Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu.
========
Taarifa hii si ya kweli. Pata taarifa zaidi katika Jukwaa la JamiiCheck kupitia...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameangaza nyongeza ya asilimia 45 ya mshahara kwa wafanyikazi wa umma 700,000 siku tano kabla ya uchaguzi mkuu.
Haya yanajiri wakati uchumi wa nchi hiyo ukiyumba kutokana na athari za matetemeko makubwa ya ardhi mwezi Februari.
Erdogan, ambaye alichaguliwa...
Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
Hali ya Rais wa nchi ya Uturuki Recep Tayyip Erdoğan amegua gafla na kukimbizwa Hospital baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa akijindaa kwenda kwenye mahojiano na kituo kimoja wapo cha Television nchini mwao.
Uturuki inatarajiwa kufanya uchaguzi May 14, 2023 ambapo Rais wa Uturuki Edogan...
TCG Anatolia, melivita mpya ya Mturuki yenye uwezo wa kubeba helicopter nk imezinduliwa na mbabe wa kivita Erdogan na ameahidi inakwenda kuwapa ufalme wa Black Sea muda si mrefu.
Kwa wenye uelewa zaidi wa hii melivita mpya njooni huku.
Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine.
Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na...
Uturuki ilikuwa inazingua hadi wengi tukawa tunajiuliza ipo kwa maslahi ya nani, wengi walishuku itakuwa kiaina misimamo yao inaongozwa kidini dhidi ya Marekani kimya kimya.
Hatimaye wameachia, Finland sasa inaelekea kuwa mwanachama wa NATO, ikumbukwe urefu wa mpaka wa Finland na Urusi ni...
Msaada wetu kwa Uturuki umechelewa sana, tunaanza kucheza wakati mziki umeisha!
Sisi hatutakiwi kutoa msaada wa kifedha kwa wale jamaa, bali tulitakiwa kupeleka kikosi cha uokoaji kwenda kusaidia uokozi kwenye majengo yaliyoporomoka na kukalia watu.
Tulikuwa wapi kutoa msaada wa aina hii...
Kuna watu wana makasiriko hadi mambo kama haya!! Sasa kuna ubaya gani kwa nchi kusaidia wahanga wa tetemeko? Hivi tumekuwa wabinafsi kiasi gani? Tunasahau kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe na hayazuiliki kirahisi.
Tunasahau kuwa leo kwao kesho kwetu, tusipojitoa kwa kidogo chetu siku...
Opah Clement aliyekuwa mshambuliaji na nahodha wa Simba Queens ameondoka kwenda kuanza maisha mapya katika timu ya Wanawake ya Besiktas ya Uturuki.
Hadi sasa kwenye Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women's Premier League) mzunguko wa kwanza umemalizika Opah ndiye kinara wa ufungaji akiwa...
Mamlaka zinamshikilia Mir Ali Koçer, Mwandishi, wa Habari wa Kujitolea anayetuhumiwa kuweka Mtandaoni taarifa za Uokoaji na hali za Majeruhi wa Tetemeko la Ardhi lililoua takriban watu 50,000 Februari 6, 2023.
Mir Ali Koçer ni kati ya Waandishi 4 waliokuwa wakichunguzwa kwa kuripoti taarifa za...
Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimeishauri serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari na makundi mengine kutenga siku maalum ya kuhamasisha watanzania kuwachangia wenzetu wa Uturuki na Syria waliokumbwa na janga la tetemeko la ardhi.
Tetemeko hilo lililosababisha takribani watu 47,000...
BBC Swahili wamepost muda huu kuwa Uturuki na Syria zimekumbwa tena na tetemeko muda huu
Habari zaidi zinakuja.
====
Siku 14 tangu kutokea kwa Tetemeko la Ardhi lililoua zaidi ya Watu 47,000, taarifa mpya ni kuwa kumetokea Matetemeko mengine mawili kwenye Miji ya Antakya na Adana na Mpakani...
Christian Atsu amepatikana ndani ya kifusi siku 12 baadaye baada ya tetemeko la ardhi kuikumba Uturuki na Syria.
Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na wakala wake anayeitwa Nana Sechere
Pia soma
- Mchezaji wa kimataifa kutoka Ghana anaswa kwenye vifusi nchini Uturuki
====
Nana Sechere...
Moja ya mawaziri wanaoamliwa mambo ya wizara na makatibu wa Ikulu ni huyu mama kule jeshini walisema ni mpole sana huku zamani tuliambiwa Wizara ya Ulinzi inafaa wapole. Kule SADC nguvu ya Kabudi ndio ilimbeba alipotoka mama Tax abakia mweupe kabisa, ishu za peace keepers nje ya nchi na hasa...
Baada ya kuona wadau wanaanza kuleta habari za mwisho wa dunia na wengine kusema huenda kuna mabomu / silaha zinazosababisha haya majanga, naomba tujikumbushe kwamba Matetemeko kwa Uturuki sio jambo la ajabu na on record yalishatokea hata miaka ya 1900 na kuua zaidi ya watu laki mbili.
Kwahio...
Mbwa bado anaonekana ni kiumbe chenye msaada sana kwa binadamu. Kwa sasa Mbwa anatumia sana kwenye nchi ambazo zimepata majanga ya tetemeko Hivi karibuni yaani Syria na Uturuki.
Najiuliza nchi hizi ni za kiislamu vipi kuruhusu Mbwa atumike wakati kwa uislamu Mbwa ni najisi. Nauliza tu kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.