utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi ndivyo ambavyo Polisi wanavyoshirikishwa utapeli bila Polisi kujua kuwa wametumika

    JIHADHARI NA WIZI HUU MPYA Njia mpya ya utapeli yaibuka wakishirikisha Jeshi la Polisi bila kujitambua kuwa wanafanikisha dili za hawa matapeli. Mfano: Matapeli wanaweza kukuuzia simu ya wizi ya bei kubwa ya kiasi cha shilingi laki nane (800,000/=) kwa fedha ndogo ya elfu sabini (70,000/=)...
  2. Utapeli online: mitandao yote inawafuga hawa matapeli,kuwakamata ndio rahisi sana

    Wakati usajili wa vitambulisho vya taifa unakuja tuliambiwa ni mwiba kwa matapeli. Je wameisha? Hapana tena wapo sana tu. Kuna visa kadhaa vya utapeli nimeshukudia kikiwemo juzi tu,dada katapeliwa mbele yangu. Inashindikana nini kuwakamata hawa watu? Nilijaribu kumsaidia yule dada nikapiga...
  3. Jinsi nilivyotapeliwa na mtu niliyedhani ni mhitaji kumbe ni tapeli

    Habari ndugu wapendwa na natumaini sote tu wazima wa afya na walio na mitihani ya maradhi au changamoto mbali mbali Mungu awapiganie ili sote tuishi kwa raha na kukiri utukufu wa Mungu. Nimeamua kuileta habari hii ambayo ilinitokea mimi mwenyewe ili iwe kama funzo kwa wengine wenye mioyo ya...
  4. Tahadhari: Utapeli ndani ya benki

    Wasalaam Wakuu. Ijapokuwa uzi kama huu ulishetwa humu juu ya utapeli ndani ya benki, lakini haukuwa umeshiba. Nikaona niwaeleze kwa undani ili tumakinike. Kuna wale wanaopenda kujua kama nimetapeliwa ama la, ukweli ni kuwa sijatapeliwa. Ila walikuwa wanajaribu kunitapeli. Leo asubuhi nilienda...
  5. Ajira 6,000 za walimu zagubikwa na utapeli. Waziri Ummy amuagiza Katibu Mkuu kufanya uchunguzi

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema kuna Watu wamejitokeza mitaani ambao wanawadanganya Walimu ambao hawajaajiriwa kuwa wanatakiwa kutoa Tsh. Milioni moja ili wapate ajira kwa haraka kwani nafasi hizo hazitatangazwa na Serikali bali zitatolewa kisirisiri. Waziri Ummy ameyasema hayo mapema...
  6. Utapeli wa Biashara za online

    Wakuu habari... Siku hizi kama tunavojua kuna biashara nyingi sana za online huku ukifanyiwa delivery either free or malipo kidogo. Japo ni rahisi kushawishika kwa ubora wa bidhaa wanazouza kulingana na uhitaji wako, kuna wauzaji wengine si waaminifu ni matapeli watakuaminisha ulipie nusu ya...
  7. Tangazo la kitapeli la ajira lililotumia nembo za TRA, hivi ndivyo walivyowaibia watu

    Hili tangazo la ajira nilikutana nalo kwenye group moja la WhatsApp, ila nikawa nimelishutukia kuwa Laweza kuwa la kitapeli baada ya kwenda kwenye website ya TRA kulikosa hilo tangazo, pia kufuatia mfumo Wa email ya mtu kwa kutumia gmail. Lakini kufuatia ugumu wa maisha na kukaa kitaa muda...
  8. Utapeli wazidi Nigeria, wenye magari wauziwa maji badala ya mafuta sheli

    Nawasalimu members wote, Video ya kituo kimoja cha Mafuta cha Fatgbems nchini Nigeria imesambazwa sana katika mitandao ya kijamii kwa kuuza maji badala ya Mafuta ya petroli kwa wateja wake, kulingana na BBC Pidgin. Video hiyo ilisambaa baada ya baadhi ya wateja kujitokeza na kuanza...
  9. Utapeli kwenye makanisa

    Niliambiwa na ndugu mmoja kanisani kwetu aliyetokea Zambia, kwamba nchini kwao waganga wa kienyeji huacha uchawi vijijini na kwenda kuwa wachungaji wa makanisa katika miji na majiji, nao husema eti unaweza kupata pesa nyingi ukiwa mchungaji mjini kuliko kuwa mganga wa kienyeji kijijini kwa kuwa...
  10. Ujue utapeli wa 419

    Utapeli wa 419 ni utapeli ambao pia unajulikana kama Lipa Ada Kabla (Advance Fee Scam). Ni utapeli ambao hufanywa kwa kiasi kikubwa nchini Nigeria, na namba 419 ni ‘code’ ya Nigeria ya kitengo cha utapeli Utapeli huu hufanywa kwa kumuahidi mtu kiasi kikubwa cha fedha aidha kwa kumwambia...
  11. Huu ni utapeli mpya?

