Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka.
Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
Kamati ya rais ya kupambana na janga la Covid-19 nchini Nigeria, imesema taifa hilo litapiga marufuku wasafiri wanaokuja kutoka India, Brazil na Uturuki, kutokana na kuenea pakubwa kwa virusi vya corona katika mataifa hayo.
Taarifa ya mwenyekiti wa kamati hiyo Boss Mustapha, imesema watu walio...
Serikali ya Urusi imesema inapanga kusitisha huduma za anga kati ya Nchi hiyo na Tanzania kuanzia Aprili 15 hadi Juni 01, 2021 kutokana na hali ya mlipuko wa CoronaVirus
Serikali imesema itapitia upya zuio hilo ikiwa hali ya mlipuko itatengemaa. Mbali na Tanzania, Taifa hilo pia litasitisha...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametahadharisha juu ya Uturuki kuingilia kati katika uchaguzi wa rais nchini Ufaransa mwaka ujao.
Ameituhumu serikali ya mjini Ankara kwamba inaeneza uwongo kupitia vyombo vyake vya habari. Akihojiwa na kituo cha televisheni nchini Ufaransa cha France 5, Rais...
Serikali ya raisi Tayep Erdogan imejiondoa rasmi kwenye mkataba wa kimataifa unaotaka kuwalinda wanawake dhidi wa matendo ya udhalilishwaji. Hatua hiyo imetajwa kuwa ni ushindi mkubwa wa viongozi wahafidhina wa chama cha AK kinachoongozwa na Rais huyo wakishutumu mkataba huo kama kichocheo cha...
Habari za muda huu ndugu zangu wa JamiiForums
Je, idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiislam (99%) inaweza kuwa ndio kikwazo kikuu cha nchi ya Uturuki kutokuwa mwanachama kamili/rasmi wa E.U mpaka sasa?
Walikubaliwa haraka kujiunga NATO kwa maslahi ya kijeshi kama daraja la Wazungu kuingia...
Nadhani mwaka jana, Serikali ilipata wakati mgumu sana kupitia balozi zake, kwani balozi hizo zilivamiwa na kesi nyingi za watanzania kunyanyasika nchi za kiarabu na China.
Kinachoendelea sasa ni ya kutisha kwani wadada wengi sana, wanakimbilia Dubai, Oman na Uturuki kujiuza. Siku ya Ijumaa...
Habari!
Marekani imetangaza rasmi [Jumatatu] kuiwekea vikwazo Uturuki baada ya Ankara kutekeleza mpango wake wa ununuzi wa mfumo wa kijeshi wa ulinzi wa anga ujulikanao kama S-400 kutoka nchini Urusi.
Takribani mwaka mmoja na nusu baada ya Uturuki kununua mfumo huo, Rais wa Marekani Donald...
Habari!
Mpango uliofikiriwa muda mrefu wa kuiwekea vikwazo nchi ya Uturuki juu ya hatua ya nchi hiyo kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka nchini Urusi umeripotiwa kukamilika.
Kulingana na vyanzo mbalimbali wakiwemo maafisa kutoka nchini Marekani wameweka bayana kukamilika kwa mpango...
Amani iwe nanyi wadau
Tanzania ikiwa inaendelea na uchaguzi mataifa wawili yalikuwa vitani(Armenia na Azerbaijan). Armenia ikiungwa mkono na Urusi kwa kuwa na watu wengi wanaozungumza kirusi (Christian Orthodox) na Azerbaijan ikiungwa mkono na uturuki kwa kuwa majority ya population yao ni...
Tetemeko la Ardhi lililotokea mchana wa Ijumaa ya tarehe 30 Octoba 2020 katika ukanda wa Bahari ya Aegean limeharibu miundombinu katika miji ya pwani.
Watu katika Mji uliopo Magharibi mwa Uturuki , Izmir wamekusanyika katika mitaa baada ya kuyakimbia majengo yao wakitafuta usalama. Meya wa mji...
Mchumba wa mwandishi wa Saudia Jamal Khashoggi aliyeuawa nchini Uturuki amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya mwanamfalme wa Saudia, akimtuhumu kwa kuagiza mauaji hayo.
Inaelezwa kuwa Kashogi aliachana na Kundi la wasomi wa Saud Arabia tangu mwaka 2017 na baadae kuhamia Washington ambao...
Baada ya taarifa za kuwepo kwa Tweet yenye barua ya wazi toka kwa raia wa Canada Bw. Robert Amsterdam, nimelazimika kujielemisha ili kujua huyu mtu ni nani, thanks to Google search. Niliyosoma kuhusu huyu mtu yamenishitua.
Kwa kifupi imeelezwa kwamba Bw Amsterdam ni wakili wa kimataifa...
Kuna wanaosema ni bora aende Uturuki akapate nafasi ya kucheza na kuna wanaosema kutokana na umri wake kiwango chake kimeshuka na kinakwenda kushuka zaidi huko Uturuki bora angebaki tu EPL.
Ukweli ni upi?
Kwani ligi ya Uturuki na ile ya Ubelgiji alikokuwa ni bora ipi?
Jamhuri ya Uturuki, Türkiye Cummhuriyeti au Republic of Turkey
Uturuki ni taifa lenye mipaka baina ya Asia na bara Uropa, asilimia 97 ya taifa limelalia upande wa Asia huku 3 ikiwa Ulaya. Uturuki yenye mipaka na bahari ya Mediterrania 'Mediterranean Sea', bahari ya Aegea 'Aegean Sea', peninsula...
Raia wa Uturuki wamehamishwa kutoka Ujerumani na Tanzania mapema Jumapili na kuwekwa chini ya kizuizi(karantin) cha siku 14 ili kupunguza kuenea kwa virusi vya corona.
Jumla ya Waturuki 157 kutoka Ujerumani wamepelekwa mkoa wa Kayseri na baadaye kupelekwa katika mabweni ya wanafunzi kwa ajili...
Uturuki imewashtaki raia wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kumuua mwandishi habari Jamal Khashoggi, akiwemo aliyekuwa naibu mkuu wa kitengo cha ujasusi, mshauri wa familia hiyo ya kifalme pamoja na washukiwa wengine 18.
Kupitia taarifa, ofisi ya mwendesha mashtaka mjini Istanbul imesema...
Kitendo cha Urusi kumuuzia Uturuki silaha aina ya S400 kilikua ni kosa kubwa sana la kimkakati lililofanywa na Urusi.
Kosa hili litaigarimu na kuiumiza sana Urusi muda sio mrefu.
S400 isipotumika dhidi ya Urusi basi Uturuki atawaalika US na NATO kwenda kuichunguza na kujua namna ya kuipenya...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameionya serikali ya Syria kwamba italipa gharama kubwa kutokana na mashambulizi yake dhidi ya majeshi ya Uturuki katika eneo la kaskazini mashariki mwa Syria.
Wanajeshi watano wa Uturuki waliuawa katika mji wa Idlib unaodhibitiwa na upinzani siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.