Habari za wakati huu ndugu Watanzania!
Yahusu kuomba kufahamishwa juu ya utaratibu wa uongezaji mishahara kwa watumishi wa serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndugu, nimekuwa nikisikia kuwa mishahara ya watumishi wa serikali huwa inaongezeka kila baada ya muda fulani.
Ningependa...
Hasa sisi tunaoishi mijini, kumekuwa na changamoto katika utunzaji wa familia zetu. Kwa walio wengi, hupenda kila siku kuacha hela za matumizi kwa familia zao; wapo wanaoacha elfu kumi kwa siku, ishirini, laki n.k
Na waachapo hiyo fedha, ndio inayofanya manunuzi ya chakula kwa siku husika...
Habari Wana jamvini!
Nchi nyingi za nje ya Tanzania Kuna utaratibu ukishakata ticketi ukapanda kwenye basi hautasumbuliwa mpaka unafika pahala unapokwenda.
Ila Kwa Tanzania imekuwa Kero kubwa sana, ukipanda basi labda Dar mpaka ufike mwanza utakaguliwa ticketi na watu zaidi ya watatu tofauti...
Leo naomba tupate utaratibu kuhusu mikopo inayotolewa na taasisi za kifedha za kiislam kama Amana bank, NBC Islamic account n.k.
Utaratibu wao upoje. Mikopo yao huchukua muda gani mpaka umalizapo kulipa,(wa muda mrefu na mfupi)
Mfano nahitaji gari lenye thamani ya 15, talipataje na talipa jumla...
ACP Mukadamu wa kikosi cha usalama barabarani amesema utaratibu wao wa askari kusindikiza mabasi ya abiria umeonyesha mafanikio makubwa sana ya kuzuia ajali hasa huko Singida, Mbeya, Songwe na sasa Dodoma.
Afande Mukadamu amesema utaratibu huu unaweza kufanywa kwa nchi nzima ili kuwanusuru...
Juzi nimekutana na kijana ambaye ametoa mahari (anataka kufunga ndoa) siku si nyingi akiniambia ametoka kwenye mafunzo ya ndoa katika kanisa la rc.
Cha kushangaza kijana huyu kaniambia kanisa limebadili utaratibu wa mafunzo ya ndoa kuwa kwa sasa ni Mwaka mmoja yaani kila mwezi mnaenda mara...
Baada ya kurejea nchini, matumaini yangu na nguvu ya kuitumikia Tanzania yalikua makubwa kweli, Nilijaribu tafuta ajira kwa kipindi cha mwaka mmoja bila mafanikio, nikaamua kuanza kujiongeza kwa kutumia uzoefu wangu wa nje hasa katika e-commerce huku nikilenga kushirikiana na wajasiliamali wa...
Habari zenu wakuu. Bila shaka mnafanya vyema katika ujenzi wa taifa.
Tuwe wazalendo, tupendane.
Haya moja kwa moja kwenye mada. Kuhusiana na machinga. Hapo mwanzoni mwa utawala wa Samia sakata la machinga lilichukua taswira pana. Kukatokea movement kibao na matamko ya kutosha toka kwa...
Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Ndugai.
Ulianza mjadala kwamba kwanini ktk barua yake ameandika herufi kubwa pekee? KIMSINGI kilichosambaa mtandaoni siyo barua bali ni TAARIFA KATIKA VYOMBO VYA HABARI ambayo ni sawasawa...
Mara ya mwisho Tanzania kuona kiongozi aliyeshukiwa kufanya makosa akambiwa ajiuzulu na akatekeleza, ilikuwa ni mwaka 2008 ambapo Lowassa alijiuzulu kutoka kiti cha uwaziri mkuu. Hivi majuzi kuna Waziri alishukiwa kufanya maamuzi "nonsense" akaambiwa ajiuzulu, ikawa kimya.
Lugola alifokewa...
Mimi binafsi nasema mama kawavumilia sana na alifanyanao kazi kwa imani watabadilika na alifahamu maamuzi hayo ni mzigo mzito sana kwake...
Hakuna Kiongozi Wa Afrika aliefanya kazi na timu ya aliyemtangulia, lakini mama amejaribu kulifanya ilo, Rais Wa DRC alijaribu kufanya kazi na timu ya...
Heri ya mwaka mpya.
Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari.
Sasa hivi nataka nibadilishe, je ni utaratibu gani natakiwa kuufuata? Asante sana
Mwl Wenyele
Jamaa nchi inazidi kufunguliwa hukuu. Fursa hiyoo kwa watafutaji.
Wale mawakala wa dubei, Qatar n.k na wale watafuta kazi nje ya nchi mambo yamenoga huku.
Mimi nataka nikafanye zangu kazi dubei, nimechoka kupambana na wachina na wahindi wa Bongo 😁😁
Habari Kamili 👇👇👇👇
========
SERIKALI...
Hivi hatuwezi kurejesha utaratibu wa Mwl Nyerere na Abeid Karume kuhusu mfumo wa muungano ambapo Rais wa Znz ndiyo lazima anakuwa Makamu wa Rais wa JMT?
Rais wa JMT akitoka Znz basi Makamu wake ndiyo atafutwe kutoka Bara. Mfumo wa Makamu wawili (wa Kwanza na wa Pili ungerejeshwa). Hivi sasa...
Huu utaratibu wa kuweka maombi kabla ya shughuli za Serikali usitishwe mara moja kwani wapo baadhi wanaochukulia kuwa ni necessity na wanatumia fursa hiyo vibaya.
Sijawahi kuona ibada au misa au dua inaanza kwa kumkaribisha kiongozi wa Serikali.
Zaidi sijasikia wasio na dini(ambao ni wengi...
Kufuatia ongezeko la visa vipya vya maambukizi, nchi zimeweka taratibu mbalimbali kwa wasafiri kuingia na kutoka ili kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya COVID-19
"Taratibu hizi ni pamoja na kuweka sharti la kupima COVID-19 ili kupunguza au kuzuia kuingia kwa ugonjwa huu katika nchi hizo"...
Habari za mda huu
Nahitaji mchango wenu wa mawazo katika hili ni kwamba nina eneo langu la wazi linatazamana na kituo ch mafuta ambach hakijaa anza kufanya kazi bado hili eneo kama mnavyojua sasa hivi matumizi ya mabanda au vibanda vya biashara ni changamoto sana. Sasa kun wazo nimepewa lakini...
Wanajamvi salaam, kwa kipindi nmekuwa mtumiaji wa barabara ya nyerere road inayopita Tazara hasa pale flyover ,wakati wa usiku kumekuwa na changamoto kubwa ya kutofata utaratibu wa sheria barabarani pale kwenye Junction ya kutokea airpot, taifa , au mjini na yale magar yanayotoka buguruni kila...
tusipeleke mambo kienyeji na kuharibu mifumo iliyo kuwepo itatugharibu baadae kuirudisha pale itakapo bainika inaharibu utaratibu
waziri TAMISEMI nikuombe sana mifumo ya shule iliyopo ilisha tengenezwa, siasa zisifanye tuanze kuivuruga tena
sare za shule zina umuhimu sana kwa usalama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.