    Wandugu, Jana katika pita pita zangu huko YouTube nikakutana na hizi habari. Hawa jamaa wanajiita (Mula empire) TANZANIA PAYMENT wengi ya walionipa Habari za hawa jamaa kupitia YouTube channel zao wanasema ni moja ya njia mpya ya kupata pesa mtandaoni. Wanasema utaniunga Kwa Tsh 13000/= na...
  12. Je, utapeli unafanyika ndani ya Matawi ya Benki?

    Habari; Jana nilienda na mteja wangu mmoja kwa ajili ya kufanya taratibu za kupata mkopo katika tawi moja la benki ya NMB. Kufika nilikuta matangazo mengi sana yakitahadharisha juu ya Utapeli wa Biashara ya Madini pamoja nakubadili dola feki. Kwanza nilishtuka na kujiuliza je ni kwamba huu...
  13. Utapeli wa kazi unaopostiwa na wahalifu wa mtandao -Zoom Tanzania

    Naomba niwaalert job seekers kwamba kuna watu wanapost kazi Zoom Tanzania kwa kutumia jina la Organization ya World Direct kitu ambacho sio kweli as ukishaapply wanataka ufanye PAR test na kulipia almost 125,400 ya Kitanzania kwa ajili ya certificate, nimewasearch na kuona wanatumia majina...
  14. J

    Jinsi ya kuepuka utapeli wa kazi na ajira kupitia mtandao

    Kuwa na shaka juu ya fursa za kazi, haswa zile zinazotoa ahadi ya mapato ya uhakika au zinazohitaji ulipie kabla ya kuanza. Ikiwa kazi hiyo inajumuisha kutengeneza au kuuza aina fulani ya bidhaa au huduma, ulizia kwanza ikiwa kweli kuna soko la bidhaa hiyo. Uliza mrejesho kutoka kwa watu...
  15. N

    Video: Azam TV tunzeni heshima yenu, hivi ni vitasa feki

    Kwanza hongereni sana kwa kuleta revolution ya tv hapa bongo. Soka mmefanikiwa, bongo movies pia naona mnakomaa na ndondi pia mmeamua kutuletea. Ila dah ndugu zangu kilichotokea Dodoma kwa Dulla Mbabe ni uhuni. Ni kama vile mnashirikiana na matapeli kuokota walevi mnawaleta hapa waje wapigane...
  16. J

    Utapeli wa Mtandaoni kwa kisingizio cha mapenzi

    Matapeli huko mtandaoni hutengeneza wasifu bandia kwenye tovuti halali za kutafuta wachumba. Wanatumia profaili hizi kujaribu kuingia kwenye uhusiano na mtu ili waweze kupata pesa zake na maelezo binafsi. Tapeli atakuwa na uhusiano mzuri na mtu huyo wakishazoeana ataanza kuombe pesa ili...
  17. Ujue utapeli uliojificha wa kutafuta sarafu za kizamani kwa dau nono | kaa chonjo

    Bila kupoteza muda kwenye mada. Najua wengi mshasikia sana mambo ya kutafuta sarafu flani ya zamani na kuahidiwa kupewa donge nono la pesa. Kwanini pesa hiyo inunuliwe kwa pesa nyingi hivyo? Utaambiwa ni dawa, madini au ina kazi maalumu. Kwa sasa kuna page hapo Insta inajitangaza kutafuta...
  18. K

    Utapeli wa biashara ya kuwekeza unaofanywa na kampuni ya FX Fire iliyopo mkoani Mwanza

    Naomba watanzania muwe makini sana na kijana anaitwa Peter Kasanga aliyeko mkoani mwanza mwenye kampuni ya fx fire, anafanya biashara ya uwekezaji yaani unawekeza pesa na mwisho wa mwezi unalipwa 60% ya kiasi cha pesa ulicho wekeza, alikuwa akifanya hii biashara ya uewekezaji tangu mwaka jana...
  19. Yawezekana utapeli wa mtandao maarufu kama "tuma kwenye namba hii" ukawa unaratibiwa

    Habari wana JF, Leo nimeanza kuamini kuwa wale jamaa wa TUMA KWA NAMBA HII ni matapeli walio kwenye ama makamouni ya simu ama mabenki yetu. Leo nimetumiwa kiasi fulani cha fedha kwenye simu yangu. Aliyenitumia ametumia bank kuja kwenye mtandao wa simu. Kabla hata sijamaliza kusoma ujumbe wa...
  20. Utapeli wa nyumba unaoshika kasi Mbagala Chamazi na Chanika

    Kuna wimbi la nyumba nzuri na za kisasa kwa mwonekano zinaziuzwa kwa bei chee 25m-45m Mbagala Chamazi na Chanika jijiji DSM. Mchezo upo hivi: Kuna jamaa wana viwanja vingi na wana mafundi wao ambao hujenga nyumba cha kiwango cha chini sana cement mfuko mmoja tofali 48+ tofali hufwatuliwa site...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…