Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kuwezesha na kukuza shughuli za ufugaji wa Samaki kwa njia ya vizimba miongoni mwa vijana ili wanufaike na uchumi wa buluu uliopo kwenye ukanda wa Ziwa Viktoria.
Naibu Waziri wa...
Serikali ya Tanzania imesema, haitaruhusu kuingiza vifaranga vya kuku nchini na haitatoa tena vibali vya kuingiza vifaranga hivyo kuaniza Julai 30, 2022.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo Jumamosi Julai 23, 2022 imesema Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema...
Mwenyekiti wa Chama Cha Wavuvi Nchini, Bakari Kadabi amesema Kuporomoka bei ya samaki kutapelekea kufilisi mitaji yao na kuchochea uvuvi haramu kwasababu italazimika wavuvi wahakikishe wanapata samaki wengi ili wapate kipato kikubwa
Aidha, ameiomba Serikali kuingilia kati mabadiliko ya bei za...
Katika taarifa ya jana ya saa mbili kupitia runinga nilimshuhudia Mhe. Waziri wa Mifugo na Uvuvi akihabarisha umma kuwa tumepata meli itakayopeperusha bendera ya Tanzania na akatamba kuwa kwa mwaka tutakuwa tukipata $400,000 na samaki tani 500 na mengineyo mengi.
Binafsi ninamshangaa sana...
Baada ya kurejea nchini, matumaini yangu na nguvu ya kuitumikia Tanzania yalikua makubwa kweli, Nilijaribu tafuta ajira kwa kipindi cha mwaka mmoja bila mafanikio, nikaamua kuanza kujiongeza kwa kutumia uzoefu wangu wa nje hasa katika e-commerce huku nikilenga kushirikiana na wajasiliamali wa...
Tanzania tuna eneo la mwambao wa bahari kutoka Kaskazini mpaka Kusini lenye urefu upatao 1084km, idadi ya vyombo vya uvuvi upande wa Bahari ya Hindi ni pungufu ya vilivyo ziwa Victoria.
Ripoti ya mwaka 2019 ilionyesha bidhaa za uvuvi Kutoka baharini zilizopelekwa nje ya nchi ilikuwa ni Tani 5...
Nimeamua kuandika kuhusu swala la uvuvi haramu hapa nchini hasa nikiangazia ziwa Victoria Kwa sababu nina uzoefu mzuri kwenye shughuli za uvuvi. Nitaanza kwa kueleza maana uvuvi haramu na hali ya uvuvi haramu hapa nchini (hasa ziwa Victoria), athari zake na wajibu wa wananchi katika kuzuia uvuvi...
Utangulizi
Kwa muda mrefu kumekuwapo na changamoto ya wananchi wengi waishio katika maeneo yanayozunguka bahari, maziwa na mito kufanya shughuli za uvuvi bila kufuata sheria na taratibu zinazowekwa na serikali na hivyo kufanya serikali kukosa mapato huku samaki na viumbe wengine waishio majini...
Nimeshangazwa sana na kauli ya spika wa bunge la JMT kupigia chapuo tozo za miamala ya simu kwa madai kuwa eti ni muhimu kwa maendeleo ya jimbo la Kongwa na taifa letu.
Mbaya zaidi anadai eti hana uhakika kama kuna vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kuwakamua wananchi kupitia tozo za miamala ya...
Ikiwa suala la ajira limeendelea kuwa changamoto kubwa sio tu nchini bali pia nchi jirani, ni wazi kua kujiajiri imekua fursa pekee kwa vijana kujipatia kipato.
kwa bahati nzuri tumejaaliwa vyanzo vingi vya maji ambavyo vinatupatia mazao ya majini ikiwamo samaki.
Wavuvi wadogo nchini wamekua...
Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA).
Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata sheria.
Kodi iliwekwa kwaajiri ya makusanyo (mapato) kwa
wafanya biashara na makampuni nk, lengo...
Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu.
wazalishaji hao wamesema uzalishaji umepungua kwa kasi kutoka tani 200 kwa siku mpaka tani 14 kwa sasa na...
Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar.
Sasa vipi...
Zaidi ya watu 100 wamekosa makazi baada moto kuteketeza baadhi ya makazi ya wakazi wa kambi ya uvuvi ya Migogo iliyoko kata ya Maisome Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema Mkoa Mwanza kuteketea kwa moto muda huu na chanzo cha moto huo bado hakija fahamika.
Ofisa mtendaji Kata ya Maisome...
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeondoa marufuku ya uuzaji na ulaji wa nyama ya Nguruwe katika Wilaya sita za Kanda ya Ziwa ambazo zilikumbwa na Homa ya Nguruwe (ASF) mwezi mmoja uliopita.
Prof Hezron Nonga, Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo, amesema ASF imeondoka katika Wilaya hizo lakini Wilaya ya...
Habari zenu ndugu,
Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries).
Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa. Ninatafuta kazi katika Rekta resmi na isiyo rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.