Utaratibu huu mpya hasa jiji la Dar es salaam kuhusu tozo za maegesho ya gari wahusika wautizame upya.Sipingi kuhusu toz hii bali utaratibu siyo mzuri na unaleta urasimu au usumbufu kwa watumiaji wa magari pale wanapoegesha.
Sasa hivi ukiegesha gari waliopewa jukumu kusimamia wana scan na...
Nipashe inaripoti kuwa waziri wa afya Dorothy Gwajima amesema amewaandikia polisi barua ya kukamatwa kwa mchungaji josephat Gwajima.
Hii ni baada ya IGP kusema kuwa afuate hatua za kisheria
Soon mtasikia Gwajiboy ametiwa ndani
USSR
---
Amesema amekamilisha taratibu zote za kisheria ikiwamo...
IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake.
Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya...
Leo nimeshuhudia kupitia luninga Mhe. Waziri Mkuu akihabarisha umma wa Watanzania kuwa Mhe. Rais ameridhia kutoa Tshs.300 billioni kwaajili ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali pale Dodoma ikiwa ni pamoja na Ikulu.
Sasa swali langu:- Bunge lina utaratibu wa kujadili bajeti na kuipitisha...
Wakuu habari za majukumu.
Tafadhali kwa anayefahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali naomba anieleweshe
Gharama zake zipoje na ni vitu gani vinahitajika ili niweze kufanikisha
Ninachohitaji zaidi ni cheti cha ndoa kama kuna member anafahamu utaratibu mwingine wa kupata cheti cha ndoa...
Nimekuwa nikisoma maoni na hoja za watu kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha, na nimeshangaa sana na kugundua watu wengi sana wanaotoa maoni kuhusu uraia pacha hawaelewi kabisa inakuwaje mtu anakuwa na uraia pacha. Na hili nimeona hata toka kwa wanasiasa wanaopinga uraia pacha, na kuona kwamba...
Juzi ndugu yangu aliweza kuwasajili wazazi wetu kwa chanjo kwa kutumia mtandao.
Walipewa tarehe 5 kwenye kituo kule Ununio. Leo hii wakagundua kuna utaratibu mwingine wa kwenda kupanga line na kupata chanjo papo kwa papo kwa kujaza form. Sasa waliojiandikisha ni kama wanarukwa na hawa ambao...
Tumeletewa Mkandarasi wa kuzoa takataka na uongozi wa Serikali ya Eneo letu, takataka zinachukuliwa baada ya wiki mbili. Naomba watu wanaohisika na Afya na Mazingira waingilie swala Hili na kuzuia huu wizi na kuepuka kurundika takataka kwa mda mrefu kama huko!
Watu wakishatoa rushwa na kupokea...
Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki.
Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga.
Hebu wajirekebishe.
Kuna faida gani labda ya Kimantiki Watu Kulazimisha (Kung'ang'ania) Kumuangalia Marehemu akiwa 'Jenezani' tena ameshalala Usingizi wake wa Milele na kwamba hata ukipita Kumuaga kwa kumsogelea au kumgusa na kulia kila aina ya kilio wala hawezi kukujua sana sana utakuwa ni kama vile unapaka tu...
Salamu wakuu
Naomba msaada wa kufahamishwa namna ya kurekebisha jina kwenye kitambulisho changu kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii.
Yaani ni kwamba jina langu la kwenye NIDA lile la katikati ni tofauti na lililopo kwenye mfumo wa nssf.
Hayo majina yametofautiana lakini yote ni majina ya baba...
Leo Waziri Wa Ardhi alimwita mwekezaji Bagamoyo na kumdhalalisha mbele ya Wananchi.Inawezekana huyu mwekezaji ni mkosaji lakini utaratibu huu umekufa katika awamu hii ya 6.
Utaratibu huu ni kutaka kuzijolea sifa tu,kwani angewaeleza wananchi kuwa suala la mwekezaji na watendaji wake...
Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi.
Swali linajengwa na hoja hii:
Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa...
Katika ngazi za Familia nyingi za Kiswahili utakuta Mtoto mwenye Mafanikio ya Kipesa kuliko Wenzake hata kama ni wa mwisho Kuzaliwa ndiyo anasikilizwa na Wazazi hata kama wale Wasiokuwa na Pesa ni Werevu na Wamesoma kuliko Yeye.
Katika Kamati mbalimbali za Jumuiya za Makanisa ( hasa langu la...
Unakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya.
Akihitimu mafunzo...
Katika utaratibu wa kawaida huwezi kuingia kwenye ndege bila barakoa. Huu niutaratibu mzuri sana ambao tumeuzoea tu. Cha kuchekesha hapo ni kwamba baada ya kufika juu, abiria mneletewa chakula na barakoa zote zinavuliwa na maisha yanakuwa kama kawaida.
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
Zijenge ofisi makao makuu?
Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
Zinunue vitendea kazi vya chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.