Juzi ndugu yangu aliweza kuwasajili wazazi wetu kwa chanjo kwa kutumia mtandao.
Walipewa tarehe 5 kwenye kituo kule Ununio. Leo hii wakagundua kuna utaratibu mwingine wa kwenda kupanga line na kupata chanjo papo kwa papo kwa kujaza form. Sasa waliojiandikisha ni kama wanarukwa na hawa ambao...