Kwema Wakuu!
Chama hakipaswi kuchekea mambo ya Rushwa au wanaotoa tuhuma kwa wenzao kwamba wanakula Rushwa. Lazima chama kichukue hatua ikiwezekana kuwavukuza uanachama
Rushwa kwa vyama Makini ni kosa kubwa Sana ambalo linatosha kumfukuzisha mtu uanachama. Rushwa ni Jinai kwa upande wa Sheria...
Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume...
Hekima ya Mungu ikuongoze kwenye comment!
Wewe kijana, mkaka, mdada, mzee, umri wa makamo na kadharika. Unapoandika au kuchangia mada yoyote juu ya unaoitwa utapeli ambao wewe unahisi watu wanafanyiwa na watumishi wa Mungu basi jaribu kuwa na kiasi.
Kama hujafanya utafiti wako binafsi na...
Tarehe 7/12/2024 kuna mteja alifika kwenye duka linalouza vifaa vya umeme kununua mojawapo ya bidhaa za umeme bahati mbaya akawa amekuja na kiasi cha pesa pungufu akaomba muuzaji aongee na bosi wake ambaye hakuwepo wakati huo amkubalie kununua kwa bei hiyo.
Baada ya muuzaji kumaliza kuongea na...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imewaachia huru wafanyakazi wawili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki, Wakili wa Serikali...
Siku zote utakutana na wanawake wenye mvuto kuliko mwanamke wako, utakutana na wanawake wenye vibes zaidi, utakutana na wanawake ambao wana habari zaidi, utakutana na wanawake wanaofanya kana kwamba wanamjali kuliko mwanamke wako.
Pia ukiwa mwanamke utakutana na wanaume ambao ni matajiri sana...
Kampuni zilizokuwa zikitoa mikopo kwa wananchi bila vibali na kwa riba kubwa zinapaswa kushitakiwa kwani walichokuwa wakikifanya ni utapeli kama utapeli mwingine.
Pia kwanini utapeli na wizi vimeongezeka kipindi hiki cha serikali ya awamu ya sita? Je,wahusika wa hizi kampuni wanaweza kuwa...
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.
Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
Aina ya risiti zao
Leo asubuhi kina mama wa Mtaa wa Kilungule B Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wameamka na vilio baada ya kutapeliwa na watu waliokuja kufanya mnada wa vyombo mbalimbali kama masufuria na vifaa vingi vikiwa vya kieletroniki kama simu, laptop, sabufa, pasi na vitu vingine...
Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake.
Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu.
Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai.
Kitabu...
Wauzaji feki wa sabuni za kuoshea choo:
Unakuta wame print kabisa na tshirt ya jina ya biashara yao. Wana target wale wanaonunua jumla. Ukifungua sabuni unakuta mimaji milaini mitupu.
Wanaojifanya Afisa wa TRA:
Unakuta mfanyabiashara anapigiwa simu na mtu anaejitambulisha kama mfanyakazi wa TRA...
"wanajeshi wa idf wanabeba maiti zao huku wakilia"
JIBU: ULITAKA WACHEKE
"Mitambo ya kuzuia makombora ya Israel haikufanya kazi vizuri kipindi Iran waliporusha makombora"
JIBU: WEWE HAPO ULIPO KWA SHEMEJI YAKO UMEISHAUNDA MTAMBO MGANI
"Israel ni mashoga"
JIBU: UMEJUAJE KAMA HAKUWAHI KUFANYA...
Akizungumza kupitia Power Breakfasta leo Oktoba 30, 2024, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma amesema "Kwenye utapeli kabla na baada ya zoezi la usajili wa laini za simu tofauti ipo kubwa sana. Ukiangalia ripoti ya Robo mwaka ya performance ya mawasiliano kwenye takwimu za mawasiliano...
Leo nakufungulia hii code. Thamani za mwanaume na mwanamke zinaangaliwa katika vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali/uwezo wa kifedha na thamani ya mwanamke ni mwili wake yaani ile purity.
Mwanamke anaingia kwenye soko la mahusiano around miaka 15 hivi akiwa na thamani kubwa, hiki ni...
Habari za wakati huu ndugu zanguni.
Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake.
Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa...
Habari zenu wakuu.
Mzee Ayo huko Arumeru amemaliza safari yake ya hapa Duniani, ni chanzo kikitajwa ni utapeli wa mtandaoni maarufu " Tuma Kwa namba hii"
Kwenye hili tuache unafikia hawa watu wa mitandao ya simu inawezekana wapo wengi sio waaminifu na wao ndio wanaoinjinia huu utapeli .
Natoa...
Haya sasa sema kimeumana Dr. Manguruwe akaliwa kooni adaiwa katapeli watu. Bwebwe nyingi huko mtandaoni kumbe nyuma ya camera anayake mambo
===================
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na isiyotarajiwa kampuni ya Pig Investment International (Kijiji cha Nguruwe) inayomilikiwa na Simon...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.