Wakuu za asubuhi. Nahitaji kuvunja ndoa niliyomo. Nifika ustawi wa jamii wakasema kwa sasa, yaani muda uliobakia mwaka huu hawafanyi michakato ya talaka. Hiyo hadi mwakani February. Ni sawa?
Pia nauliza njia mbadala ya kutengua ndoa bila kupitia ustawi. Ndoa ilifungwa ya kiserikali
Ndoa ina...