utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Arusha: Kanisa lashitakiwa kwa tuhuma za utapeli wa eneo

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru inatarajia kuanza kusikilizwa Desemba 6, mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba wilaya...
  2. Ukweli Mchungu: Undumilakuwili wa CHADEMA ni matamko ni mengi kuendana na matukio lakini utekelezaji ni Sifuri

    Nimetoka kumsoma mdau mmoja maarufu akihoji juu ya undumilakuwili wa Chadema katika misimamo. Anahoji kuwa Chadema wanahamasisha watanzania tugomee tozo za miamala ya simu kwa kutofanya miamala, may be tutumie njia mbadala. Hili ni wazo zuri kama mgomo. Lakini kiutekelezaji kwa wao ni kinyume...
  3. Serikali wafuatilie huduma za mitandao nyingi ni utapeli

    Kipindi cha nyuma kidogo nilijiunga huduma yao ya halo quiz mtandao wa halotel bila kuijui vizuri baada ya muda mrefu jan nikaweka salio ili nijiunge kifurushi natumiwa sms salio limekatwa basi nikaona hii huduma ngoj nijitoe Sasa kilichonileta hapa mpaka naandika uzi huu jana niliingia menu ya...
  4. TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote au mawasiliano yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF wala...
  5. Halotel, huu ni utapeli? Sielewi kinachoendelea

    Siku ya tarehe 17.7.2021 nilitoa pesa kimakosa kwa kukosea namba ya wakala. Nikapiga simu wakasema wanashughulikia irudi. Nisubri masaa 72. Baada ya masaa hayo message ikaingia kwamba pesa imerudishwa kwa wakala. Sasa baada ya hapo nimeendelea kupiga simu majibu yanayotoka ni 1. Kusubiri...
  6. Magenge ya utapeli Tanzania: Tupe stori kama umekumbana na kadhia zao

    Kwa muda mrefu kumekuwa na Magenge mbalimbali ya Utapeli kupitia Mitandao, Waganga na hata Wafanyabiashara. Hadithi n nyingi kuhusu magenge ya watu hawa. Yawezekana una ndugu, rafiki au hata jamaa aliyekumbwa na kadhia ya hii ya kutapeliwa. Zipo taarifa kuwa ndani ya Magenge haya kuna watu wa...
  7. CRDB wanavyotapeli Wanafunzi wa Vyuo Vikuu bila wao wenyewe kufahamu

    Habari za wakati huu Great thinkers! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Ni kawaida kwa Wanafunzi wa vyuo vikuu kutoa pesa kutoka katika account zao za benki kidogo kidogo. Huo ndio mwanya wanaotumia CRDB kuwatapeli fedha zao, kivipi? Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo...
  8. SoC01 Suluhisho kupunguza utapeli unaofanywa na madalali

    Salaam Wakuu. Kwanza kabisa kila mmoja anafahamu Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku. NAMNA WANAVYOFANYA KAZI Mara nyingi kazi za madali hawa hazina formula maalum...
  9. Ni wakati sasa Wabunge kuacha utapeli na kulipa kodi inayolingana na kipato chao

    Wabunge wetu wa TZ wamejadili na kujinasibu niya yao ya kuinua mapato ya Taifa kupitia kodi. Hali inayojionesha kwa miaka mingi, ni tabia yao ya kutozungumzia ulipajhi wao wa kodi, usioendana na kipato halisia walichonacho. Kwa ujumla hili ni Bunge la watu wa misheni touni. Ktk kuhakikisha...
  10. ZINDUKA: Hatua za kuchukua Wakala na mteja ili kukabiliana na Utapeli mpya

    Ni siku nyingine tena nakuja kivingine, Natumai mko powa wasomaji. Leo nataka kuwapa mbinu za kukabiliana na matapeli sababu hawaishi na kila siku wana mbinu mpya. Kwa sasa mawakala ndio wanaongoza kwa kutapeliwa kupitia wateja wao kivipi? Twende pamoja kwenye makala hii. Kwanza kabisa kuna...
  11. 4G ya Halotel ni utapeli

