uvuvi

  1. K

    Ni wakati muafaka serikali kufunga uvuvi wa samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita kuwezesha samaki kuzaliana

    Ni jambo lisilopingika kwamba samaki katika Ziwa Victoria wamepungua sana na inawezekana kwa asilimia 80. Kunusuru hali hii inabidi Serikali kupandikiza vifaranga wa samaki hasa wale wa sangari, dagaa, sato, mumi, ningu, kamongo, na wengineo kwa mamilioni ili idadi ya samaki iongezeke kwa kasi...
  2. Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi aagiza kufuta umilikishaji wa mashamba yanayokodishwa kwa wafugaji kutoka nje ya nchi

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti ameiagiza Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Kufanya tathmini ya mashamba ya Serikali ya mifugo yaliyokodishwa kwa wawekezaji na wakiwabaini waliokodisha mashamba hayo kwa wafugaji kutoka nje ya nchi wavunje Mikataba na kufuta umilikishaji wa...
  3. Rasilimali za kilimo, ufugaji na uvuvi na mchango wake katika uchumi wa Tanzania

    RASILIMALI ZA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI NA MCHANGO WAKE KATIKA UCHUMI WA TANZANIA Tanzania ni nchi yenye utajiri wa rasilimali za asili ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa. Miongoni mwa sekta hizi ni kilimo, ufugaji na uvuvi. Sekta hizi zimekuwa uti wa mgongo wa uchumi wa...
  4. Uchumi Mkubwa wa Musoma Vijijini Kutoka Ndani ya Ziwa Victoria: Uvuvi wa Vizimba

    Ziwa Victoria lina umri wa takribani miaka 400,000 na ujazo wake wa kawaida ni kilomita za ujazo 2,760 (2,760 cubic kilometres). Mvua za mwaka jana ziliongeza ujazo wa maji ndani ya bonde la Ziwa Victoria lenye ukubwa kilomita za miraba 195,000 (195,000 square kilometres). Lilikuwa ongezeko la...
  5. DOKEZO "Mamayao" wadhibitiwe kunusuru uvuvi Ziwa Victoria

    Na Samwel Marwa (Mwandishi wa Habari na Mtaalam wa Mawasiliano ya Umma). "Naishauri serikali kuchukua hatua za pamoja na za haraka zaidi ili kukomesha vikundi hivi vya maharamia 'Mamayao' ili kulifanya Ziwa Victoria kuwa eneo salama zaidi kwa watu wote wanaojishughulisha na uvuvi." Tanzania...
  6. Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka 2024, likitoa fursa za ajira na viwanda vya kuchakata samaki kuongeza uzalishaji. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  7. B

    KERO Wanaofanya uvuvi Mto Ngerengere eneo la Tungi na Kihonda wawe makini, kuna mashimo yaliyochimbwa wakati wa ujenzi wa SGR yana kina kirefu

    Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda. Mto huo umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha...
  8. Wavuvi waacha kutumia Mabovu kwenye Uvuvi

    Hapo mwanzoni kulikuwa na athari kubwa zinazotokanana uvuvi haramu, watu walipata ulemavu wengine wakipoteza maisha, kemikali zilitumika kuulia samaki kisha watu kutumia kemikali hizo zinazobaki kwenye samaki, hali haikuwa nzuri. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  9. Mtu aliyemaliza Diploma ya Uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science?

    Hello Naomba kuuliza mtu aliyemaliza diploma ya uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science au IT Asanten.
  10. Kuzuia uvuvi ziwa Victoria hakuna tija na ni kero kubwa

    Kumekuwepo utaratibu wa kusitisha uvuvi ziwa Victoria Kwa kipindi sasa. Kwamba wanasitisha uvuvi kwa muda kama kulipa likizo ziwa na samaki ili wazaliane Kwa kipindi hicho. Lakini tija ni ndogo na kero Na hii inaibua nafasi za rushwa maana kuna wavuvi huingia ziwani na kuvua kipindi hicho cha...
  11. Mwana FA amwakilisha Waziri Abdallah Ulega Kongamano la Utamaduni wa Kiislam mkoani Lindi

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, anayejulikana kama Mwana FA, alikuwa mgeni rasmi kwenye Kongamano la Utamaduni wa Kiislamu lililofanyika jana Oktoba 27 mkoani Lindi, akimuwakilisha Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya...
  12. Waziri Ulega: Mkutano wa OACPS utasaidia kuweka mikakati madhubuti ya kuinua Sekta ya Uvuvi Nchini

