Wazee nauza kiatu,kimeletwa kama zawadi toka uturuki lakini hakinitoshi.
Saizi ya kiatu ni UK 8, Uero 42kama kinavyoonekana pichani.
Bei ni pesa taslimu za kitanzani 70 elfu.
kipo kigamboni
0659445718
Nilikuwa namchukulia mwepesi kwa wakubwa wa ulaya kama Romania au Estonia tu.
Ila naona kama inabidi nimtafakari mara mbili mbili;
Alipinduliwa na ghafla mapinduzi yakazimwa, walioshiriki wote wamesakwa jeshini na wameshakamatwa. Alifika mpaka tz huyu mtu, sijui alimwambia nn jpm lakini...
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amemwambia mwenzake Volodymir Zelensk wa Ukraine kwamba taifa lake lipo tayari kutoa kila usaidizi katika mchakato wa majadiliano kati ya Urusi na Ukraine.
Ofisi ya Rais ya Uturuki imesema ahadi hiyo imetolewa wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu baina ya...
Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers.
Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu...
Hili la Uturuki kuokoa wanajeshi 54 halijakaa vizuri, hao wauaji walipaswa wazame wote, humo walikua zaidi ya 500 hivyo bado kuna mamia watakua chakula cha papa baharini. Mwanajeshi Mrusi hapaswi kuonewa huruma popote, labda wale waliojisalimisha, na hata hao wachunguzwe akikutwa yeyote...
Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.
Halafu tatizo hizi drone sio rahisi kuzigundua kwa radar, jamaa anachagua kifaru kipi amekichukia kwenye msafara wa Warusi anabonyeza na...
Mwanasoka raia wa Uturuki Aykut Demir alikataa kuvaa tisheti maalumu zilizoandikwa "No To War" katika mechi ya Jumapili iliyoikutanisha timu yake ya BB Erzurumspor dhidi ya vinara wa Turkish Second Division timu ya Ancaragucu
Aykut alipohojiwa kuhusiana na tukio hilo, alisema "Maelfu ya watu...
Rais Recep Tayyip Erdogan ametishia kuwa Vyombo vya Habari Nchini humo vitachukuliwa hatua ikiwa vitasambaza maudhui aliyodai yanaharibu Maadili ya Msingi ya Nchi
Rais Erdogan hajaweka wazi maudhui hayo ni yapi, lakini alisema hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya shughuli zinazolenga...
Muigizaji wa tamthilia pendwa zaidi kwa sasa ya Uturuki ya Ertugrul, bwana Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51.
Ayberk ambaye amecheza kama, Artuk Bey kwenye tamthilia hiyo ya Ertugrul, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa miezi kadhaa. Familia ya...
Naibu waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul, amesema matunda ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kukubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya Mataifa Barani Afrika kwa Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (CANAF) yameanza kuonekana...
Hata hivyo wanasayansi wanashauri tuendelee kupanda na kutunza miti. Miti ndiyo sehemu ya asili ya ndege kujenga viota vyao na kuzaliana. Vigae vikipata joto wakati wa jua kali si sehemu salama kwa ndege kuishi.
Kumbuka ndege ni muhimu kwa kueneza mbegu za miti. Miti kama mipera ndege...
Karibuni smart collection ni wauzaji wa suti genuine kutoka Italy na Uturuki
Suti zetu ni slim body
Size 32mpka 40 unapata
Kwa bei ya Tsh 250,000
Utapata koti kizibao na suruali
Tuko kariakoo
Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Whatapp 0657710078
Katika pita pita zangu huko Insta, nimeona Paula Kajala yuko uturuki kimasomo.
Hivi huyu form 4 si alifeligi au kaenda kusomea mambo gani huko uturuki?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naulizia kwa wale wazoefu au anayefahamu site nzuri ya kununulia bidhaa za uturuki, kama ilivyo Alibaba, Amazon na eBay.
Natanguliza shukrani
Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi?
SALE SALE SALE
Sofa la mmoja ni 30000
Sofa la wawili ni 44,000
Sofa la watatu ni 54,000
●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo
1: Hazipauki wala kuchuja...
Uturuki imepokea Dozi Milioni 5 za Chanjo ya Sinovac inayotengezwa China huku Rais wa Taifa hilo, Tayyip Erdogan, akielezea matumaini ya kuinuka tena kwa Sekta ya Utalii
Sekta hiyo imekumbwa na mdororo kutokana na vizuizi katika safari za kimataifa lakini inaweza kuimarika ikiwa kasi ya Chanjo...
15 June 2021
Mwanza, Tanzania
Rais Samia anashuhudia utiaji saini mikataba 5 ya ujenzi na ukarabati wa meli Shilingi Bilioni 417.
Rais Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji saini mikataba 4 ya ujenzi wa meli mpya na mmoja wa ukarabati wa meli . Mheshimiwa Rais amefarijika kuona kazi inaendelea...
Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa.
Mamlaka za Ushindani wa Kibiashara nchini Ufaransa zimesema faini ya Google inatokana na kutumia nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.