Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii.
Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi.
Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
Mbona hawakususa mechi zao za azam na biashara kubadilishwa muda?
Waache kudanganya watu, utopolo wamekimbia kipigo cha mbwa mwizi kilichokuwa kinawasubiri leo taifa, na kwa taarifa tu, kipigo kipo pale pale.
Ningeomba tff na bodi ya ligi waiadhibu utopolo kwa kukiuka kanuni, sheria ifate...
TFF imetumia busara, imeamua kuahirisha mechi ya simba na utopolo ambayo itapangiwa siku nyingine!! Utopolo walitegemea simba ingepewa pointi 3, raha yao tu ni kwamba wamekwepa kichapo. Kwa kuliona hilo TFF wakaahirisha mchezo, sasa utopolo wamenuna! Hawawezi kugoma tena maana sasa mechi...
Wakuu, tueleweshane kidogo!
Sijashabikia mpira siku nyingi.
Ila kuna maneno mapya mapya siku izi kama UTOPOLO na VYURA.
Yanasemwa na kila shabiki, niulize Utopolo ni Yanga au Simba?
au ni ile timu inayopoteza? Msaada jukwaani.
Kwa kuwafuatilia Kwangu kwa Jicho la Kiufundi naliomba Benchi la Ufundi la Simba SC lifanye Maandalizi makubwa ikiwezekana hata kuliko yale waliyoyafanya ilipocheza na Al Ahly hapa Dar es Salaam.
Wana Winga zao ( Viberenge ) Wawili ambao nina uhakika Siku hiyo akina Kapombe na Tshabalala...
MOTO uliouwasha Prince Dube sio wa kitoto kwani jamaa unalijua goli balaa. Mpaka sasa Dube ndiye unayeongoza kwa mabao kwenye Ligi Kuu ukifungana na mfungaji bora wa msimu uliopita Meddie Kagere wa Simba.
Dube ndiye unayeibeba Azam kwa sasa, pale Yanga sioni beki wa kukuzia kwa maji anayomwaga...
Matokeo: Yanga 1-0 Biashara
Goli pekee lilofungwa na mshambuliaji wa kimataifa kutoka Burkina Faso, Yacouba Sogne lilitosha kuipa ushindi vinara wa ligi Yanga dhidi ya timu ya Biashara ya kutoka Mara.
Uwanja wa taifa leo ni Utopolo na Biashara Utd ya Musoma.
Saa 1 usiku kitanuka. Utopolo...
Leo Yanga almaarufu kama utopolo watakuwa na mechi muhimu na ngumu kwao dhidi ya biashara. Huku wakijua kuwa wakishindwa au kutoka sare itakuwa ndio mwisho wa kuongoza ligi kwa mwaka huu baada ya kesho jioni, nafikiri watakuwa radhi kufia uwanjani ili mradi tu wapate matokeo mazuri.
Kwa hiyo...
mambo ni faya fire fireeee mootoooooo..ewaaaahhhhhhhhh kings of East africa wanakamata nafasi ya 13 huku vijana wa waziri mkuu wa awamu YA TANO asiyejulikana kama atarudi madarakani wakiwa nafasi ya 59 na deportivo la utoPolo kama kawaida yao wako nafasi ya 74
Kauli za Mashabiki wa Yanga SC kabla ya Mechi ya Simba SC na El Merreikh leo....
" Leo mtafungwa hamtoamini "
" Mtakoma mnacheza bila Watazamaji leo "
" Leo mmekomolewa na CAF hivyo mnacheza bila Mashabiki na hamtoingia na Paka wenu wale "
Kauli za Mashabiki wa Yanga SC mara baada ya Simba SC...
Baada ya utopolo wanaume , leo ni zamu ya yanga queen mpaka sasa wamefungwa mbili bila na mchezaji wao mmoja kapewa red card kwa kudaka mpira makusudi.
Tayari goli tatu.
Full time 3-0 tumeshuhudia pira biriani kwa dada zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.