Naombeni kwa wenye uelewa muweze kunijuza. Hivi kwa Mimi mwananchi wa kawaida (hohehahe) nikitaka kuonana na mkuu wa nchi natakiwa kufuata taratibu zipi ili nimfikie!
Hususani Kama Nina Jambo la muhimu ambalo nataka nimfikishie yeye mwenyewe moja kwa moja?
Au kwa Hali yangu nifute kabisa...
Habari za leo wanajamvi? bila shaka mapambano yanaendelea kama kawaida!
Tuendelee kupambana sana na kusaka michuzi kwa udi na uvumba kana kwamba hatufi, na tuendelee kumuomba na kumwabudu Mungu kana kwamba tunakufa kesho!
Kwanza kabisa napenda kutoa masikitiko yangu kama mwananzengo kwa...
Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong !
Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema!
Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa mtu asiye mvumulivu anaweza akajuta Kwenda !
Mashart kama vile
1. Kusindikizwa na wazawa wawili Kama...
Kifo cha Magufuli kimethibitisha pasipo shaka kuwa sisi kama nchi hatuna utaratibu wowote rasimi wa kikatiba, kisheria au usio wa kisheria unaotuongoza katika kuhesabu au kuzitambua awamu za serikali.
Kama utaratibu rasimi huo, basi ni wazi hauleweki na unapaswa kutazamwa upya ili kuondoa huu...
Miaka ya hivi karibuni imekua ni wajibu kujengea kaburi. Mpaka miaka ya 60, si wengi walimudu gharama za kujengea kaburi. Baada ya mazishi mlisubiri mvua na kupanda tawi au shina la mti pale kwenye kaburi. Mvua zikikatika mti unakua umeshaota na kushika. Hii ndiyo alama ya kukumbuka kaburi...
Viongozi naombeni kujua utaratibu wa kupatia pole(rambirambi) na mwajiri(serikali) baada ya kufiwa na mzazi. Na kama upo huwa ni shilingi ngapi? Documents zipi zinahitajika ili mtumishi aweze kulipwa?
Naombeni msaada viongozi.
Hili jambo kuna watu wanalielewa vizuri sana na wanaweza kusaidia jamii kujua ukweli ila Watanzania tumekuwa waoga na hivyo wenye kujua wamechagua kukaa kimya.
Upotoshaji unapata nafasi kwasababu hii kesi ni ya kisiasa kiasi kwamba hata Polisi wanaolewa utaratibu ukoje wanaweza wasiseme ukweli...
Jana kulipigwa mechi ya DR Congo dhidi ya Benin ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia kwa bara la Africa.
Jana DR Congo wamefanya sub mara nne badala ya tatu kisheria hivyo wapo katika balaa la kuchukuliwa hatua, endapo itathibitika kuwa walifanya kosa hilo, Benin anaweza akafuzu kwa point...
Nahisi Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar sasa Viti ni vya Moto na imebidi Wanasiasa wa Zanzibar na Kigoma tubuni Mbinu, tugawane Majukumu na kuamzisha Utaratibu wa ghafla wa Kuwatembelea Wastaafu waliotutangulia tulipo sasa maeneo ya Masaki.
Tumeingia Machi na sasa ni Novemba tayari tunaenda...
Tanzania (TC, Dar es Salaam) will have to repay TZS896 billion shillings (USD388.8 million) illegally received from government coffers without prior approval from the country’s Ministry of Finance and Planning, according to the Parliamentary Accounts Committee (PAC).
Committee Vice-Chairman...
Habari zenu wanaJF,
Kama mjuavyo baadhi ya madhehebu hususani haya ya kipendekoste wana utaratibu wao wa kuchumbia ambao sharti uanze kwa mzee wa kanisani kumuelezea dhamira yako juu ya binti ambaye umempenda kabla hata hujaongea naye.
Sasa hapa kanisani kwetu kuna binti mmoja nimemchunguza...
Mabasi ya kampuni ya Abood yanayotokea popote, yakifika Morogoro, lazima yapitie kwenye yard yao. Abiria wote mnashushwa nje ya geti. Basi linaingia ndani, sijui linaenda kufanyiwa nini? Halafu baada ya dakika kadhaa linatoka. Abiria mnapanda tena kuendelea na safari.
Hapo nje hakuna sehemu...
Hili suala la wamachinga linahitaji akili sana na vinginevyo balaa lake huko mbele litakuja juwa ni balaa kubwa sana.
Wamachinga hawa wametoka vijijini na wanapokuja mjini wana attract wenzao wa vijijini na wao waje na ndio maana kila kukicha wanazidi kujaa na Wenzao wakija na wao wanaanza...
Wakuu za asubuhi. Nahitaji kuvunja ndoa niliyomo. Nifika ustawi wa jamii wakasema kwa sasa, yaani muda uliobakia mwaka huu hawafanyi michakato ya talaka. Hiyo hadi mwakani February. Ni sawa?
Pia nauliza njia mbadala ya kutengua ndoa bila kupitia ustawi. Ndoa ilifungwa ya kiserikali
Ndoa ina...
Huyu mdada ambaye ni bodyguard wa Rais Samia ni mlimbwende yuko vizuri kabisa ila nauliza kama kuna uwezekano wa kukutana naye mtu apige naye story tu za kawaida walau tu kwa dka 20 ili mtu afaidi aone anavyo cheka tabasamu na kufurahia tu story za hapa na pale kuhusu mambo ya kawaida sana...
Kuna utaratibu uliletwa huko Tanzania fedha za miradi ya maendeleo kugawanywa na serikali kupitia majimbo mfano fedha za IMF 1.3 trilion, fedha za Tarura.
Majimbo mengine yanabidadi ndogo ya wakazi, majimbo mengine yako mbele kimaendeleo kuliko mengine, na kutumia mfumu huu usimamizi wa fedha...
Septemba 15 askari Polisi wa Tanzania waliingia Malawi kinyume cha sheria wakimfukuza bodaboda waliyedhani amebeba biashara ya magendo ambapo walipoingia Malawi walipigwa mawe na wamalawi na kuokolewa na Polisi wa Malawi
Askari 7 wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamefukuzwa...
Naomba niulize, kuna vigezo gani au taratibu gani za kufatwa ili kesi kuendeshwa live? Kama zipo ni kwanini Chadema wasipeleke maombi hayo ili kuonesha live uendeshaji wa kesi ya Mbowe ili umma uweze kufatilia?
Wakati mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ukikaribia nimekuwa naona shule kadhaa zikifanya mahafali kabla watoto hawajafanya mitihani nakumbuka enzi zetu tulikuwa tunafanya pepa kisha mahafali.
Yaani unasheherekea kumaliza halafu ndio unamaliza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.