    Halotel hawana 4G Narudia hawana 4G Ninaishi katikati ya mji kabisa mita kadhaa tu kutoka minara yao ilipo lakini cha ajabu speed yake ni ya kobe yaani hata kb haifiki inatembea 5 bps yaan byte yaani hata kb hawafiki. Ukiona imesoma hata 2.2k/s hapo ndo imejitahidi. Nilidhani ni nyumbani...
  12. M

    Hivi hizi kazi za Mtibwa Sugar ni kweli, au utapeli

    Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli
  13. Kuripoti utapeli Halotel

    Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na njia rahisi ili kuripoti utapeli. Piga *148*90# kisha chagua lugha. Baada ya lugha chagua tena njia moja wapo Baada ya hapo ingiza namba ya tapeli Mfano 062xxxxxxx kisha tuma.
  14. TCRA: Ripoti utapeli kwenye namba 15040

    Mamlaka Ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaomba wanachi kuripoti utapeli wowote unao fanywa kwa njia ya mitandao kwa kutuma aina ya message na namba iliyo tumika kufanya utapeli kwenye namba 15040. Utapeli huo ni wa Aina yeyote hata ule unao andika "...Ile pesa itume kwenye namba..." Au...
  15. Uhitaji wa ajira na tenda isiwe chanzo cha utapeli na kuingizana gharama zisizokuwa na msingi

    Wasalaaaam wakuu, Nina imani ninyi wote ni wazima wa afya, bila kupoteza muda niende kwenye mada tajwa hapo kama inavyojieleza, katika kipindi cha hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wengi wakiume na kike katika nchi yetu la kutafuta ajira na tenda mbalimbali na hili linasababishwa...
  16. P

    Utapeli wa vyakula kwa wasafiri

    Pesa ilivyokuwa ngumu. Nilisafiri kutoka Dar kuja Musoma, njiani kwenye vituo vta miji mbalimbali wauzaji wa vyakula wamekuwa sio waaminifu kabisa. Dodoma nauziwa kuku wanasema ni wa kienyeji kumbe ni kuku wa mayai aliyekomaa na kushindikana. Inapokuwa safarini usinunue kuku. Maeneo mengine...
  17. Unaweza kutoa pesa ili kupata ajira? Ni vipi utahakikisha kuwa hautapeliwi?

    Habari wadau! Nakumbuka nilishawai kuitwa sehemu kufanya internship kwa ahadi nikimaliza internship nitapata ajira. Ila baada ya HR kivuli kustukia mchongo likaanza zwenge la kunishinikiza nitoe pesa ili nipewe kazi binafsi sio muumini wa rushwa; nilikataa hapo ukaanza mvutano kati ya head of...
  18. Tangazo la mafunzo ya zimamoto, je ni la kweli au utapeli?

    Wakuu kuna tangazo nmelipata limetolewa na jeshi la zimamoto kupitia kamishna mkuu kuhusu mafunzo, je ni tangazo la kweli tuchangamkie fursa au ni matapeli? [emoji116][emoji116][emoji116]
  19. E

    Utapeli kwa njia ya mtandao

    Habari wadau wa jamiiforums Naomba nikiri kuwa Mimi nimuathirika wa wa utapeli kwa njia ya mtandao. Mnamo tarehe tatu mwezi Juni 2021, nilipgiwa simu na mtu ambaye alikuwa kwenye ofisi yangu(mfanyakazi wangu) kuwa Kuna mtu alikuwa na uhitaji wa maalumu kutokana na na yeye kuumwa. Akaomba atoe...
  20. Nawatetea Serikali, TCRA, Polisi na mitandao ya simu kuhusu utapeli wa "Tafadhali tuma kwa namba hii"

    Nitangulize samahani kwa wadau watakaodhani natetea uhalifu (ubaya) wa namna yoyote. Lakini wema na ubaya havijawai kuachana kama mwanga na giza. Ifikie hatua waibiwaji tujitathmini. Ubaya ukikwaza wengi mtu timamu huangalia wapi tatizo linaanzia. Hili la wizi wa mtandaon kama "tafadhari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…