Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, imemsimamisha kazi Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bw.Jonathan Agustino Madete ,kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu.
Maamuzi ya Kikao hicho yametolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi, mkoa wa...