uturuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Vifo vya upasuaji wa kuongeza makalio vyaongezeka Uturuki

    Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, baada ya vifo kadhaa kutokea. Melissa Kerr, 31, alifariki dunia katika Hospitali binafsi ya Medicana Haznedar mjini Istanbul 2019 wakati wa upasuaji wa kuongeza makalio, BBL...
  2. N

    Hivi, kuna umuhimu wa kikosi Cha Simba kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya?

    Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu. Ni muda sasa muda mwingi na fedha za Kambi ziwekezwe kwenye usajili Bora.
  3. N

    Mkandarasi wa Uturuki, Yapi Merkezi athibitisha pengo la $1.8bn katika ufadhili wa Tanzania SGR

    Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma...
  4. MK254

    Meli ya pili ya Ukraine iliyosheheni ngano yafika Uturuki salama, Urusi haina kete tena

    Urusi ilikua imebakiwa na kizuizi cha usafirishaji wa ngano ya Ukraine, baada ya kushindwa mbinu zingine zote, sasa haina kingine kilichosalia......labda wabonyeze manyuklia sasa na wao wafutike kwenye uso wa dunia... Second Ukrainian wheat cargo arrives in Istanbul A second cargo ship...
  5. T

    Yanga wakati wanafanya usajili, Simba wao walikuwa Uturuki wanatengeneza shepu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwaaminisha watu kuwa Yanga ni timu dhaifu na kuwa ilishiriki kombe la Luza na hawataambulia chochote msimu huu. Mashabiki wa Makolo wanajaribu kutembea na historia kuliko uhalisia. Wanashindwa kuamini kabisa kuwa timu yao Kwa sasa haiwezi...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ashatu Kijaji - Tanzania, China, Uturuki na Indonesia Kuendeleza Ushirikiano wa Kibiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Indonesia na Balozi wa Indonesia nchini Mhe. Tri Yogo Jatmiko Septemba 9, 2023 katika Ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam...
  7. Ricky Blair

    Visa ya Uturuki na Indonesia

    Kwa wanaosafiri; Nataka kujua ni kweli Evisa ya Turkey imeondolewa na now kupata iyo visa ni 500k? Pia nilisikia Indonesia wame suspend visa free kwao which cc TZ tulikuwa tuna enjoy for 30 days Km Malaysia, Singapore na Philippines. Kuna yoyote aliyekwenda Indonesia Ivi karibuni au Uturuki...
  8. Suley2019

    Uturuki: Boss wa cryptocurrency jela miaka miaka 11,196 kwa udanganyifu

    "Bosi wa sarafu ya Kidijitali (cryptocurrency) nchini Uturuki na ndugu zake wawili wamefungwa kifungo cha miaka 11,196 kila mmoja kwa udanganyifu dhidi ya wawekezaji ambao walipoteza mamilioni ya dola. Faruk Fatih Ozer, mwenye umri wa miaka 29, aliikimbia Albania mwaka 2021 na mali za...
  9. Majok majok

    Naweka kumbukumbu sawa Yanga hii aikwenda uturuki wala Misri, ilikuwa paleee Avic Town!

    Ni vizuri pia kuweka kumbukumbu sawa kwa kutunza risiti, ni kwamba mabingwa wa kihistoria Yanga awakwenda kuweka kambi uturuki wala Misri bali waliweka kambi yao pale Avic town kigamboni Dar es salaam! Nimeamua kusema maana imenibidi nitoe ufafanuzi baada ya kuulizwa na jirani yangu kwamba hii...
  10. A

    DOKEZO (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia

    Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi. Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya...
  11. Roving Journalist

    Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA TAARIFA ZINAZOSAMBAA ZIKIHUSISHWA NA SERIKALI YA TANZANIA KUSHINDWA KUMLIPA MKANDARASI YAPI MERKEZI NA KUPELEKEA KUSHINDWA KULIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WA KITURUKI Dar es Salaam, Tarehe 15 Agosti 2023 Kampuni ya YAPI MERKEZI inayofanya ujenzi wa reli ya yenye...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Simba Sc yapiga mtu 2-0 Uturuki; Friendly Match

    Simba Sc ikiwa inacheza kwa kasi kama umeme imepiga mtu 2-0 huko Uturuki. Hii ni mechi ya mchana tu,jioni ya saa 12 tunapiga game nyingine. Hii ni tahadhali kwa timu ndogo ndogo na zile za CAF Champs Nguvu Moja
  15. I

    Uturuki yaunga mkono ✋ Ukraine kujiunga na NATO

    Ukraine 'inastahili' uanachama wa NATO, Erdogan wa Uturuki anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan pia alitoa wito wa kurejeshwa kwa mazungumzo ya amani akisema, 'amani ya haki haileti hasara. Uturuki inaunga mkono matakwa ya uanachama wa NATO wa Ukraine, Rais wa Uturuki Recep Tayyip...
  16. GENTAMYCINE

    Yafuatayo ni majibu kwanini Simba SC inaenda Uturuki kwa Pre Season na haibaki Dar es Salaam kama Wengine?

    1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri 2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine. 3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi yake nayo yawe ni makubwa makubwa. 4. Wachezaji wa Simba SC wana Hadhi ya Uturuki na Ulaya na siyo...
  17. benzemah

    Rais Samia ampongeza Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan kwa Kuchaguliwa Tena

    Kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pongezi kwa Rais Recep Tayyip Erdoğan kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Rais wa Uturuki. Ameandika: "Pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Rais Recep Tayyip Erdoğan, kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hawezi shindwa: Erdogan achaguliwa kama Rais wa Uturuki kwa mara nyingine tena

    Baraza Kuu la Uchaguzi nchini humo (YSK) litatangaza matokeo ya mwisho na rasmi ya ushindi wa Erdogan mnamo Juni 1. REUTERS/Murad Sezer Duru ya pili ya uchaguzi Jumapili ilikuwa ya kwanza katika historia ya nchi kwani hakuna mgombea hata mmoja aliyepata kura za lazima za asilimia 50 katika...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Safari ya Afrika: Jinsi Uturuki inavyokuza mahusiano na bara la Afrika

    Ushawishi wa Uturuki barani Afrika hii leo, unahusisha sekta mbalimbali, huku Ankara ikiliunga mkono bara la Afrika kama sehemu yake ya sera za kigeni. Tukur ni miongoni mwa takriban wanafunzi elfu 10, wengi wao kutoka Afrika, ambao wamenufaika na ufadhili wa masomo kutoka Uturuki katika...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Taarifa za moja kwa moja: Erdogan atangaza ushindi katika uchaguzi wa marudio Uturuki

    Jumla ya masanduku 191,885 ya kupigia kura yameundwa kwa ajili ya wapiga kura nchini. / Picha: TRT World Rais wa sasa wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza ushindi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais. Akiwahutubia wafuasi wake jijini Istanbul siku ya Jumapili, Erdogan alisema Uturuki...
Back
Top Bottom