uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa. Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu...
  2. H

    Niyawazayo kuhusu uteuzi wa Chief Scout wa Simba

    Nawasalimu. Wiki hii Klabu ya Simba imemteua Mholanzi, Melis Daadler kuwa msaka vipaji mkuu(chief scout )wa Klabu. NIna mtazamo tofauti na watanzania walio wengi wanaodhani kaja kusajili wachezaji dirisha hili ili simba abebe ubingwa msimu huu. Lengo la timu ni la muda wa kati na mrefu. Wengi...
  3. Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi 8 wapya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mabalozi kama ifuatavyo: 1.Amemteua Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo, Meja Jenerali Mwaisaka alikuwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji (JWTZ). 2.Amemteua Meja Jenerali...
  4. Baada ya Kuvutiwa na Uteuzi wa Mwanza, najiandaa Kufungua huko Kiwanda Kikubwa cha Vibiriti

    Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
  5. B

    Kwa uteuzi huu wa RC Chalamila kuja Dar es Salaam, Rais Samia kaupiga mwingi

    Dsm inahitaji watu kariba ya kina Chalamila. Jiji lilipoa sana hili. Nina imani kwa ujio wa Chalamila, sasa taarifa za habari zitaanza kufuatiliwa na watu wengi kuliko ilivyokuwa hapo kabla. Ninachomwomba Chalamila, ni ajitahidi kuwa yeye na kuusema ukweli pasipo kumwogopa yeyote. Usiogope...
  6. Rais Samia amemteua Mussa Makame, Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi (Portfolio Investment Advisory Board). Aidha...
  7. UTEUZI: Rais Samia ateua Mwenyekiti Tume UNESCO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Prof. Elifas Tozo Bisanda kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Prof. Bisanda ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo kwa kipindi cha pili...
  8. Uteuzi na uchaguzi ndani ya China (China's Meritocracy)

    China has a unique system of selection and election of officials, which Canadian scholar Daniel A. Bell has described as "political meritocracy." Unlike Western models, China's selection of officials is focused on ability and merit. "Political meritocracy" is the idea that the political system...
  9. Rais Samia, ikikupendeza mteue Prof. Muhongo Wizara ya Madini asaidiane na Dotto, ana mawazo yenye tija

    Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini. Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana kwenye issues za Madini na kiukweli ni mbobezi wa fani hiyo. Ni mara chache utamkuta prof.Muhongo...
  10. Uteuzi: Rais Samia amemtua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, ambapo amemteua Jaji Mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo kuanzia tarehe 24 Aprili, 2023. Jaji Mstaafu Teemba anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Ibrahim Mipawa...
  11. Mbunge ataka Sheria kuweka bayana uteuzi wa Wagombea ndani ya Vyama vya Siasa

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Neema Lugangira ametaka maboresho ya vyama vya siasa na chaguzi ziainishe bayana uteuzi wa wagombea ndani ya vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali za uongozi. Ameyasema hayo leo Aprili 25,2023 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba...
  12. Jaji Manento: Rais apunguziwe mamlaka uteuzi wa Majaji

    Jaji Kiongozi mstaafu, Amir Manento amependekeza Katiba iweke udhibiti kwa Rais asiwe na mamlaka ya kuteua majaji nje ya mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Mahakama. Manento alitoa mapendekezo hayo jana kwa kwa Tume ya Haki Jinai, iliyoundwa па Rais Samia Suluhu Hassan, kuangalia jinsi ya...
  13. Uteuzi: Rais Samia ateua Mshauri wa Sheria na Mshauri wa Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Jaji George Masaju kuwa Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria (Advisor to the President – Legal Affairs). Jaji Masaju ni Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Uteuzi huu umeanza tarehe 20...
  14. Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Sekiete Selemani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili, 2023. IKUMBUKWE KUWA: Mwanzoni mwa mwaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'alimshtaki' Mkurugenzi huyo kwa...
  15. Rayvanny, Mbosso walalamikia uteuzi wa vipengele vya Tuzo za Muziki (TMA)

    Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Msanii @rayvanny Kuhusu Tuzo Za "TMA" Baada Ya kutangaza Vipengele "TMA Tunajivunia Kwamba Mna-Support Muziki Ila Hiki Sio Nilichokitegemea. Nimesikitishwa Sana" - Rayvanny JE, Unadhani Rayvanny Atakuwa Ameangushwa na kitu Gani Katika Tuzo Hizi ? Msanii...
  16. Rais ateua Wenyeviti Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:- 1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa...
  17. UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo: 1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi. 2. Amemteua...
  18. R

    Kwa Kasi iliyopo ya viongozi kwenda Kwa wataalam huko Tanga mamlaka za uteuzi zisilalamikiwe bali tuziombee

    Ukikaa vijiwe vya Kahawa Tanga hasa kwamsisi, Handeni na Pangani ukasikiliza Stori za wananchi utatambua umuhimu wa kuziweka mamlaka za uteuzi mikononi mwa Mungu. Watu wanaratiba kabisa yakwenda kuongeza nguvu za kimamlaka wengine wanatumia magari binafsi huku wachache wakitumia magari ya umma...
  19. Inasemekana Rais kajifungia usiku mzima akichekecha wapigaji. Tutarajie mkeka wakati wowote kuanzia leo

    Usipomwelewa Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?" Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa...
  20. Rais Samia aunda kamati kutathmini utendaji kazi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati kwa ajili ya kutathmini utendaji kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ili kuiwezesha Wizara hiyo kutekeleza malengo ya Serikali katika kukuza diplomasia ya uchumi na ushirikiano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…