utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Diwani wa Ikanga kushtakiwa kwa kughushi nyaraka za gari na utapeli wa Ksh. 2.2 Milioni

    Diwani wa Wadi ya Ikanga, Cyrus Kisavi Musyoka, anatarajiwa kufikishwa mahakamani Ijumaa kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ununuzi wa gari ili kulaghai Bunge la Kaunti kiasi cha Ksh. 2.2 milioni. Musyoka anadaiwa kuwasilisha stakabadhi za uongo za kurejeshewa fedha za ununuzi wa gari kwa lengo...
  2. Tujadili Kuhusu Utapeli Mtandaoni – Je, Tunajilindaje?

    Habari wadau, Katika ulimwengu wa kidijitali, utapeli mtandaoni umekuwa tishio kubwa kwa watu binafsi na taasisi. Kila siku, watu wanapoteza pesa na taarifa zao za siri kwa njia za ujanja zinazobuniwa na matapeli wa mtandao. Katika mjadala huu, tuzungumze kuhusu: ✅ Aina mbalimbali za utapeli...
  3. Mikoa ya Rukwa, Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam vinara wa utapeli wa mtandaoni.

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
  4. Mikoa ya Rukwa, Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam vinara wa utapeli wa Mtandaoni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
  5. Vijana 132 wakamatwa Kibaha wakijihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa ni utapeli

    Katika tukio la kushtua, vijana 132 wenye umri kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali ya pembezoni mwa Tanzania wamekamatwa huko Mlandizi, Kibaha Vijijini mkoani Pwani, wakiwa wanajihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa kuwa ni ya kitapeli. Biashara hii inadaiwa kufanyika kwa...
  6. Umewahi kutapeliwa/umekutana na changamoto gani ya utapeli na ukatapeliwa kirahisi?

    Biashara ya Mtandaoni: Ushuhuda, Mafanikio, na Changamoto za Matapeli Mimi ni mdau mkubwa wa biashara za mtandaoni, na jambo linalonivutia zaidi ni pale tunapoweza kuzungumza na kufanya biashara kwa njia rahisi. Watu wengi wamefaidika na biashara hii, wengine wakitengeneza mtandao mkubwa wa...
  7. Saikolojia, Utapeli wa mwanamke

    Wanawake ni wataalamu wa udanganyifu wa kisaikolojia. Wamebobea katika mbinu za hila zinazowafanya wanaume imara kuwa wanyonge bila hata wao kujigundua. Unadhani uko kwenye usukani? Fikiria tena. Hizi ni hila ambazo wanawake hutumia kuvunja uanaume wako na kukufanya ufuate matakwa yao: 1...
  8. Mitandao ya simu Tanzania na utapeli wanaoufanya kuongeza CPA "Click per Action".

    Miaka ya hivi karibuni mitandao ya simu imekuwa ikitulazimisha kusoma sms, na wanafanya hivyo ili tu tusome matangazo yao mengine yasiyokuwa na Tija, bila kujua kuwa wanakwamisha watanzania Kwa kuwapotezea muda. Mfano unapo angalia salio, asilimia kubwa hii mitandao imekuwa ikitulazimisha...
  9. Azam TV Max Kuna utapeli mwingi watu wanasajili kupitia decoder za watu wengine Free of Charge kuangalia vipindi bure azam Media wanahusika.?

    Habari ndio hiyo. Mjumbe hauwawi azam Media. Kuna malalamiko watu wanasajili azam max kupitia namba za visimbuzi ambavyo si vya kwao. Je taarifa hizi wanazipata wapi kama si kwa Wafanyakazi wenu? Naomba hili suala lichukuliwe siriazi huu ni wizi kama wizi mwingine wa kimtandao. Serikali naomba...
  10. Mfanyakazi wangu ametapeliwa bidhaa zenye thamani ya Tsh. 300,000 Goba njia nne kwenye sheli

    Haki ya nani nikikutana na mwizi au tapeli wa aina yoyote nanunua petrol na kiberiti, kama sina hela namkanyaga shingoni paka afie hapo. Nina hasira kilo mbili na nusu.
  11. L

