Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni.
Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye matangazo sijui wanashindwaje ku balance muda, ikifika half time uchambuzi ni hovyo kabisa ukitoa Jesse...