utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Teknolojia ya Digitali Inaongeza Uwazi wa Serikali

    Uwazi wa serikali ni dhana kwamba watu wana haki ya kujua serikali yao inafanya nini na serikali ina wajibu wa kutoa taarifa kwa umma. Hata hivyo, kuna njia nyingi za kutafsiri uwazi wa serikali na siku hizi unaweza kupatikana kwa urahisi kupitia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na mitandao ya...
  2. Fukua

    Rais Samia endelelea kuwatumikia Watanzania kwa uaminifu, pia Katiba Mpya ni muhimu sana

    Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT. Mama, Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema...
  3. Pang Fung Mi

    Tanzania haijawahi kupata Kiongozi kwa tafsiri halisia ya Kiongozi

    Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki. Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea. Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
  4. sammosses

    Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini. Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
  5. comte

    Kwa jina la Utawala Bora na Kuwajibishana, hawa Mawaziri kuwa NEC ya CCM ni makosa na aibu

    1. Dotto Biketo (MNEC) 2. Januari Makamba (MNEC) 3. Mwigulu Nchemba (MNEC) 4. Nape Nauye (MNEC) 5. Angelina Mabula (MNEC) 6. Ashatu Kijaji (MNEC) 7. Angela Kairuki(MNEC) 8. Hussein Bashe(MNEC) 9. Innocent Bashungwa (MNEC)
  6. mwengeso

    Haya masuala nayahusisha na ukosefu wa Utawala Bora

    Hivi karibuni, na hadi sasa, kuna mijadala ya kisiasa ambayo kimsingi chimbuko lake ni utawala bora. Baadhi ya mijadala ni pamoja na: [emoji830]︎ Madai ya Katiba mpya; [emoji830]︎ Utawala wa sheria; [emoji830]︎ Tozo; [emoji830]︎ Wasiojulikana; [emoji830]︎ Mashtaka ya kisiasa; [emoji830]︎...
  7. The Sheriff

    Serikali Ina Jukumu la Kuwekeza kwa Kiwango Stahiki Katika Elimu na Vipaji vya Wananchi Wake

    Miongoni mwa mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele zaidi na serikali ni uwekezaji katika elimu na vipaji vya wananchi wake. Hii ina maana kwamba afya, elimu na lishe ni muhimu katika kukuza uchumi wenye nguvu, ushindani na unaostawi. Hivyo basi, serikali inapaswa kuwekeza katika miundombinu ya...
  8. Sildenafil Citrate

    Chunya, Mbeya: Mtendaji wa kijiji adakwa kwa tuhuma za mauaji

    Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mtendaji wa Kijiji cha Sangambi Wilaya ya Chunya Joseph Nangale (45) kwa tuhuma za mauaji ya Aron Mbuba (18). Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema tukio hilo lilitokea Septemba 17 mwaka huu baada ya marehemu kupigwa...
  9. Sildenafil Citrate

    Morogoro: Fumanizi la Wapenzi lasababisha kifo

    Polisi mkoani Morogoro inamshikilia Salipina Thomas (21) mkazi wa kijiji cha Kiroka kwa tuhuma za mauaji ya Rashid Maharangande (20) aliyefumaniwa akiwa ndani ya chumba cha mwanamke huyo, huku anayedaiwa kuwafumania akitoweka kusikojulikana. Akizungumza mjini Morogoro leo Jumamosi Septemba 17...
  10. Sildenafil Citrate

    IGP Wambura: Wahalifu wakae chonjo, huu ni wakati mbaya kwao

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ametoa onyo kwa wahalifu wote kwani wakati huu ni wakati mbaya sana kwao. Wambura ameyasea hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo ljumaa Septemba 16, 2022 kwenye kikao cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad...
  11. The Sheriff

    Serikali Ina Wajibu wa Kuhakikisha Raia Wake Hawadhulumiwi Maisha au Mali Zao

    Moja ya majukumu makubwa kabisa ya serikali ni kuwalinda watu wake dhidi ya changamoto zote za kiusalama na kuwahakikishia amani na utulivu. Jukumu la Serikali si tu kulinda watu wake kutokana na mashambulizi ya nje, lakini pia kuwalinda dhidi ya changamoto zote za kiusalama zinazoweza...
  12. masai wa kilosa

