Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha.
Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa😂😂
Waambieni ukweli mashabiki wenu, kwanini hamtaki kumlipa Sheikh Aucho? Kupost video instagram na kusema anaumwa bila...
Napingana na Engineer kuwa Utopolo inaendeshwa kwa hasara kwani Mo Dewji aliposema Simba inaendeshwa kwa hasara walimtukana wakiongozwa na Msukule wao .. Yanga pamoja na waandishi Mazuzu walimsema vibaya Sana Mo... kwamba anakula mpunga kijanjajanja pale Simba!
Hivyo Engineer sikubaliani nawewe...
Dah mechi ya utopolo alikwasha akambana Djuma Shaban kupanda akatolewa leo tena katoka naona Peter Banda kaboa.
Dilunga alimkoseaga nini mzungu. Asee na kwa urukaji ule wa pascal wawa mungu atusaidie tu
Sibishani tena na utopolo tuwaachie ubingwa wao mwaka huu
NBC wame surrender kwa utopwinyo na kukubali kuharibu logo yao , inasikitisha sana ni vile Utopwenga hawana ga desturi ya kufikaga robo fainali ya champions league lasivyo wangejua ni lazima kuvaa nembo ya wadhamini wa CAf(total)wenye rangi nyekundu, watayajulia wapi wakati rounds za awali ndiyo...
Ikumbukwe hadi sasa TFF (Tanzania) tuna points 27.5 huko Caf zililizowezesha nchi kuingiza teams 4 yaani simba ana 24, namungo 2.5, utopwenga 1
Simba ni ya 15 kwa sasa ,namungo ni ya 60 hivyo biashara kiingia makundi atalamba points zake 2.5 na kumfikia namungo kwenya nafsi ya 60 huku mabingwa...
Taifa Stars jana wamefanikiwa kujitoa kwenye list ya kikundi cha wahuni wanaoliaibisha taifa.
Aliyebaki sasa ni utopolo tu, wahuni wasio na msaada wowote kwa taifa hata wakibebwaje.
Wadau hivi mnaonaje, tuwapige ban hawa misukule kuliwakilisha taifa? Maana wanaleta aibu na fedheha tu.
Kwenu...
Haya hayaa wale wazee wa kupitisha milioni 15 kwa WALEZI have done it again, call them UTOPOLO, UTOPWENGA, UTOPWINYO waharibifu wa logo na brand za wenzao kudadekii majitu ambayo logo yao ni mbaaya kishenzi hadi ina mabondia na wacheza netball
hay bwana kikao kimekaa jana na NBC wamekubaliana...
Kesho inatarajiwa benki ya NBC kutangazwa kama wadhamini rasmi wa ligi kuu ila tuambiane tu ukweli UTOPWINYO KESHO KINANUKA watakataa hiyo logo watasema Twiga mwekundu hawataki awe wa njano au kijani, ni majitu fulani yasiyoheshimu watu hata nembo za wenzao hawaheshimu nakumbuka last year...
Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni.
Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye matangazo sijui wanashindwaje ku balance muda, ikifika half time uchambuzi ni hovyo kabisa ukitoa Jesse...
Kuna uwezekano MSHAMBULIAJI NAMBARI MOJA NA TEGEMO KUU LA SIMBA SC, Chris Mugalu akawa na ugonjwa wa akili nawaambia nyie hata kama ni mgeni hujali kuhusu derby kuwa na uchu basi kama wale vijana wa utopolo kina Aucho mbona wao ndiyo mara ya kwanza wamepambana wewe una mechi 3 na utopolo...
Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa utaendelea kuvaa nembo yenye vivutio vya utaliiya Visit Kilimanjaro & Zanzibar kwenye jezi zao upande wa mkono wa kushoto katika mechi zao za ndani.
.
Uongozi umesema kutokana na mechi hizo zinarushwa na Azam TV hivyo upo uwezekano wa kuonekana na watu wa...
dah ila msomali Analiwa hela kizembe sana watu wanachukua samples zilizotumwa kwenye #simba jersey challenge tena wamechukua ile sample mbovu wanaitembeza mtandaoni, unajua haikuwaga siri ziliztumwa nyingi sana hizi ni baadhi nendeni m kaprint kabisa na hizi msambaze mtandaoni ILA MSIWE NA...
Yes I said it, lowest ranked clubs ndipo utapu tapu au utopolo fc wana po belong ,vilevile karibuni sana team ya Nigeria tutawapa ushirikiano wa kutosha.
Wachambuzi TAKATAKA kina Priva na kitenge watajifanya kama hawajaliona hili la utopolo kuwekwa kwenye kapu la team zenye viwango duni...
Wasalaam,
Ndugu wanajf naomba kupata updates za kombe la Kagame huko linavyoendelea na nikiwa shabiki lialia wa Yanga naomba matokea bila kufichwa!!
Nasubiria na updates za usajili kutoka club yangu pendwa naona viongozi na mashabiki tumekua kimya sana kama tumepigwa na ganzi kunani
Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema.
Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
tulizoea sana hizi timu zikivunja rekodi kwenye usajili. Baada ya hali mbaya kiuchumi kupitia makampuni ya udhamini wachezaji woooote wa kigeni wameondoka.
Angalia kipigo zinavyopokea kwa sasa.
Huyu mzee ana busara sana kwa kweli kila nikiiangalia team yangu simba wazee kama ramesh patel, philemon sarungi,kina kova wanatuchelewesha tu laiti tungekuwa na kina mzee mpili,mzee magoma tungekuwa mbali sana
19.05.21
CAS 2020/A/7510 Daniel Kinyua Wanjiru v. World Athletics
CAS 2020/A/7239 Shabab Al Ahli Dubai Club v. Mauro Alberto Díaz & Club Estudiantes de la Plata
CAS 2020/A/7261 Mauro Alberto Díaz & Club Estudiantes de la Plata v. Shabab Al Ahli Dubai FC
21.05.21
CAS 2021/A/7628 Fabián Hernando...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.