Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'.
Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni..
Mwambieni ache kupoteza watu maboya...
Wale Jamaa pale Kwa Mnyamani na li ugali lao kuuubwa walilopika na kula kwa sukari. Wamepata faida gani kimpira zaidi ya kula ugali wakiwa gongo wazi??
Manara aliwahi kusema kuwa Yanga kuna watu wawili tu wenye akili (hata yeye hana), yaani baba yake mzazi na Mzee Jakaya.
FT: TP Mazembe 0-2 Monastir
Huwezi kujiona una timu kwa kuifunga TP Mazembe nyumbani. TP Mazembe ni ile ya kina Samata au hii ya juzi kati ya kina Baleke.
Timu mpaka inafungwa na Utopolo hiyo sio timu ni kikundi cha wahuni. Yaani mgonjwa mahututi anakuja kupigia chafya kwako.
Angalia hapo...
imesisikitisha sana hii series maana niliingojea kwa hamu. Jamaa wamechukua story nzuri na kuiharibu kabisa. Uigizaji mbovu scenes nyingi za kitoto sana. pengine labda huko mbele itabadilika. Wanasema imevunja rekodi ya kuwa series ya gharama zaidi, kweli pesa si kila kitu.
Kushabikia #utopolo ni dhambi na wanaoshabikia lunyasi wazee wa Tanzania na Africa na wana julikana kote duniani kwamba muwakilishi wa Tanzania inajulikana simba pekee na hakuna kidume zaidi yao ukishabikia simba umebarikiwa hauna dhambi na tuna mzungu saivi hatari
#mashakasaidibeneumboyo
Bongo hatari sana, kuna siku Pambalu wa CHADEMA kwa niaba ya BAVICHA aliitisha press kuzungumiza upandaji wa uongo wa mshahara na siku hiyo hiyo s Alhaji Takadini alikuwa na press yake ya kumchamba Karia na TFF, guess what, Bavicha walipata mic moja tu woote walikuwa kwa Alhaji Takadini
Leo...
Tulifanya maombi ya nguvu kuombea njaa Orlando pirates, Etoile du sahel zifeli na against all odds zikafeli mambo yakatarajiwa kwamba simba itaingia kwenye favour ya zile teams 10 kuanzia round ya kwanza
Mambo yameenda ndivyo sivyo tuaanzia round ya awali pamoja na waliostahili kuanzia round...
Kijana katengenezwa na propaganda akawa mkuubwaa hadi yeye akajishangaa , ukweli ni kwamba hizi teams 3 za bongo zinalipa mishahara ambayo huko west africa wachezaji hawana kabisa lakini Aziz key propaganda yake na jinsi walivyo handle suala lake lita wa cost sana mbeleni huko
***Sharti la...
Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ...
Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
Nimeangalia mechi vs Geita Gold nikabaki natikisa kichwa tu...dah kwa kweli kazi ipo..ukweli ni kwamba mechi ya fainali hiyo trh 28 utopolo ndiye favourite kushinda hata makampuni ya betting yatampa yeye.
Wachezaji hawana fitness hadi nimemkumbuka yule Mtunisia , najua kila team kuna wapiga...
Yes kesho by mchana au saa kumi kutakuwa na press conference ya kupotezea tukio zito la leo la simba kutoa kichapo cha mbwa mwizi kwa wa niger
Kabla ya press conference hiyo tarajia HABARI ZA UZUSHI KUANZIA ASUBUHI ZITAKAZOSAMBZWA NA MAKANJANJA kwamba GSM washakubaliana kumsajili Adebayor wa...
Nasema hivi facts hupingwa kwa facts utopwinyo ni watoto wadogo sana level za kimataifa, Simba 1974 kagonga nusu fainali , 1993 kagonga fainali sitaki hata kuzungumzia hizo robo fainali na group stages
Haya sasa ifuatayo ni lists ya teams zlizocheza mechi nyingi zaidi kwenye hatua ya makundi...
Habari za kutwa miamba na majabali ya jukwaa mujarabu.
Rejeeni kichwa cha maada, nimetafakari nyakati nyingi na kwa marudio kwanini nchi hii ina ombwe kisiasa,kidemokrasia na kikatiba.
Kwanini uhuru katika nyanja hizo si kipaumbele kwa Taifa hili?
Mara nyingi maswali yangu hujikita...
Wakuu wapenzi wa michezo na burudani na wasalimu kwa jina la kanuni na sheria za mpira.
Leo tarehe 07/12/2021 nimeona mijadala mingi mitandaoni inayohusu udhamini wa GSM na TFF ambao bado kisheria ni mkataba usio fuata taratibu za michezo kama zinavyooainishwa kuanzia FIFA na CAF na hata sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.