Habar za muda Huu wana jamvi leo mida ya saa sita mchana ilinipigia Namba hii 0749935122 ambayo ni ya huyo tapeli alijitambulisha kwangu anaitwa Mr Elias alipata taarifa kuwa Mimi ni fund Kuchomelea kwaiy ana sait yake Ipo mtaa flani ambao upo KM 15 Hiv toka ninapokaa Mimi anataka ikapimwe...
Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom.
So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili wasionekane matapeli.
Wale wahudumu wanamtumia mwanya wa Watanzania kutokujua mambo muhimu kuwalaghai...
Tunasikia vilio na malalamiko kuhusu wachungaji wenye kuwatapeli waumini wao na wasio waumini wao. Wenye kuamini miujiza ila utapeli huo wa kisasa zaidi mchungaji anatoa chupa ya maji na udongo ,wewe unampa pesa.
Ukirudi nyuma utapeli huu haukuanza leo ulianza kale wamisionari...
Wakuu,
Chalamila anazidi kuonekana hamna kitu kichwani, haya matapeli tukalinde amani ya nchi ili tuzidi kuapata wa kuwatapeli! 🤦♂️🤦♂️🤦♂️
Job true true!
Kariakoo (Dar) kwa siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la kubwa la biashara ya simu zilizopachikwa jina kama 'Simu za Mtumba' ambazo uuzwa kwa bei nafuu, simu hizo ni za 'brand' mbalimbali nisingependa kuyataja hapa.
Udadisi nilioufanya kwa miezi kadhaa ambayo nimekuwepo Kariakoo nimegundua...
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu kuhusu namba za simu zinazofanya utapeli mitandaoni, hasa kwa njia ya kuomba kutumiwa pesa kwenye namba nyingine. Mara nyingi, namba zinazohusika na utapeli huo ni za TTCL. Watu wengi wamekuwa wakitoa taarifa kwa kutuma namba husika kwenda 15040, ambayo ni...
Leo nimeujaribu huu mchezo nimegundua watu wanatapeliwa, ukweli ule mchezo huwezi kushinda pesa nyingi kama watu wanavyodhani, aviator imetengenezwa kwa ajili ya kula tu sio kuliwa😀😀.
Leo nimetegeshea sh 100 nitaweka kwenye kitufe cha autobet Na kitufe cha autocash, cha ajabu kile kindege...
Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA.
Mfumo huo ambao hautumii kikoa (domain) ya serikali ya Tanzania yaani .go.tz, unatumia domain ya .us ambayo si...
Wakuu,
Leo VAR imeanza kutumika huko Mauritania kwenye ligi yao
Sisi huku licha ya uzinduzi kufanyika na ligi kuanza
TFF wanasingizia vibali kutoka CAF na FIFA.
Huu ni utapeli wa mchana kweupe.
Tutegemee maumivu zaidi mpaka msimu unaisha
==================
UPDATES
Tumepigwa...
Naomba nieleze kwa ufupi.
Kukua kwa teknolojia kunasaidia mambo mengi kukua ikiwemo biashara. Ila hivi karibu kumekuwa na utapeli dhahri mfano kwa hapa Tanzania. Kumekuwa na wafanya biashara kutoka upande wa Zanzibar hasa Pemba wakiuza vitu bei ya chini mbali na uhalisia mfano laptop.
Ambapo...
Jeshi la Polisi nchini, linawashikilia walimu 4 na mfanyabiashara mmoja, kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuwadanganya kuwekeza katika sarafu za kimtandao (cryptocurrency) na matokeo yake kutoweka na fedha zao walizowekeza.
Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa...
Serikali ya Tanzania imeweka wazi sababu ya kumfukuza nchini Kiongozi na Mchungaji wa Kanisa la Christian Life maarufu ‘Kanisa la Kiboko ya Wachawi’, Dominique Dibwe kwa kukiuka misingi na mafundisho ya Vitabu Vitakatifu sambamba na kutoa wito kwa wahubiri wengine kufuata mafundisho ya Vitabu...
Daniel Mthimkhulu, alidanganya kuwa na Shahada ya Uhandisi wa Mitambo kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand na Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Ujerumani
Aliajiriwa na PRASA mwaka 2000 na kupanda Cheo hadi nafasi ya Mkuu wa Uhandisi kutokana na CV yake ya kughushi, huku akipokea...
Huenda sio Mara yako ya kwanza kukutana na matangazo ya kwamba hizi noti zinatafutwa na zinanunuliwa kwa bei kubwa Sana. Huu ni utapeli ambao unafanyika kwa njia zifuatazo👇🏿
👉Baada ya wewe kuzitafuta na kuwa nazo mfano mbili, utampgia huyo aliyesema anazinunua, labda moja Tsh 20k, hivyo atakupa...
Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .
1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu?
2. Je, sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?
3. Kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao...
Rais wa Rwanda, #PaulKagame amesema ongezeko la Makanisa ambayo mengi kati yake yamekuwa yakichukua Fedha za Waumini na kuwatajirisha Viongozi wa Madhehebu utailazimu Serikali kuanzisha Kodi ya Makusanyo ya Kanisa.
Pia Soma: Kagame ni muongozo sahihi katika masuala ya kidini nchi za Afrika...
Nina uzoefu binafsi na hawa watu.. Sio wakuwaendekeza hata kidogo. Ni wabinafsi, ni wachoyo, ni ombaomba hawaridhiki na hawana shukrani.. Ni waongo sana pia na huwa wanajiona ni wajanja kukuzidi
Unaweza kujitoa kuwasaidia sana. Watakupamba sana na kukuganda lakini nyuma ya pazia wanakuona...
Forex na uwekezaji katika hisa mara nyingi huonekana kama utapeli kwa sababu ya sababu hizi hapa:
Udanganyifu na Ahadi za Faida Kubwa: Watu wengi wanavutwa na matangazo yanayodai kuwa unaweza kupata faida kubwa kwa muda mfupi bila juhudi nyingi. Mara nyingi, haya ni matangazo ya udanganyifu...
Habari zenu wanaJF
Naomba msaada hapa.
Kuna rafiki yangu ana ofisi ya kutoa huduma za wakala wa fedha, kama m-pesa, halopesa na tigopesa.
Sasa anabinti amemuajili pale, jana Binti katapeliwa lakini kwa jinsi anavoelezea na kama huu utapeli una uchawi ndani yake.
Yani kuna binti mdogo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.