Hasa sisi tunaoishi mijini, kumekuwa na changamoto katika utunzaji wa familia zetu. Kwa walio wengi, hupenda kila siku kuacha hela za matumizi kwa familia zao; wapo wanaoacha elfu kumi kwa siku, ishirini, laki n.k
Na waachapo hiyo fedha, ndio inayofanya manunuzi ya chakula kwa siku husika...