Leo mtani wetu klabu ya Yanga imetimiza miaka kadhaa tangu kuanzishwa,,
ingawa imeangukia siku mbaya baada ya Jana kuangukia pia baada ya kutoa sare na Jkt ya masau bwire ila ndio hivyo maisha lazima yaendelee TU hakuna namna.
Nawaza TU hapa sherehe na shamra shamra zitafanyika kweli??, au...
Kikosi kazi cha Utopolo bado kinaendelea kuhakikisha kuwa umoja unapungua ama kufa kabisa ili tuanze kucharurana na hatimaye mwezi Machi washushe maangamizi mengine kwetu, sasa hivi kikosi chao kinasubiri kujua nani amepangiwa kucheza na simba hatua ya robo ili wamalize shughuli kwa kushirikiana...
Nimeangalia game ya Mc Alger na Mazembe ya jana(ijumaa) kule Algeria ,well ukweli ni kwamba hamna timu kati ya zile yenye quality ambayo Yanga wanayo
Nadhan itakuwa sio fair kwa mpira wa miguu kwa Yanga hii ya Pacome,Aucho , Baka etc kutoenda robo halafu aende Mc Alger,plus the fact kwamba...
Leo nimeshangaa hadi mechi inaendelea ya Yanga vs Prisons sioni uzi wake. Nikasema labda wamesusia litimu lao. Mara kuna mtu akaanzisha uzi unaohusiana na matokeo ya mechi, nilipoufungua, kumbe mods wameuunganisha, nikapelekwa kwenye uzi rasmi wa mechi ambao kwangu hauonekani.
Nikasema mmmh...
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.
Akiongea na wanahabari leo...
https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13
Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali akaishia kukenua tu.
Tazama pia penati ya dhuruma, mpigaji alipiga akiwa amekaza magego lakini waaaaapiii
Ukiwa Mwanasimba uko mitaani ukatamka neno utopolo basi unacheka, unafurahi , unadharau na kubeza , simba ikija uwanjani inaanza mbwembwe Debora anazungusha watu dimba la katikati watu wanakaanga chips shwaaa, raha iliyoje, mara Zimbwe Jr anageuka kwa madoido watu weweee, Kibu anaruka ruka...
Huyu mwamba yuko level nyingine kabisa, huwezi kumlinganisha na akina Mwalimu Yanga au God Yanga ambao wanaonekana kupendwa zaidi na uongozi.
Ushauri: club ya Yanga isimtenge mzee wa utopolo. Ndiyo ana wadhamini kadhaa wanaomwezesha kusafiri mikoa mbalimbali kuifuata timu ila ukiongea naye...
1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid.
Yanga kama kawaida yao...
Kumekuwa na mwamko mkubwa wa wapenzi na mashabiki wa Mamelodi Sundowns kujiandaa kuhudhuria mechi dhidi ya Deportivo de Utopolo itakayofanyika tarehe 30/03/2014.
Sasa tumekubaliana kila goli letu likifungwa tutacheza style inayotrend sasa hivi ya amapiano iitwayo Tshwala Bam...
Jamaa anahisi anatengwa, kwa mtazamo wangu huyu jamaa ni mzuri kwenue hamasa kuliko watu kama Mwalimu Yanga, Mzee wa Mashairi, God Yanga nk. Ila anatengwa sana kwenye offers mbalimbali ambazo club inatoa kwa mashabiki vinara, ntafurasi endapo siku moja ataingia kwenye orodha pendwa ya viongozi...
Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani.
Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisi wa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz.
Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.