    SoC02 Utawala bora

    UTAWALA BORA Ni vizuri tukaanza kwa kuangazia maana ya utawala bora, japo sio kwa tafsiri rasmi. Utawala bora ni dhana inayohusisha ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi yanagusa maisha au maslahi yao kwa namna moja au nyingine. Maamuzi hayo yanaweza kuwa yanagusa nyanja za kisiasa, kijamii...
  13. Y

    SoC02 Uchumi na Utawala Bora Tanzania

     MADA; UCHUMI NA UTAWALA BORA  TANZANIA.  UTANGULIZI nchi yeyote ile Ili ikue kiuchumi inahitaji serikali iliyo bora na imara, Kwa maana ya kwamba serikali ambayo misingi ya democrasia na haki za raia. Serikali ambayo itasimamia rasilimali za taifa lake Kwa umakini mkubwa, kuziendeleza na...
  14. Regani H masuki

    SoC02 Umuhimu wa kuwa na Dira ya Taifa ya Maendeleo na kuzingatia utawala bora

    UMUHIMU WA KUWA NA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NA KUZINGATIA UTAWALA BORA Dira ya taifa ya maendeleo ni kielelezo ambacho jamii au taifa linaongozwa kufanikisha matakwa au matumaini ya kuwa na maisha bora zaidi katika muda uliokusudiwa na matakwa hayo sharti yaeleweke na kukubaliwa na jamii au...
  15. N

    SoC02 Uwajibikaji na Utawala Bora

    Awali ya yote itakuwa mujarabu nikianza kuelezea kwa kifupi maana ya maneno uwajibikaji na utawala bora. Aidha maneno hayo ni kama chanda na pete. Ni kwa nadra sana unaweza kuyatenganisha. Uwajibikaji ni neno ambalo lipo katika mawanda mapana hususan katika maisha ya mwanaadam. Neno hilo...
  16. R

    SoC02 Tunawezaje kupata utawala bora

    TUNAWEZAJE KUPATA UTAWALA BORA? Hakuna namna eneo lolote linaweza kujiendesha lenyewe bila uwepo wa utawala kuanzia ngazi za chini za kitongoji mpaka za kitaifa.Uwepo wa utawala ni wa muhimu sana ili kuhakikisha kuwa shughuli zote zinazofanyika katika eneo husika zinaenda sawa chini ya...
  17. ABDalali

    SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    “Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu” ni kauli maarufu sana katika hizi juma chache zilizopita miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania. Kauli hii inatumiwa sana na Mtanzania, Bwana Joramu Nkumbi aliyejizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa matumizi ya lugha...
  18. C

    SoC02 Utawala Bora katika kujenga nchi na kuchochea uzalendo bora

    UTAWALA BORA KATIKA KUJENGA NCHI NA KUCHOCHEA UZALENDO BORA Utawala bora ni mchakato wa kuongoza nchi kwa kuzingatia suala la Demokrasia na utu wa wazawa katika nchi,utawala bora ni dhana kubwa ya kuwaleta viongozi wanaongoza na raia mahali pamoja ili kulijenga Taifa lenye maendeleo. Mambo...
  19. K

    SoC02 Utawala Bora katika Taifa

    Utawala ni Hali inayoakisi sifa nyingi zilizopo kwenye Matabaka Makuu Mawili ambayo yanaunganishwa na Tabaka liitwalo Mifumo/Mfumo. Sifa kama Utii,Uzalendo,Ukarimu,Ubunifu,Kujitoa,Misimamo Madhubuti,Utu,Kujituma,Ushirikiano na kadhalika. Hizo ni baadhi tu za Sifa zilizopo kwenye Tabaka la...
  20. K

    SoC02 Kumbukumbu zangu

    Umuhimu wa chakula uonekana palipo na njaa vivyo hivyo umuhimu wa amani huonekana pasipo na amani, giza lilitanda upande wa kazkazini mwa Tanzania maskani pa majirani zetu wa nchi ya kidemokrasia ya Congo, Giza hilo liloletwa na kundi la waasi wa kundi la M27. Kama ilivyo desturi ya ujirani...
Back
Top Bottom