Kuna rafiki yangu alinisumulia kwamba, mwaka 2008 akiwa bado mwanafunzi, alikutana na watu wawili waliomsimamisha njiani, wakamuongelesha awaelekeze njia ya sehemu ipo mbali kidogo na walipokutana.
Basi akaacha mambo yake muhimu, akawapeleka hiyo sehemu mwendo wa kama dakika 20 hivi, anasema...