    ULEGA AANIKA FAIDA MKUTANO WA OACPS Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema kufanyika kwa mkutano wa OACPS nchini Tanzania kutasaidia kuweka mikakati madhubuti ya kuinua sekta ya uvuvi na kuchechemua uchumi wa Taifa kwa ujumla. Waziri Ulega amebainisha hayo wakati akifungua Mkutano...
  13. K

    Naishauri Serikali ifunge Uvuvi wa Samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita

    Samaki katika Ziwa Victoria kama vile wamekwisha kabisa. Wavuvi wanatumia gharama kubwa sana na mwisho wa siku hakuna faida wanayopata kutokana na ukosefu wa samaki. Pili Ziwa Victoria imechafuliwa na kila aina ya uchafu na hivyo kupelekea kutozaliana kwa samaki. Kutokana na sababu hizo...
  14. Abdallah Ulega amesema mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko utatoa ajira elfu 30

    BANDARI YA UVUVI KILWA KUTOA AJIRA ELFU 30 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema mpaka sasa mradi wa ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa Masoko imeshatoa ajira kwa vijana wapatao 570 ambao wanafanyakazi hapo huku akiongeza kuwa utakapo kamilika utatoa ajira elfu 30 katika...
  15. Seoul yasaini Mkataba wa Kujenga Bandari ya Uvuvi Zanzibar

    Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Zanzibar imesaini mkataba wa ushirikiano na wizara ya bahari na uvuvi ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya utafiti wa uwezekano wa kujenga bandari ya uvuvi na maendeleo ya miundombinu ya uvuvi Zanzibar. Wakati wa hafla ya kusaini mkataba iliyofanyika katika...
  16. SoC04 Serikali iasisi chombo cha kudhibiti na kudurusu bei za mazao ya kilimo na pia ikiwezekana bidhaa za uvuvi

    Mfumo wa soko la ndani wa mazao na bidhaa za kilimo (na uvuvi) kwa kiasi kikubwa unaendeleza dhulma na unyonyaji kwa wazalishaji mali hizo. Ijapokuwa zipo jitihada za serikali zenye kukusudia kuleta ustawi wa sekta ya kilimo na uvuvi nchini, pia hapana budi hatua za haraka kuchukuliwa za...
  17. E

    SoC04 Mbinu kwa ajili ya kuboresha sekta ya ufugaji, kilimo, na uvuvi

    Hii ni sekta ya muhimu katika uchumi wetu. Ikiwa usimamizi wa sekta hii utaendelea kusimamiwa vizuri uchumi wetu utapanda kwa miaka mitano (5),kumi (10) na kuendelea.katika sekta hii tunapata malighafi mbalimbali kwa ajili ya viwanda mbalimbali mfano, alizeti kwa ajili ya kutengeneza mafuta...
  18. P

    SoC04 Makala juu ya namna Tanzania inavyoweza kutatua changamoto mama katika sekta ya uvuvi nchini

    Tanzania kama nchi inayoendelea kiuchumi, sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu inayochangia ustawi na ukuaji wa pato la Taifa, ikiwa ni sekta inayotoa ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa wazawa ikiongozwa na sekta ya kilimo. Na Tanzania kama nchi Chini ya mifumo yake tendaji, imekua...
  19. E

    SoC04 Ubunifu katika sekta ya uvuvi kunaweza kuleta maendeleo makubwa kwa Tanzania ijayo

    TEKNOLOJIA INAVYOBADILISHA SEKTA YA UVUVI NA KUJENGA TANZANIA IJAYO. Sekta ya uvuvi inashuhudia mabadiliko makubwa yanayotokana na Matumizi ya teknolojia katika shughuli zake.kupitia Matumizi ya drones,vifaa vya kiotomatiki sensors na IoT, teknolojia ya satellite ,uvuvi wa mbali...
  20. M

    Naombeni connection za uvuvi maeneo ya Dar

    Habari Wana jf, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya UBUNGO naitaji kazi ya uvuvi mana ndio ninayo ipenda pia iki patikana piki piki ya mkataba au daywaka nitashukulu, elimu yangu ni chuo kikuu. Phone number 0785598033
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…