utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bull Bucka

    Utapeli unaofanywa na baadhi ya "maajenti" wasio waaminifu pale Magufuli Bus Terminal ukomeshwe!

    Pamoja na kwamba Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli kimetengeneza ajira kwa watu wengi, lakini kuna jambo moja linaloendelea pale na linaonekana kufumbiwa macho na mamlaka husika. Jambo hilo ni utapeli. Juzi nikiwa kwenye pitapita zangu, nikaona watu wamemzingira mama mmoja wa makamu. Mama...
  2. H

    Utapeli wa huyu dada wamtokea puani

    Habari wanajf Nilienda mkoa mmoja hivi kwa shughuli binafsi, wakati nipo pale kwa muda mchache kulikuwa na tukio moja limetokea na story yake iko hivi mdada mmoja mzuri sana pale mtaani alikuwa amekula hela za jamaa mmoja lakini mzigo akawa hatoi ndani ya wiki 1 tu jamaa kashatumia laki 2 kwa...
  3. K

    Kagera: Katibu wa Mbunge Jimbo la Muleba Kusini atiwa hatiani kwa kujipatia milioni 60 fedha za mfuko wa vijana

    KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA, MKOANI KAGERA Leo tarehe 3/10/2023 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 91/2023 Jamhuri dhidi ya Adilelius Vedasto Apolinary mwenyekiti wa kikundi cha ujasiliamali cha Umoja wa Vijana Youth Fund cha...
  4. J

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa. Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa. Nikaambiwa wanaandaa documents...
  5. Z

    Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia! Haishangazi yalishaanza...
  6. ChoiceVariable

    Mahakama yastukia utapeli wa Mchungaji, yaamuru arudishe milioni 15 alizotaka kumtapeli muumini wake kwa kusingizia zaka

    My Take Wachungaji wa Makanisa ya Voda fasta tafuteni kazi za kufanya badala ya kutapeli Waumini Kwa visingizio vya Zaka za bwana. ==== Mgogoro wa ama ni mkopo au sadaka ya fungu la kumi (zaka) baina ya Mchungaji John Mtuka wa Kimara na muumini wake, Neema Wawa umehitimishwa na Mahakama Kuu...
  7. J

    Mjadala: 'Namna ya Kutambua na Kuepuka Utapeli Mitandaoni' - Septemba 21, 2023

    Mtandaoni ni mahali ambapo kunaweza kuwa na fursa nyingi; matumizi mazuri ya kimtandao yanaweza kutambua fursa chanya za kufungua faida nyingi zinazopatikana kwenye mazingira haya ya kisasa ya kimtandao. Lakini Mtandaoni kuna masuala ya Utapeli pia. Je, Umewahi kukutana na matukio ya Utapeli...
  8. Mr mutuu

    Soma kisa hiki cha utapeli, ujifunze kitu

    Aisee Kuna kisa kimoja Cha utapeli nikikumbuka huwa nacheka sana, japo sio changu kilimtokea mshkaji wangu mmoja. Jamaa anadai walikuwa na kijiwe Chao wanakutana washkaji wengi tu, kulikuwa na pool table na vile vimashine vya kubet, anadai kijiwe kilikuwa na vijana wengi matozi tu na smart...
  9. kocha Nabi

    Jinsi matapeli wanavyolindwa na polisi, utapeli hautaisha

    Kumekuwa na kasumba kuwa kesi nyingi zikifika polisi na mtuhumiwa akapelekwa mahakamani basi walalamikaji wanakosekana na mtuhumiwa kuachiwa huru. Lakini tujiulize je ni kweli sheria inaamua haki? Kama polisi walithibitisha kweli mtuhumiwa ameletwa na raia na ametapeli kweli kwanini kusiwe na...
  10. CK Allan

    Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe! Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo .. Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi...
  11. Undava King

    ALLIANCE GLOBAL: Kampuni ya kitapeli inayoendelea kuliza wasomi wengi nchini

    "Kama kuna jambo linauma basi ni kuteketeza karo shuleni kumsomesha mwanao kisha wajanja wachache watumie nafasi hiyo hiyo ya usomi wake kukutapeli kama mzazi kwa kigezo cha kumpatia ajira" Nikiwa njiani kuelekea mjini kwenye miangaiko pembeni yangu (kwenye daladala) kaketi dada mmoja...
  12. mirindimo

    MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

    VIjana wengi wamekua na tamaa ya kutajirika haraka na kujikuta wanaingia kwenye Ponzi Scheme na kupoteza pesa za Ada na za Matumizi wanazolipiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu na wazazi wao pia. Hivi karibuni pameibuka Ponzi Scheme inayoitwa MFTE ambayo inajinasibu kuendesha biashara ya...
  13. NetMaster

    Mtu akijishughulisha na kuuza madawa, utapeli, wizi huyo nae ni hustler/ mpambanaji?

    Hustler ni Mpambanaji au mtafutaji na hakati tamaa, akikata tamaa anazama chaka lolote lile kusaka Mabunda. Lakini je, hao mapusha, wezi, matapeli wanafaa kuitwa hustler?
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Mnaosema dini ni biashara mnakosea. Biashara ina manufaa kwa pande 2. Kama utanufaika upande 1 tu huo ni utapeli sio Biashara

    Biashara maana yake muuzaji anafurahi kuuza bidhaa yake huku akiweka kibindoni faida yake, while mteja akifurahia bidhaa ya thamani halisi. Kama mbele ya safari mteja akigundua kuwa ameuziwa bidhaa bandia au isiyo thamani halisi ya pesa yake hali hiyo tutaiita utapeli. Na huo utapeli ndio...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Ubinafsi na Utapeli wa Sisi wanaume ndani ya Familia

    UBINAFSI NA UTAPELI WA SISI WANAUME NDANI YA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niliwahi kuandika hapa, unaweza kupitia👇Wanaume tuache Ubinafsi ukitaka familia yako ianguke basi moja Kati yenu awe mbinafsi. Aidha Mke au Mume. Chanzo kikubwa cha umaskini wa familia nyingi hapa Tanzania...
  16. Hyrax

    Tabia za wizi husababishwa na Kutokuwa na Kiasi, Tamaa pamoja na Uvivu wa Kufikiri na Kutenda

    Utu wa mtu unapimwa kwa kazi tena iliyo halali, kinyume na hapo wewe huna tofauti na wanyama waishio mwituni. Kwa muda mrefu sana nimejitahidi kufanya chunguzi mbalimbali, maana ni mambo ninayopenda hasa nikiwa sina vitu vingi vya kufanya. Katika hili nililoandika kwenye kichwa cha uzi...
  17. Mufti kuku The Infinity

    Huu ni utapeli au sio utapeli? Je, ushawahi kukumbana na hii hali?

    Thread was deleted
  18. Kibenje KK

    Utapeli mtandaoni kutoka Mtanzania anayeishi Dubai

    Hakuna kitu kinarudisha Nyuma maendeleo ya wafanyabiashara wengi kama utapeli wa Mtandaoni. Mtu unafanya kazi unajikusanya alafu mtu anakuja kukutapeli. Nimekutana na tapeli ambaye anaishi Dubai na kazi yake ni kutapeli Watanzania kwa kudanganya kuwa anauza magari. Ametutapeli zaidi ya watu...
  19. B

    Utapeli gani ulifanyiwa hautosahau?

    Kuna rafiki yangu alinisumulia kwamba, mwaka 2008 akiwa bado mwanafunzi, alikutana na watu wawili waliomsimamisha njiani, wakamuongelesha awaelekeze njia ya sehemu ipo mbali kidogo na walipokutana. Basi akaacha mambo yake muhimu, akawapeleka hiyo sehemu mwendo wa kama dakika 20 hivi, anasema...
  20. T

    Tupeane Sites zisizo za utapeli zinazoweza kukulipa kwa kufanya kazi bila ujuzi za online mimi naanza na hii

    SproutGigs SproutGigs (zamani ikijulikana kama Picoworkers) ni tovuti ambapo watu kote ulimwenguni wanaweza kujisajili kama wafanyakazi huru ili kupata pesa kwa kukamilisha kazi ndogo au rahisi zilizochapishwa na waajiri. Inalipa kuanzia Tsh 100 hadi 2000 kwa kazi ndogo ndogo moja Hakuna...
Back
Top Bottom