utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    SoC03 Uwajibikaji au Utawala Bora katika Nyanja Mbalimbali

    Utangulizi, Uwajibikaji na utawala bora ni misingi muhimu ya maendeleo endelevu katika jamii. Katika nyanja mbalimbali kama vile kisiasa, kiuchumi, na kijamii, uwajibikaji na utawala bora huchangia katika kuimarisha uwazi, ufanisi, na usawa. Lengo la makala hii ni kuchunguza umuhimu wa...
  2. Leakage

    SoC03 Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora katika Siasa nchini Tanzania

    Utangulizi. Katika miaka ya hivi karibuni, suala la uwajibikaji na utawala bora limekuwa likichukua nafasi kubwa katika mijadala ya kisiasa nchini Tanzania. Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu kwa maendeleo endelevu na ustawi wa taifa lolote. Makala hii inalenga kuandika juu ya mambo...
  3. P

    SoC03 Falsafa kuu ya maisha yenye kuleta maendeleo chanya kwenye utawala bora na uwajibikaji ili kuleta taifa bora

    Uhusiano wa kanuni hii kwenye Utawala na uwajibikaji katika maendeleo. Falsafa kuu ya maisha ni kujua kua umeumbwa hapa duniani kufanya nini, mwenyezi Mungu amekusudia wewe ufanye nini hapa duniani. dhumuni hilo la maisha lazima liwe linasaidia pia maendeleo chanya kwako na watu wengine pia...
  4. kijana wa wahovyo

    SoC03 Utawala Bora na Mabadiliko ya Uwajibikaji katika Nyanja ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya. Katika juhudi za kuboresha huduma za afya na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata upatikanaji mzuri wa huduma hizo, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana. Katika andiko hili...
  5. Mabula marko

    SoC03 Teknolojia, Utawala Bora na Uwajibikaji katika kuleta maendeleo kwa jamii na taifa kwa ujumla

    Picha na Nathan Mpangala (MWONGOZO WA UTAWALA BORA) UTANGULIZI Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi na wananchi kwenye ngazi zote, Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu...
  6. F

    SoC03 Somo la uadilifu na Utawala Bora lianzishwe na liwe somo la lazima kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu. Taasisi za Dini, na Familia zihusike pia

    UTANGULIZI Uadilifu ni hali ya kuwa mwaminifu na kuzingatia kanuni zote za kimaadili katika jamii inayokuzunguka. Kwa upande mwingine, utawala bora lazima uwe na uadilifu ndani yake. Jamii haiwezi kuwa na watawala walio bora ikiwa hawana uadilifu. UMUHIMU WA UADILIFU KATIKA JAMII Uadilifu...
  7. KJ07

    SoC03 Edward Moringe Sokoine: Kiongozi Shupavu wa Tanzania Aliyepigania Uwajibikaji na Utawala Bora

    Edward Moringe Sokoine alizaliwa mnamo 1 Agosti 1938 katika kijiji cha Monduli, mkoani Arusha, Tanzania. Alikuwa ni mtoto wa tisa kati ya watoto 13 wa familia ya wafugaji wa kimasai. Sokoine alikulia katika mazingira magumu ya kifugaji na alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi ya...
  8. peter pius 100

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika sekta ya kilimo cha bustani

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika sekta ya kilimo cha bustani. Sekta hii ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula na kutoa ajira kwa watu wengi. Hata hivyo, ikiwa uwajibikaji na utawala bora hauzingatiwi, sekta hii inaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ya...
  9. Sultan9

    SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika nyanja mbalimbali nchini Tanzania

    Utangulizi. Utawala bora na uwajibikaji ni mada muhimu katika nyanja mbalimbali nchini Tanzania. Kama nchi inayotaka kuendelea, ni muhimu kuelewa jinsi utawala bora na uwajibikaji unavyoweza kusaidia kuunda mabadiliko yenye maana katika jamii. Hii inahitaji kuweka mfumo wa kushughulikia utawala...
  10. KJ07

    SoC03 Kushirikiana kwa Pamoja: Jinsi TAKUKURU Ilivyofanikiwa Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, taasisi ya TAKUKURU nchini Tanzania imejitahidi kufanya kazi kwa bidii katika kuhakikisha kuwa uwajibikaji na utawala bora vinakuwa vipaumbele kwa viongozi na wananchi wote. Hata hivyo, kulikuwa na changamoto nyingi zilizokuwa zinakwamisha jitihada za TAKUKURU...
  11. Heparin

