni kubwa sana. Naomba wananchi tuwe watulivu wakati Serikali...
Kutokana na watu wengi kuniandikia kuniuliza kama ni salama kuwekeza pesa JATU company PLC. Nimeamua kufanya utafiti na maswali kwenye utafiti wangu yalikuwa kama ifuatavyo;-
1. Nani anaongoza JATU?
2. Je, ni biashara gani wanafanya? Pia hii biashara ni hatarishi kwa pesa yangu?
3. Je, nini...
Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu.
Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria...
Nimeona na kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii leo Club ya Yanga wakitangaza viingilio vya mechi yao ya Jumapili ili khali wakijua wazi kuna zuio kutoka CAF kwa vilabu vyoote vinavyoshiriki michuano ya CAF kutoingiza watazamaji..
Jambo la kushangaza pamoja na maagizo hayo bado...
Na uthibitisho nmeweka. Huwa JF kuna baadhi ya watu sijui kwa nini wanalindwa. Uzi wangu nmeweka na uthibitisho lakini naona kama kuna mambo yamefanyika umeondolewa.
Ila uzi zikiwa zinawasema watu flani huwa zinadumu sana humu ndani. Tujue basi list ya watu ambao hawatakiwi kuguswa
Baadhi ya mambo ukiyatafakali yanadhihilisha wazi baina yetu bado tuna imani za kikoloni kichwani!
Elimu haijatukomboa kabisa, hatuna ubunifu kichwani kabisa! Ni bure kabisa!
Hivi kazi ya VAT ni nini? Na matumizi ya fedha hiyo ni yepi?
Hivi kuna sababu gani ya mimi kukatwa 18%ya VAT, Halafu...
Habari zenu wanajukwaa.
Naomba kuuliza swali kwenu.
Je, naweza kumshitaki aliekua mpenzi wangu kwa kosa la kunitapeli kipindi cha mahusiano yetu kwa kitumia uongo kwa lengo la kufanya utapeli huo?
Kwa ambao wanaweza kuchangia naomba ufafanuzi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.