Ndugu zangu Watanzania,
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Mohammedi Kawaida .Kwa uchungu,maumivu,simanzi ,majonzi na huzuni isiyopimika wala kuelezeka.
Ameshiriki na kuhusika katika shughuli zote za kuaga na kuupumzisha Mwili wa Mwenyekiti wa UVCCM Tawi la Machinjioni Makongorosi wilayani Chunya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) tawi la Machinjioni kata ya Bwawani Makongolosi wilayani Chunya Michael Andarson Kalinga (36) mkazi wa wilayani humo.
Inaelezwa kuwa watu...
Nimesoma maelezo ya msichana aliekuwa nae alipouwawa, yana ukakasi sana. Kuna coincidence ambazo labda ni polisi wetu tu waliozoea kutunga kesi dhidi ya wapizani wataikubali.
Inaripotiwa kuwa huyu UVCCM, mwenye biashara ya kuchoma chama klabu moja, alipigiwa simu kuwa kuna mbuzi wanauzwa aende...
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM umelaani vikali mauaji ya ndugu Michael Kalinga.
Ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa UVCCM Tawi La Machinjioni Makongorosi Wilayani Chunya Mkoani Mbeya .Ambaye mwili wake umekutwa umetelekezwa .baada ya kuuwawa na watu...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya...
Wakuu,
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, ameungana na Waislamu wa wilaya ya Missenyi na Mkoa wa Kagera kwa ujumla katika Maulid ya Bwana Mtume Mohammad [s.a.w] iliyosomwa katika Kata ya Kyaka wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa...
Wakuu,
Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhandisi Ali Suleiman Ali ameendelea kuchanja mbuga nyumba kwa nyumba mitaani...
Uongozi wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Songwe, umevitaka vyama vingine vya siasa kudumumisha amani katika kipindi chote cha kampeni pamoja na siku ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mtaa, utakaofanyika Novemba 27, 2024 huku ukiwatahadharisha waliojipanga kuvuruga...
Wakuu,
Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine zimeweza? Maji na huduma za afya ndio mnaita matatizo yasiyoisha?
Soma pia: Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Cde. Seth Bernard Masalu, anawaomba wakazi wa Mwanza wote na watanzanania kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji utakaofanyika Novemba 27, 2024 kwa Kuwachaguwa Wagombea wote wa Chama cha Mapinduzi katika nafasi zote...
Wakuu,
Tunaendelea kula popcorn wakati tunaendelea kuangalia movie.
====
Katibu wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kata ya Iwawa Benjamin Mahenge amewasihi wanaccm kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura za ndio wagombea wao na kuachana na wa vyama vya upinzani ambao kazi yao ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka viongozi wa vyama vya upinzani kuacha malalamiko yanayohusiana na uandikishwaji wa wanafunzi wenye umri wa miaka 18 katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kauli hiyo ameitoa alipokuwa...
Matembezi ya vijana yanayopangwa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) yana hasara kadhaa zinazoweza kutokea kwa vijana wasomi na wasioajiriwa katika jamii kutokana na matembezi haya.
1. Kutengwa Kijamii
Matembezi yanaweza kuonekana kama shughuli za kijamii, lakini kwa vijana...
Ule ukatili wa Hitler huenda ukaonekana Tanzania miaka 10 ijayo kuanzia sasa. Hawa vijana wa CCM wamefunzwa kukilinda chama .
Wameapa kulinda chama. Hawana mpango kabisa na ulinzi wa rasilimali za Taifa hili teule. Wanalinda chama kwa hali yoyote kwa mgongo wa kulinda amani Ni wakati wa kuomba...
Haiwezekani kuwaacha vilaza waliofeli eti ndio news makers huku mitandaoni na kuchukua credits eti wao ndio wasemaji wa Taifa.
Wito wangu kwa vijana makini na waliolelewa na kufunzwa vyema na wazazi pamoja na vyombo vya chama cha Mapinduzi na Serikali kuingia rasmi mitandaoni na kuwapa...
NDUGU MOHAMMED ALI KAWAIDA (MCC) KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA,17 SEPTEMBA 2024
📍UVCCM TAIFA
17 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) anatarajia kuongoza kikao Cha baraza kuu la UVCCM Taifa Leo tarehe 17 Septemba,2024 makao makuu ya...
KAWAIDA AKIWASILI OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UVCCM DODOMA
📍UVCCM TAIFA
16 Septemba,2024
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) Akiawasili ofisi za makao makuu UVCCM Taifa kwa ajili ya kuongoza kikao Cha Kawaida Cha kamati ya Utekelezaji
#KijanaNaKijani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.