utopolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heri ya Siku ya Kuzaliwa Young Africans (Yanga SC )

    Leo mtani wetu klabu ya Yanga imetimiza miaka kadhaa tangu kuanzishwa,, ingawa imeangukia siku mbaya baada ya Jana kuangukia pia baada ya kutoa sare na Jkt ya masau bwire ila ndio hivyo maisha lazima yaendelee TU hakuna namna. Nawaza TU hapa sherehe na shamra shamra zitafanyika kweli??, au...
  2. M

    Mpango wao Utopolo sio huo tu wameshajipanga kutuangamiza kombe la Shirikisho ili tufanane, msiseme sikuwaambia

    Kikosi kazi cha Utopolo bado kinaendelea kuhakikisha kuwa umoja unapungua ama kufa kabisa ili tuanze kucharurana na hatimaye mwezi Machi washushe maangamizi mengine kwetu, sasa hivi kikosi chao kinasubiri kujua nani amepangiwa kucheza na simba hatua ya robo ili wamalize shughuli kwa kushirikiana...
  3. Kolo, Dunduka na Utopolo yana maana yoyote?

    Haya maneno ya Kolo, Dunduka na Utopolo ambayo yanatumika na washabiki Waswahili wa mpira mitaani ni misamiati yenye maana yoyote?
  4. T

    Utopolo Wamekimbiwa na Kocha

  5. Mshabiki kindakindaki wa Mnyama, Simba SC ila nasimama na Yanga SC wapite kwenda robo fainali

    Nimeangalia game ya Mc Alger na Mazembe ya jana(ijumaa) kule Algeria ,well ukweli ni kwamba hamna timu kati ya zile yenye quality ambayo Yanga wanayo Nadhan itakuwa sio fair kwa mpira wa miguu kwa Yanga hii ya Pacome,Aucho , Baka etc kutoenda robo halafu aende Mc Alger,plus the fact kwamba...
  6. Tumefikia huku? Inakuwaje wengine tunabaniwa tusione nyuzi za mechi za Utopolo?

    Leo nimeshangaa hadi mechi inaendelea ya Yanga vs Prisons sioni uzi wake. Nikasema labda wamesusia litimu lao. Mara kuna mtu akaanzisha uzi unaohusiana na matokeo ya mechi, nilipoufungua, kumbe mods wameuunganisha, nikapelekwa kwenye uzi rasmi wa mechi ambao kwangu hauonekani. Nikasema mmmh...
  7. Naangalia Al Hilal na TP Mazembe hapa itoshe kusema Depotivo de Utopolo (Yanga SC) jiandaeni kumaliza wa mwisho kwenye kundi

    Kama kuna mtu aliwadanganya deportivo de utopolo kuwa Mazembe ameshuka kiwango basi mjiandae kushenyetwa nje ndani jamaa wanapeleka moto sio poa.
  8. Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo. Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017. Akiongea na wanahabari leo...
  9. Magoli ya Kutia adabu-Tabora Utd dhidi ya Utopolo

    https://youtu.be/86ilS4nqcDE?si=pxCHHxy6QqIzyD13 Binadamu wepesi kusahau. Magoli matamu, magoli hayana maelekezo. Magoli yenye dharau ndani yake. Kuna mengine mdaka mishale alipigiwa mbali akaishia kukenua tu. Tazama pia penati ya dhuruma, mpigaji alipiga akiwa amekaza magego lakini waaaaapiii
  10. Kombe Neno "Utopolo" maana yake ni Kisu Kikali cha Kumchinja Mnyama Simba!

    Ukiwa Mwanasimba uko mitaani ukatamka neno utopolo basi unacheka, unafurahi , unadharau na kubeza , simba ikija uwanjani inaanza mbwembwe Debora anazungusha watu dimba la katikati watu wanakaanga chips shwaaa, raha iliyoje, mara Zimbwe Jr anageuka kwa madoido watu weweee, Kibu anaruka ruka...
  11. Japo Yanga inamtenga na kumchukia lakini Mzee wa Utopolo anabaki kuwa shabiki wa Yanga mwenye mvuto zaidi

    Huyu mwamba yuko level nyingine kabisa, huwezi kumlinganisha na akina Mwalimu Yanga au God Yanga ambao wanaonekana kupendwa zaidi na uongozi. Ushauri: club ya Yanga isimtenge mzee wa utopolo. Ndiyo ana wadhamini kadhaa wanaomwezesha kusafiri mikoa mbalimbali kuifuata timu ila ukiongea naye...
  12. L

    Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Yanga Ngao ya Hisani jana

    1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid. Yanga kama kawaida yao...
  13. L

    TFF mmeona walichokifanya Utopolo leo uwanjani, nasubiria mseme neno

    Tumewaona utopolo katika basi Lao wametanguliza wachezaji 4 t, wengine wamepanda mabasi mengine, TFF nasubiria tamko lenu, wanasema hawarogi nn hii
  14. Jinsi tutakavyoshangilia magoli ya timu yetu ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga

    Kumekuwa na mwamko mkubwa wa wapenzi na mashabiki wa Mamelodi Sundowns kujiandaa kuhudhuria mechi dhidi ya Deportivo de Utopolo itakayofanyika tarehe 30/03/2014. Sasa tumekubaliana kila goli letu likifungwa tutacheza style inayotrend sasa hivi ya amapiano iitwayo Tshwala Bam...
  15. Sadio Mane amejenga uwanja kijijini kwao. Utopolo na makolo wanashindwa nini kuwa na viwanja?

  16. Uongozi wa Yanga Malizaneni na Mzee wa Utopolo

    Jamaa anahisi anatengwa, kwa mtazamo wangu huyu jamaa ni mzuri kwenue hamasa kuliko watu kama Mwalimu Yanga, Mzee wa Mashairi, God Yanga nk. Ila anatengwa sana kwenye offers mbalimbali ambazo club inatoa kwa mashabiki vinara, ntafurasi endapo siku moja ataingia kwenye orodha pendwa ya viongozi...
  17. Kutana na Dogo aliyegoma kuwa Utopolo

    Hii ni weekend sihitaji vitu vigumu. Nimekuletea dogo aliyegoma kuwa Utopolo kama Kilimbatz Hivi nini hutokea mpaka mtu anakuwa Yanga?
  18. Tupia picha za Aziz Ki Day hapa

    Mi naanza kwa kuweka picha za Aziz πŸ”‘ πŸ— πŸ” day Uzi tayari
  19. Uzi maalumu wa Misemo ya Yanga baada ya kufungwa na Simba na kupoteza Ngao ya Hisani

    Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani. Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
  20. M

    Diamond Platinumz tunakutaka mara moja uache kujihusisha na jina la Simba wakati unashabikia Utopolo (Matembele)

    Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisi wa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz. Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…