    Utapeli wa nguvu ya pesa na jicho la tatu

    Kuna vijana ambao tayari wamepigwa za uso na kukosa imani na kijana wa mizimu Bw. Chief, lakini pia kuna ambao hawajui ukweli kuhusu kujiunga nao. Hii yote ni vijana kutaka mafanikio makubwa ya haraka. Ila ukosefu wa akili ya kujiuliza maswali ndo unachangia 🤦🏾 Mfano: 1. Mtu anakuambia njoo...
  12. Utapeli wa ndoa na hatima ya mwanaume kwenye jamii

    Salaam jamiiforum Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake. Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote hao wanapishana na kupeana koneksheni ya madanguro (machimbo) mapya. Hii yote inasababishwa na...
  13. Umewahi kutapeliwa mtandaoni au kidogo uingie mkenge? Tuambie ilikuaje uokoe mtu asije kuingizwa mjini (mtandaoni)

    Wakuu, Kumekuwa na wimbi la watu kuweka nyuzi kuuliza kama fursa fulani ni kweli au lah, au kama zawadi anayotumiwa ni kweli anapendwa au anataka kuingizwa mjini. Tunasikia mara kadhaa watu wanalizwa lakini kenge hawakosi, na mara nyingi huwa inakuwa ni tamaa ya kupata hela ya haraka haraka...
  14. Ni utapeli au napoteza bahati?

    Kisa Changu Kiko hivi, Kuna mzungu aliniomba urafiki Facebook baada ya kumkubalia akaniomba namba ya Whatsapp. Tukaanza kuwasiliana ndani ya siku mbili tatu akaahidi kunitumia mzigo ambao ni simu ya iPhone 16. Yeye anaishi London uingereza na siku aliyotuma mzigo alisema kuwa amekosa ndege...
  15. Klabu ya simba inachofanya ni utapeli serikali iingilie kati wajinga wanaibiwa

    Viongozi wa hii taasisi wameanzisha kampeni ya utapeli ambayo sisi kama raia wema tunaomba serikali yetu tukufu iingilie kati sababu raia masikini wanakamuliwa bila kujitambua yaani wanampa tajiri pesa unaambiwa wanachangisha milion 100 ila je inayozidi inaenda wapi kama sio Kwa matapeli ambao...
  16. Utapeli mpya wa kampuni ya FIC

    Vijana Kuweni kuna matapeli wamekuja na kampun Yao ya ku bet inaitwa FIC Vijana weng wametapeliwa Kwa Sasa tena kuna Mtu katapeliwa million 500 Toka jana hao Vijana wanalia
  17. Nahisi harufu ya utapeli

    Kwemaa. wazoefu nifanye nini ili nisipigwe na kitu kizito hapa hawa nahisi ni wanaija.
  18. Tapeliwa na wote lakini sio kutapeliwa na mtu unayemuita rafiki inauma sana

    Ninaandika haya nikiwa bado siamini kama ni kweli ni mimi leo hii ninaye pitia magumu haya ambayo yamesababishwa na mtu nilie mchukulia rafiki kama ndugu yangu. Rafiki huyu kaniponza paka hivi sasa navyo andika hapa :- Sina kazi tena ya kuniingizia kipato Nakimbia kwangu kisa kodi Nauguliwa na...
  19. Yeriko Nyerere akaangwa na Dr.lwaitama asema makaratasi yake ya ujasusi NI utapeli mtupu.

    Dr.kwaitama ambaye nimpigania demokrasia na mwumini wa mageuzi hapa nchini amesema kwamba yeriko Nyerere ni tapeli na hafai kwenye jamii ya watanzania kwani amekuwa kigeugeu katika misimamo yake hasa kwenye upande wa siasa, mwandishi huyo wa vitabu vya ujasusi amekuwa akitoa lugha za kashifa...
  20. Airtel mnachokifanya kwenye router zenu ni changamoto kubwa sana kwa wateja wenu. Mtandao upo chini sana

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Bila kupoteza muda wiki iliyopita nilijiunga kifurushi cha mbps 10 unlimited kwenye router ya airtel smartbox 5g kwa tsh 70k, Mwanzo speed ilikuwa really 10mb per second lakn leo ghafla asubuhi imeshuka had 1mb per second na haitaki kupanda. Yaani natumia speed...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…