    Utawala Bora huongeza uwazi kwenye Matumizi ya fedha za Umma

    Uwazi katika Matumizi ya fedha za Serikali huleta Nidhamu na kuimarisha Utendaji wa Watumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Huziba mianya ya Wizi na Ufisadi, pia hutoa Motisha ya kulipa Kodi kwa Wawekezaji na Wafanyabiashara ambao huchangia asilimia kubwa ya pato la...
  12. B

    Aibu: Taliban wanapotuzidi kwenye utawala bora

    Utawala bora ni dhana pana. Hata hivyo kuzidiwa katika lolote kwenye dhana hiyo na wataliban wa Afghanistan tunapaswa kujiuliza tunakwama wapi. Nepotism - Yale mambo yetu ya kujuana na kupeana ajira kindugu, mtaliban hana mzaha. Enyi wenye u-bin wenye kujinasibu na vigogo madarakani au...
  13. K

    THRDC: Ujio wa Kamala Harris ni matokeo ya kuimarika kwa Haki za Kibinadamu na Utawala Bora

    Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo na kwamba Tanzania imekua kwenye nafasi nzuri. "Viongozi hawa wakuu wanapopanga ziara zao...
  14. Ngongo

    David Silinde ni Naibu Waziri Utumishi na Utawala Bora

    David Silinde ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora. Unaposema Wizara ya Utumishi na Utawala Bora, maana yake watumishi wote wa umma na pengine mashirika yote ya umma. Utawala Bora ni taasisi za dola kama TISS na TAKUKURU. Je, ni bahati mbaya Silinde kuwepo katika wizara hiyo nyeti...
  15. Chikenpox

    Hivi mpaka sasa kuna mtu hamwelewi Rais kweli?

    Mimi naona huyu Mama kaletwa na Mungu kuwa Rais for a purpose. Hebu angalia yafuatayo; 1. Ameondoa retention fee ya loans board kwa wanafunzi ambao tulikuwa tunasuffer kwelikweli. Kila mwaka mkopo ulikuwa unakua whether unafanya kazi au hifanyi. JPM hakufilia kabisa hilo japo inasemekana...
  16. winnerian

    Tukope Trilioni moja kuukarabati mfumo wa Utawala Bora na Sheria ili kumaliza yote yanayoirudisha nchi yetu nyuma

    Kuukarabati mfumo wa "Utawala bora" pamoja na sheria zetu ili kuziba na kurekebisha mianya, nyufa, matobo, maadili mabovu, uzembe ofisi za umma, pamoja na mambo yote yanayoifanya nchi yetu iende kinyumenyume ikiwa jitahada za dhati zinafanyika na viongozi wakubwa lakini bado matokeo...
  17. ASIWAJU

    Kwa sasa Tanzania hatuna viongozi bali tuna Wanasiasa

    Habari za saa members wote, leo kwa uchache ningependa kulizungumzia taifa kwa namna linavyo endeshwa. Mpaka sasa ndani ya taifa letu la Tanzania taaluma nzima ya uongozi imepotea kabisa na siasa za kizandiki zimetamalaki kila pande. Taifa hili limeshindwa kupata uongozi/viongozi kwa muda sasa...
  18. The Sheriff

    Matumizi ya Digitali ni Muhimu Katika Utoaji wa Huduma Bora za Serikali

    Katika dunia ya leo, si tu biashara zinazopeleka huduma zao mtandaoni, pia kuna mabadiliko ya kidigitali kwa serikali. Serikali zimekuwa zikilazimika kupitia mabadiliko mbalimbali kadiri mahitaji na matakwa ya raia yanavyobadilika. Mabadiliko haya ya kidigitali ya serikali ni matumizi endelevu...
  19. R

    Rais kuisuka upya NIDA na RITA, wakwama usajili wa watu

    RITA na NIDA wapo mbioni kufumuliwa na kusukwa upya kuendana na Kasi ya awamu ya sita. Maeneo yanayotegemea kuwekewa mkazo nikudhibiti Watanzania na wageni waliozaliwa nje ya nchi kutokupata cheti cha kuzaliwa kama vile wamezaliwa Tanzania. Mwanya huu unatumiwa Sana kusaidia raia wa kigeni...
  20. BARD AI

    Tanzania yashika nafasi ya 21 kwenye Utawala Bora na Demokrasia Afrika

    Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim inayoangazia masuala ya Utawala na Demokrasia kwa Nchi za Afrika (IIAG), imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 21 kati ya Nchi 54 zilizofanya Vizuri kwenye Utawala Bora mwaka 2022. Hata hivyo, Tanzania haijafanya vizuri kwenye kipengele cha Ushiriki, Haki na...
Back
Top Bottom