Watu wasiofahamika wamechoma moto gari la Mwenyekiti wa vijana CCM wilaya ya Lindi bwana Frenk Mzani Menuka na kusababisha uharibifu mkubwa kwa gari hilo aina ya Toyota Cresta GX 100 lenye namba za usajili T 402 BCH ambalo lilikuwa limeegeshwa kwenye nyumba anayoishi Mwenyekiti huyo wa vijana...
Umoja wa vijana chama cha mapinduzi wilaya ya Temeke umesema utaendelea kuishi kwa vitendo malengo ya kuasisiwa kwa Chama Chama Mapinduzi CCM kwa kuwajali watu wote kwani Chama hicho ndio kimbilio la wanyonge
Wakizungumza wakati wa Matembezi maalumu yaliyokwenda sambamba na kutoa msaada wa vitu...
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani.
Akizungumza na KITENGE TV Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo mkoa wa Lindi, Patrick Magarinja alisema kuwa...
Wakuu
Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi.
Soma, Pia: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza...
Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa.
Mastaa wa Hiphop na Bongofleva, Fid Q, AY, Chege na Madee wameungana na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa...
Eh kumbe kuna wanasiasa wanaifanya Tanzania kama geto? Hawa si wa vyama vya upinzani kweli?
Mh namuona kama Lissu, Lema na wengineo linawahusu sana
===============
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein, anasema anakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama ‘gheto’...
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar Es Salaam Hussein Egobano amewataka vijana wa umoja huo kufanya kazi ya kukijenga chama na kuacha kujiingiza kwenye kile alichokiita harakati za CCM.
Akizungumza leo Februari 01, 2025 katika Kongamano Maalum la Vijana Kuelekea...
Wanabodi kuna sehemu nimekuta watu wanaponda kuteuliwa kwa mzee wetu Wassira katika nafasi nyeti ya chama
Nikajiuliza vipi unaweza kupata kijana mwenye maono ya kuwa kiongozi,ikiwa wote fikra zao ni matumbo yao kiasi wameharibika hata wale tuliosema wame elimika(kwa vyeti)...bado hawana...
Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025.
Kauli zao zinaonyesha kushangazwa na sababu za kutekelezwa kwa mchakato huu kwa haraka na bila tahadhari ya kutosha.
Hali hii imepelekea hisia za wasiwasi miongoni...
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama amefanya ziara Mkoani Rukwa kwa lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura, zoezi litakaloanza tarehe 12-18 Januari, 2025.
Pamoja na mambo mengine...
Barua ya Wazi kwa Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Kuhusu Kutekwa Kwangu Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi
Ndugu Katibu Mkuu, Amani iwe nawe!
Ni imani yangu kuwa barua hii itakufikia ukiwa mwenye afya njema, ukiendelea na majukumu ya kulitumikia taifa letu ambalo leo...
Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar, walifika katika chuo Cha Umoja wa Vijana Tunguu Kwaajili ya Uvunaji wa mabilinganyi na pilipili Boga Kwa lengo la kuendeleza Siasa na Uchumi Katika Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM.
Aidha, Wabunge na...
❇️NEMBO (LOGO) RASMI YA UVCCM KIJANI AWARDS NA UVCCM ALUMNI FORUM!
Tunaweka msingi wa kuwatambua vijana walio mstari wa mbele katika kufanikisha maono ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mustakabali wa Taifa letu. Hii inatufundisha kuwa kila kijana ana nafasi ya kuleta mabadiliko chanya katika...
KAWAIDA AZINDUA UVCCM KIJANI AWARDS
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Ndugu Mohammed Ali Kawaida amewaongoza vijana katika uzinduzi wa tuzo (UVCCM KIJANA AWARDS) ambazo zitashirikisha Vijana waliofanya vizuri kwenye Sekta mbalimbali kwa mwaka huu.
Uzinduzi wa tuzo hizo ambazo...
Wakuu,
Humu mitandaoni uaweza kudhani kuwa UVCCM haina wanachama hai lakini hawa jamaa wana nyomi la kutosha.
Hapa sijui ni watu wamefuata muziki au wamemfuata Mwenyekiti wa UVCCM, Kawaida lakini nyomi ni kubwa.
Kumbe Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable wako wengi sana huko mtaani?
Wakuu,
Ndio nilichokuwa nasema, CCM hata chawa anapewa anafundishishwa ili kwenye urpokaji wake akafanye kazi iliyotukuka jambo ambalo kwa upinzani wakosa, mwisho wa siku wanaishia kwenda ovyo ovyo kila mtu anatoa tamko kama mahindi ya bisi,
====
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha...
DEBORA TLUWAY AFIKA TUNGUU, CHUO CHA UVCCM
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Mkoa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 15 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Umoja wa Vijana wa CCM Tunguu Zanzibar na kuona miradi na mikakati mbalimbali inayotekelezwa ikiwemo Ufugaji wa Kuku wa Mayai na ujenzi...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
📍Izigo_Muleba
🗓️Tarehe 07/12/2024
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, ameongoza uzinduzi na makabidhiano ya nyumba ya Mama Asimwe sambamba na chumba kimoja cha biashara. Tukio hilo limefanyika leo tarehe 07/12/2024 katika kata ya Izigo, wilaya ya Muleba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.