Kuna watu wanakupigia simu eitha uwape namba ya dreva tax,bodaboda wakiomba huduma eneo fulani au Kama una namba zao uwapigie waende walipo hasa maeneo yanayotajwa ni yale wanayojua ulipo hayawezi kukosa,makanisa,shule,stendi,kiwanja cha mpira au soko
Ukimwambia bodaboda au dreva tax nenda...
Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...
-Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika
-Ushuhuda
Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya kwanza wa viwanja.
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM.
====
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake UWT inapenda kuutahadharisha Umma juu ya Uwepo wa kundi la wahalifu mtandaoni wanaotumia Vibaya Jina la Katibu Mkuu Ndg. Jokate Urban Mwegelo na kulihusisha na Huduma utoaji wa Mikopo ya bei Nafuu..
Taarifa hizo sio za kweli na Ni...
Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo.
Sasa akishaona...
Anonymous
Thread
makini
matapeli
milioni
mpya
njia
njia mpya
siku
utapeli
wanakuja
Mimi ni miongoni mwa wafanyakazi (150+) wa M-gas Cooking Limited. Hatujalipwa mshahara wa mwezi wa pili bila taarifa yoyote zaidi ya hapo tulipokea taarifa kwa njia ya email kwamba kampuni imeshindwa kutulipa mshahara kutokana na matatizo yao ya kibenki na masuala yote ya kampuni tumuone Andron...
TCRA, BENKI KUU na idara zingine zinazohusika.
Huu ni utapeli kwa hisani ya serikali kwasababu hawa watu wana vibali vya huduma hii toka BENKI KUU na idara zingine husika.
Ukikopa wakati wa marejesho utaona pesa imekatwa VAT kama kawaida kuthibitisha kuwa serikali ndiyo iliyobariki uhuni huu...
Ukikutana na tangazo la nafasi za kazi, tangazo la biashara au tangazo la fursa yoyote ya kifedha na mwishowe unaambiwa njoo Whatsapp hapo kuna harufu ya utapeli kwa 96% -100%.
Ni hayo tu. Ogopa neno njoo Whatsapp!
Boss la DP World niko hapa kujibu maswali yako. Nimekunja 4 hapa kwenye ofisi yangu ya kifahari najizungusha zungusha kwenye kiti changu wakati nikifikiri kuhusiana na michongo ya kuongeza ukwasi wangu kupitia watu wa Africa na rasilimali zao.
Karibuni.
Story short,
I'm in my 20's, sijaoa na sina plan ya kuoa. Huyu mzee ni mtu ananipa support za kazi sana, huyu mzee wangu wa karibu, wana 3 children.
Mke wake mjuaji, hasikii, akiamua kitu kaamua. Mzee wangu mtu safi sana, ila mke sasa ni moto mkali. Ana cheat na mume anajua tena fresh. Akihoji...
Uhakiki wa taarifa ni mchakato wa makusudi wa kufanya tathmini ya taarifa ili kujua chanzo au uhalisia wake.
Katika ulimwengu wa leo, takwimu za Global Media Statistics zinaeleza kuwa zaidi ya 62.3% ya watu duniani wanatumia mitandao ya kijamii, ambayo inafanya kuwa jukwaa kubwa la usambazaji...
Habari wakuu,
Leo nimeona niwezeku-share nanyi namna ndugu yangu alivyotapeliwa mbele yangu jioni kweupe mida ya saa kumi.
Ilikuwa hivi ndugu yangu anaendesha "Bolt" na "Uber" na anamiliki gari ndogo ya kwake binafsi. Kutokana na hali ya maisha kuna matairi yalikuwa yameisha na hakuwa ameweza...
CHANGAMOTO ZA MAENDELEO BARANI AFRIKA
Uhalifu na utapeli ni changamoto zinazokumba jamii duniani kote, na nchi za Kiafrika haziko nyuma katika kukabiliana na matatizo haya. Hata hivyo, tofauti kubwa inajitokeza katika njia ambazo viongozi na watendaji wa Kiafrika wanavyochagua kushughulikia...
Mwimbaji Kayumba amewaanika msanii Rayvanny na mwongozaji wa video, Erick Mzava kwa kutorejesha pesa zake TZS Milioni 7 ambazo alitoa kama malipo ya kufanya video ya wimbo wake SHAKE kutoka kwenye albamu yake iitwayo FINE TAPE.
Kayumba amedai kuwa ameamua kuweka wazi haya yote kwasabubu ya...
Je serikali haioni jinsi kampuni ya Milvik ikishirikiana na Tigo wanavyofanya dhuluma kwa wananchi??
Kampunj ya tigo imekua ikifanya uhamasishaji wa wananchi kujiunga bima mkononi ambapo mnufaika hukatwa 5500 kila mwezi na endapo ataumwa yeye au wanufaika wengine wa familia yake kisha...
Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama...
Hii post Ina wahusu MADALALI WA nyumba/nyumba za kupangisha tu
Kuna madalali wanajimilikisha vyumba Kuna madalali wanaongeza Kodi nyumba /chumba Cha kupanga Ili apate îli héla ya mwezi apate nyingi zaidi.
Kuna chain ya vijana dar hawataki kupigika kufanya kazi wao wanakomaa na udalali ukichek...
ZAIDI ya laini 21,788 za mawasiliano ya simu zimefungiwa kupokea na kutoa mawasiliano kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kutumika kufanya uhalifu mtandaoni kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita.
Kwa mujibu wa ripoti ya mwenendo wa sekta ya mawasiliano iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa...
"Hakuna vazi lolote duniani linaloitwa la taifa lililoundiwa tume. Hakuna! Kuwafanya Watanzania watumie muda wao kusaka vazi la taifa ni wild-goose chase (wehu) na diversionary tactic ili wasahau mambo muhimu yaliyowashinda watawala. Tusipotezeane muda wetu," Jenerali Ulimwengu
NB- 2004-2005...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.