Hawa wanawake sijui wana shida gani!? Wakiwa hawajaolewa wanahangaika kwa manabii na waganga ili wapate ndoa. Ila wakishaolewa kutwa kuhangaika kurukaruka kutaka kugawa utamu wa ndoa kwa sisi mabachela.
Imagine mke wa mchungaji, status zake ni makongamano na semina za kibiblia na neno la...
Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu,
Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji,
Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha...
Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum.
Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari...
Nabii kiboko ya wachawi aingia mtegoni na kuthibitika kua kweli ni tapeli baada ya Mwandishi kutoka Mwananchi Digital kupiga simu kwa kiboko ya wachawi na kujifanya mgonjwa na kiboko ya wachawi aliomba shilingi milioni kumi ili amponye.
Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life...
Ukiona Mfanyabiashara hana bluetick ogopa sana huyo ni tapeli hata ukinunua mali kwake ukikuta mbovu jua ndio bye bye.
Kuna mstari mwembamba sana pia uliowatenganisha watu wanaoondoa bluetick na kujisikia,ubinafsi,utapeli na roho mbaya be carefull mtandao unauwezo wa kukutambulisha tabia ya mtu.
Habari wanajamvi,
Kwa muda sasa Kuna mambo ya kitapeli hufanyika waziwazi bila matapeli hao kuchukuliwa hatua
Kwenye Kona mbalimbali ya jiji hili hususan karibu na maeneo ya stand kuu, Kuna watu huwa wanaofanya utapeli wa kitapeli watu Kwa kutumia michezo ya bahati nasibu kama kinga
For...
Kampuni ya Meta imefuta akaunti 2,500 zilizokuwa zinaendeshwa na kikundi cha watu 20 ambao walikuwa wakifanya utapeli kwa wanaume na watoto chini ya miaka 18 nchini Marekani kwa kuwatishia kuvujisha picha zao za utupu.
Pia, imefuta akaunti za matapeli wa mtandaoni wanaojiita "Yahoo Boys" na...
Shikamoooni wakubwa, wadogo marahabaa..
Katika maisha kuna vitu vingi mwanadamu hupitia vingine vinakuumiza, ila mwisho wa siku unapata la kujifunza. Ule usemi wa mjini Shule nikadhani kuna madarasa na walimu kumbee laah nikagundua kuwa walimwengu wanaweza kukupa mafunzo mjini bila kutumia...
Kwa maneno aliyoyazungumza waziri wa habari Nape Nhauye wakati akiongea na wanaccm huko Bukoba mkoani Kagera ni ishara tosha nchi hii inaongozwa na wahuni. Waziri mzima tena mkuu wa wizara ya habari unaongea ujinga mbele ya watu wazima. Tume ya uchaguzi inapewa pesa nyingi Kila mwaka kuhakikisha...
Wafanyabiashara wa Moshi wenye malori wamegoma kuingiza malori barabarani baada ya sitomfahamu ya kodi iliopanda pasipo kushirikishwa
Wakiongea kwa uchungu wamesema wao waliitwa wakajulishwa upandaji wa kodi hivi karibuni wakaahidiwa wataitwa viongozi watajadiliana na kuona sh ngapi ya...
Mwaka 2012 saa tatu usiku hivi, nikitembea pale Zakhem nikitafuta daladala za Chamazi. Na ule uharaka wa kutembea ghafla nikajikuta kama nimemkanyaga bwana mmoja (alijikanyagisha sikujua).
Basi akanishika begani huku akitweta kwa ghadhabu kuu "kwanini unanikanyaga bro, wajikuta nani labda... "...
Leo tar. 05 July 2024
Katika hali isiyo ya kawaida nikiwa eneo la tukio (nilimsindikiza ndugu yangu ambae nae ni muhanga wa hii habari) abiria waliotakiwa kusafiri na gari kampuni ya ALLY'S STAR T644 kutokea DAR ES SALAAM (Urafiki) kuelekea MWANZA walikumbwa na sintofahamu baada ya...
Tunaomba mamlaka ya usafiri LATRA iifunge kampuni ya mabasi ya BM yandayo Dar -Kilimanjaro/Arusha kutokana na udangajifu kwenye nauli.
Wanafunzi wa shule ya anwarite ambao walikuwa wanatakiwa kusafiri leo kwa mabasi aina ya luxury wametapeliwa kwa kulazimishwa kusafiri kwa kutumia mabasi ya...
Matukio ya utapeli nchini yamezidi na yanazidi kushika kasi nchini. Matapeli wamekua wakibuni mbinu mpya kadiri siku zinavyosonga. Utapeli wa mitandaoni na usio wa mitandaoni umekuwa mwiba mkali kwa wananchi wengi huku ukiwaachia maumivu ya kupoteza pesa walizotegemea zingewanufaisha kwa namna...
Kama una command ya kiingereza soma. Utaona kuwa people are smart! Pamoja na kuwa ni utapeli, lakini ulivyokuwa planned , Alex yuko smart.
All in all, Court of Appeal imempiga chini na damages, costs juu!
Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu, akaniambia kama huamini tafuna hili karatasi nikatafuna nikatema nywele Daah si nikaanza kumuamini...
Afande IGP Wambura, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni ,taratibu na tamaduni mbalimbali zilizopo.
Iweje Leo watu waamue tu kuwaibia Watanzania wenzao na ninyi mliopewa dhamana ya ulinzi wao na mali zao mkae kimya?
Mfano, hawa wanajiita Mkopo Fasta walimpigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.